Search results

  1. K

    Idara ya Uhamiaji inaidharirisha Tanzania

    Fanyeni uchunguzi wa kina kwa hayo mnayoyasema, kwa mfano kuhusu kumiliki gari na cmu, je, unafahamu vyanzo vyote vya mapato vya huyo mtu? Msiwaonee uhamiaji jamani haya mapungufu yapo kila idara hapo tz, hata ikulu wapo watu wa aina hiyo.
  2. K

    Eti hili lina ukweli kuhusu wakaka wenye haya majina?

    kama mwandishi wa wazo/swali ni mwanamke ni wazi kwamba yeye ni mmojawapo wa washobokeaji wa watu wenye majina hayo!
  3. K

    'Nimeitwa na Lukuvi, kabla sijaenda nikasaini'-filikunjombe

    Viongozi wa kibong wote wako madarakani kwa ajili ya matumbo yao na familia zao!
  4. K

    'Nimeitwa na Lukuvi, kabla sijaenda nikasaini'-filikunjombe

    Tatizo viongozi wetu wako kwa ajili ya familia zao na sio watz!
  5. K

    Tabia chafu ya TBC

    Mie binafsi naona tangu alipoondoka uncle TIDO hamna jambo lolote linalofanana na TBC kuwa tv ya taifa inazidiwa na vituo vingine vya televisheni hapa tz kufanya yanayotakiwa kufanywa na TBC.
  6. K

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Hastahili kuzikwa kitaifa!
  7. K

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Poleni wafiwa!
  8. K

    Lusinde anataka kujiuzulu ubunge.

    Ma2c haya huwa c kosa la jinai kwa baadhi ya wa2 hasa hawa wa magamba.
  9. K

    Uhuni huu wa clouds fm!

    Inawakera na rekodi kimataifa ulinganisha n timu ya chama!
  10. K

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Ni dhahiri shahiri kwamba kanumba alikuwa“ kioo” cha jamii!
  11. K

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Kama kweli brother K alikufa. Kutokana na uhusiano wa kingono na hako katoto kachafu bac shame on those wanaolia kwa kifo cha bro K!
  12. K

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    . NI KWELI WACJE ZAA LAANA KAMA HII WAKAAIBIKA MBELE YA JAMII KAMA ILIVYO KWA WAZAZI WA HUYU “lulu”!
  13. K

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Kama ni kweli Knumba alichemka kuwa na uhusiano wa kimapenzi na hako katoto!
Back
Top Bottom