Search results

  1. E

    Jiji la Arusha katika kashfa nzito, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Athuman Kihamia matatani

    Bado Tabora anasubiriwa kwa kashfa ya hatari sijui atatobolea wapi...amekanyaga oil chafu sasa hakuna pahali atapumua huyu gamba
  2. E

    Jiji la Arusha katika kashfa nzito, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Athuman Kihamia matatani

    Huyu ameingia kwa pua sasa ngoja tummenye kwa kina hadi aombe poo. The devil inside you is the devil around you...
  3. E

    Meya wa CHADEMA Arusha kugawa mamilioni kwa vikundi 96 vya Ujasiriamali leo

    Hongera sana Mh. Mayor tupo nyuma yako
  4. E

    Mrisho Gambo ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ntibenda atenguliwa

    Arusha inawanyima usingizi...ni mwendo wa kutafuta wapi pa kupumulia...mabadiliko
  5. E

    Uchaguzi wa Meya Dar: Isaya C. Mwita(CHADEMA) aibuka mshindi

    Wametoka nduki haooooo kutabiria kifo ni mbaya kuliko kifo chenyewe...ccm chaliii dhulumati haitodumu kwenye ukweli. People have spoke, go UKAWA
  6. E

    Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

    CDM ni chama makini, chenye kupanga na kutafakari nani anaweza vaa viatu vya Dr. Slaa. Nina imani jina litakalotolewa litakuwa ni mwanzo wa mapambana ya kuendelea kuimarisha chama.
  7. E

    Lema ang'aka kuhusu Zanzibar, Amwambia Chenge asijione Mungu mdogo

    Go my brother gooo...thats what we say you hitnit with the nail point
  8. E

    CHADEMA yalaani ubaguzi wa CCM Zanzibar

    Maji yamewafika shingoni sasa wanafunuliwa mchana kweupe ndani ya nafsi zao wanachokifikiri na kukipanda. The anticipation of death is worse than death itself...
  9. E

    CCM yasikitishwa, yaomba radhi kwa Bango lenye ujumbe wa Uchochezi Zanzibar

    CCM hamna tofaiti na magaidi, vikundi kama Alshabab, Bokoharam na wengineo sababu hu ujumbe mliupanga ni wabuguzi na mnajulikana. Wanasema maana ya kifo ni ngumu kuliko kifo chenyewe...
  10. E

    Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    Naona Kova movie remix part 1 inaanzA...Jamaa na media utafurahi na uongo ndio beats zake
  11. E

    Mbunge wa Kahama kupitia CCM, James Lembeli ajiunga na CHADEMA rasmi

    Tunafuatilia kwa karibu asante kamanda Molemo kwa taarifa
  12. E

    Tibaijuka azomewa mbele ya Kinana Muleba, adai hana njaa, kama ni hela anayo!

    Waswahili husema muosha huoshwa...ccm ni janga la kitaifa
  13. E

    Tibaijuka azomewa mbele ya Kinana Muleba, adai hana njaa, kama ni hela anayo!

    Tunasubiri Panya waendelee kutoka kwenye chungu tuwagonge vichwa wafe.....
  14. E

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    The anticipation of ccm's death is worse than the death itself....twanga kote kote Dr.
  15. E

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Wamefanya kila hila, hadi Wassira anaapa hakitafika sijui hadi lini mbona mambo ndio songele...
  16. E

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Ukiona hivyo ujue mtu anakubalika, ogopa watu wanazolewa na malori, mabasi, kungekuwa na train inafika chuga wangebewa na mabehewa yao....
  17. E

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Huyu ndio Rais wa Mioyo ya watu. Watu wanakimbilia kutangaza safari zao za ujinga, wenye akili kama Dr. anaendelea na kuimarisha chama kila corner. Go Dr. wewe mbele, sisi nyuma yako.
  18. E

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Molemo Huyu ndio Rais wa Mioyo ya watu. Watu wanakimbilia kutangaza safari zao za ujinga, wenye akili kama Dr. anaendelea na kuimarisha chama kila corner. Go Dr. wewe mbele, sisi nyuma yako.
  19. E

    Lowassa amjibu Nape

    Huo muda anaopeteza ningekuwa yeye ningetafuta pahali nivute bata. Watanzania wa sasa sio wa miaka 5 au 10 iliyoisha. Mnaiba, mnakuja kutudanganya hapa. Hamna ----- safari mtasoma alama, wakati ndio huu wakupiga mstari...
Back
Top Bottom