Search results

  1. CHINOVA

    DOKEZO Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    Ngoja aje yule shehe aliyesema kunguni Paris ni laana kutoka kwa Mungu...........
  2. CHINOVA

    Isidingo, it's black now

    Nandipha.....
  3. CHINOVA

    Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

    Wanatuigizia tu hao waliandaliwa mapema kuwa watapigiwa simu.
  4. CHINOVA

    Mayai ya Bundi ni zaidi ya dhahabu

    Mbona hukuendelea kutafuta million 16 ilikutosha kuacha hiyo kazi rudi porini mzee yatafute mayai kama 1000 hivi ndio uache hiyo biashara
  5. CHINOVA

    Tanzania haijawahi kuwa na Rais mwenye Upendo kama Magufuli. Tumuombee Upendo huu uenee kote nchini

    Kuna kipindi Magufuri alisema Mayalla kwa kisukuma ni njaa labda alimpatia chakula akashiba sasa kavimbiwa anabeua tu!!!!
  6. CHINOVA

    Mashinji: Lissu amevuliwa Ubunge ili asigombee Urais 2020

    Unajua Mkono alipo ulimsikia kwa Mara ya mwisho lini.....................au kwa vile yeye ni vegetable....... Au yeye nae anapenda hospital afu kesho anakuja mpenda public eti muniombee kuanzia now tutakua tunaombeana mabaya.........
  7. CHINOVA

    Namibia yaamua kuuza wanyama pori 1000 sababu ya ukame

    Nanihiii si awanunue wote ili akajaze CHyato National park
  8. CHINOVA

    Barabara zilizojengwa chini ya Rais Magufuli kwa kipindi cha miaka mitatu tu

    Bariadi -lamadi kakuta imeisha...... Maswa -mwigumbi kakuta watu wapi site kajiwahi kuweka jiwe LA msingi Ila wakandarasa walikuepo toka early 2015 Hizo nyingine sizifahamu ila kwa hizi umedanganya umma!!!! Yeye ya kwake Massa -Bariadi Japo visibility isha fanyikaga kitambo mwambie aimalizie...
  9. CHINOVA

    Askofu Emmaus Mwamakula: Cyprian Musiba ana mamlaka gani katika nchi hii?

    Hakika hataweza kuwamaliza watanzania...........
  10. CHINOVA

    Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

    Hao waooooote Tisa kumi umpate mpangaji mwenzio mchawi......
  11. CHINOVA

    Naomba msaada wa kisheria.

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 Nimeoa na Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 4 Ninafanya kazi katika taasisi moja ya serikali nikiwa mtumishi was kada ya kawaida Mwaka 2013 nilijinyima nikanunua kiwanja na kuanza kujenga mwaka mwaka 2015 nilioa make wangu akanituta nyumba hiyo...
  12. CHINOVA

    Sijaona popote pale wanajeshi wa Rwanda wakilinda Ikulu ya Tanzania wala Ukuta wa Mererani

    Umekuja kufanya tasmini watu wanasemaje...... Juu ya ulinzi wa......... Mwambie aliekutuma hutajawahi kuwaona walinzi wa kirwanda ndio kwanza taarifa hizi tunazipata kutoka kwako.........
  13. CHINOVA

    TCRA imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizo na maadili kutoka BASATA na kuzifungia

    Nyimbo za Diamond zote zina matusi vipi zifungiwe chache badala ya zote ?
  14. CHINOVA

    Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dar es Salaam ni muda sasa wa kuandamana mpaka Ikulu kupinga mauaji ya mwanafunzi mwenzenu

    Wanafunzi wa nchi gani hao vilaza wasiojitambua bora enzi zetu tulianza kudai haki zetu toka sekondari chakula kibovu shuleni hapakaliki sio hawa watoto wa kata majanga tupu......
  15. CHINOVA

    Spika Ndugai: Nimwambie Zitto, nina uwezo kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge

    Madaraka ya kulevya....... weita niongezee faru john na mimi nilewe.........,ukiongoza na pombe lazima na wewe lazima ulewe ndio utaona mambo yanaenda..........Natamani kuendelea ila naona kuna mtu asiejulika anapita barabarni....
  16. CHINOVA

    Almasi ya Bilioni 32 inayodaiwa kukamatwa Uwanja wa ndege Dar ni Uongo wa karne!

    Sasa kama wamepima mawe yenye almasi thamani yake wameitoa wapi............ wamgesena thamani yake haijulika labda ningeona wana akili vinginevyo unatetea uzwazwa tu
  17. CHINOVA

    Polepole unampoteza Zenda

    Uzwazwa wa kiwango cha makinikia.....
Back
Top Bottom