Search results

  1. M

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda aagiza kituo cha Ubungo Kihamishiwe Mbezi haraka sana

    Mungu naomba nguvu niweze ikabili mihemuko............
  2. M

    Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    Hivi nikisema chanzo kikuu cha huu uwezo mdogo kimarifa kwa hawa wanafunzi wetu ni LISHE DUNI sijui wangap watanielewa?!
  3. M

    Sasa masomo ya sayansi lazima sekondari, utaratibu wa kuchagua masomo kidato cha tatu haupo tena

    Vifaa na Maabara za hawa wachache tumeshindwa kuwapa kwa ubora je hao wote itakuwaje?nashauri kabla ya uamuzi huu kufanyiwa kazi wadau wa ELIMU washirikishwe la sivyo yatatukuta km yale ya kuunganisha masomo(physics&chemistry)
  4. M

    Serikali itatoa hela ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo kwa awamu, yasema haina hela kwa sasa

    Yani nimekosa maneno ya kukuandika kwa ajili kukujibu kuhusu uliyoandika ,itoshe kukuambia "ni bora kukaa kimya kuliko kuandika ushicho kijua au kukifikiri kwa kina"
  5. M

    Mkono Advocates wafungiwa ofisi na TRA kwa kudaiwa kodi Sh. Bilioni 1.1

    zingekuwa nchi za watu,mbunge huyu angekuwa ameshajiuzuru kwani kutuhumiwa tu kwenye sswaala la kodi ni fedhea kubwa ila kwetu atapewa muda baada ya kukubali kwamba ni kweli alifanya kosa
  6. M

    Waziri Mkuu: Tutakuwa tunatumia Kiswahili kwenye mikutano ya kimataifa, tutaajiri wa kututafsiria

    km hili jambo ni kwa ajilii ya kumsaidia mtu fulan sawa ila liwekewe utaratibu maalum kwa watu maalum watakao pata usaidiz wa wakaluman la sivyo fedha nyingi zitatumika
  7. M

    Mbunge wa Karagwe aomba Rais Magufuli alipopigia push up ujengwe uwanja wa kumbukumbu!

    kwani leo hakukuwa na zoezi la kuandikiana!!?
  8. M

    Ole Medeye akiri wabunge wa CCM wanapewa nini cha kuchangia bungeni

    km imefikia kiasi mbunge anaandikiwa cha kusema bungeni kuna haja ya kujiuliza kwanni watoto wetu wanafeli sana form four?!!
  9. M

    Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    ukweli hili nalo ni mpango uliosukwa Upinzani jipangeni.....
  10. M

    Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    mm si mwanacuf ila km cuf itamkubali kurudi cuf nitaumia km vile mm ni mwanacuf anayejitambua
  11. M

    Mabaki ya ndege ya Egyptian Air yapatikana

    da!Mungu azilaze pema roho za marehemu wote
  12. M

    Kiuchumi, wafanyabiashara wapo sahihi kuficha sukari

    washauri wazuri wa nchi hii wako wapi wasifumbie macho haya yanayotokea wakaona aibu ya kubenzwa na wale wasiona mbali kwani maamuzi mabaya ya leo yana madhara makubwa kesho,kuanza kutaifisha kutawaogopesha wawekezaji wa ndani ama wa nje kuwekeza nchini nakumbuka wakati wa mkapa anahamasisha...
  13. M

    Magufuli: Watumishi hewa wamefikia 10,295. Ashusha kiwango cha kodi katika mishahara

    Hivi yeye si kijana?km jibu ni ndiyo mbona yeye hajakimbilia shambani??
  14. M

    Tanzania kujenga kiwanda cha kuunda magari ya Toyota

    Napendekeza km tuna balozi South Sudani km hatuna Rais amteue balozi huko hata km ni mdogo na apewe majukumu ya kutafuta fursa ya masoko ya mazao na huduma toka nyumbani tz tusisubiri kuletewa tutafute fursa na hili liwe moja ya jukumu muhimu kwa mabalozi wetu
  15. M

    Tanzania kujenga kiwanda cha kuunda magari ya Toyota

    kuhusu bomba wale jamaa wa kujisifu wametangaza nao kujenga lipite kwao hata km halitapitisha mafuta wanahisi tz itakosea sehem wawarubuni jamaa wapitishe kwao ktk swala hili la uchumi hatuna chama,udini wala ukabila tunasema TANZANIA kwanza
Back
Top Bottom