Search results

  1. davibby

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Humu ni redmi tu ama na wa mi13 ultra tunacomment humu humu
  2. davibby

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Kwa carren japo hujapiga mzigo mpaka leo
  3. davibby

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Hapo mwisho kwa mzee dingi ndo umetisha na hiyo quote.....
  4. davibby

    Raia wa Kenya ni masikini kuliko Watanzania

    Ww hujafika kenya ukajionea ama ukawa na wakenya. Wakenya weng matanir na pia masikini wapo. Kwa mfano angalia ata barabaran wakenya wengi wananunua magar ya kisasa ambayo hela yake kwa kwetu ni nyingi sana ila ukija tanzania wengi wetu tuko kwenye gar za chini ya 20M wakati kenya bila kuwa na...
  5. davibby

    5G technology: Vodacom Vs Tigo; Tupeane mrejesho nani katisha sana kwenye 'Superspeed' kati ya mitandao hii

    Wanayo kweli 5g na kwasisi tunaolipia net ya unlimited bandle unapata mpaka 4.1MB/S kwenye 30mbps
  6. davibby

    Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

    Lete mwendelezo mkuu
  7. davibby

    Kisa cha Kweli: Mimi na Baba tutamsamehe vipi Mama? Nami nitawezaje msamehe Mzazi wangu?

    Kwenye maisha naamin kika mtu anahistoria yake na anamagumu anapitia tofaut nanmtu mwinginr unaweza ukajiona umepitia magumu ama unapigia magumu kuliko watu wote duniani ila ukisikia yamwenzako unajiona unaafadhali. Sometime unaweza ukawa na pesa na zisikusaidie kutatuw tatizo lako.
  8. davibby

    Kisa cha Kweli: Mimi na Baba tutamsamehe vipi Mama? Nami nitawezaje msamehe Mzazi wangu?

    Mkuu endelea kutupa stori ya kisa na mm nijifunze kitu
  9. davibby

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Sasa madububuasha yote hayo wakat kt ingrtosha kukupa mzik mzur tu
  10. davibby

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu chakufanya ishu sio kuwa verified. Ishu utafute DAC ya HiFi alaf tafuda earphone zenye uwezo wa maana kama kz qkz etc unakula bonge la mzik kwenye simu laptop etc
  11. davibby

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ni kwel bluetooth huwa quality ya sound inapungua kidogo sio sawa kutumia flash ama optical ama line in
  12. davibby

    Najuta kumpa ndugu yangu PS (playstation), kawa kama Teja

    Naona natangazia ku pre order tu hapa kwenye series x
  13. davibby

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Kuna cha kujifunza hapa kwenye stor
  14. davibby

    African Satellite World and Sat Gear

    Niko na mediastar 4030 nmeiconnect kwenye internet na iko na forever pro ila still haifungui azam package while my friend yuko na starsat 2000 extreme yeye inafungua. Sasa sijajua tatizo ni nn
  15. davibby

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu, nkuulize kuhusu hzi multimeter maana utakuwa unauzoef nazo. Hv huwa zinatofautian ktu gan sasa sana kwa hiz cheap(8000) na hizi za ghal
  16. davibby

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hv mkuu na powersuppy huwa unaweza kuisuka kama unavyosuka op amp
  17. davibby

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hapa sawa boss maana nina hm theater 1000watt lakin nikifungulia had mwisho saut ni kubwa za mid na tweeter lakin bass yakawaida na power consumption huea ni 80watt wakat nkifungulia sub ya kodtec huwa inaendaa mpaka 180watt but bass ndo kubwaa. Na kwa uzoef wako ww unefungua sana hizi seapiano...
  18. davibby

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu resistance naelewa. Ila kuna ktu ningependa unielewesh maana na mm pia na wengine weng huwa hatukielew. Mfano unakuta subwoofer ya seapiano imeandikwa kwenye box 150watt ila nadhan ukifungua ndan sidhan kama ile speaker ni 150w maana huwa nina meter nikipipa power consumption unakuta ni...
Back
Top Bottom