Search results

  1. M

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    Siyo kodi ya mwananchi imetumiwa na mwanchi ila kodi ya wananchi imetumiwa na mwananchi hapo ndipo shida ilipo.
  2. M

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    Ni kweli imeshatokea,lkn ktk jinsi isiyompendeza Mungu,kuna watu wanateseka mahospitalini kwa kukosa dawa,kuna wanafunzi wa elimu ya juu wanaahirisha kozi zao kwa kukosa ada,vijijin huko ndo kabisa watu washajichokea,kumbe pesa zipo za kutosha.Lkn pia siungi mkono kwamba alikuwa kipenzi cha...
  3. M

    Jaman nimefika.

    Duh! Humu ndani kweli si mchezo,home of great thinkers,nimekuja ndg zangu nipokeeni.
Back
Top Bottom