Search results

  1. W

    Rais Magufuli akiimba na kupiga ngoma alipowasili Chato, Geita

    Becaus yourself you have no plan and future..Kalagabao endelea kucheza pool
  2. W

    Rais Magufuli akiimba na kupiga ngoma alipowasili Chato, Geita

    Hii thread haijasema kuna hotuba ni ngoma ya mapumziko kwa mjibu wa mila za usukumani, mfalme akirudi....:D:D:D
  3. W

    Rais Magufuli akiimba na kupiga ngoma alipowasili Chato, Geita

    Nyie mnaoshinda mlangoni kwa mamvi ndio mnadhani misaada ni heshima. Nasikia siku hizi naye ana masharti...lakini nenda tui si umezoea...., kichwa cha panzi
  4. W

    Rais Magufuli akiimba na kupiga ngoma alipowasili Chato, Geita

    Kafanye kazi na wewe uwape msaada, nyambafu. Umekalia ..unalia na misaada- nenda kwa mamvi anatoa misaada ingawa kapunguza halafu ina masharti....mburura we
  5. W

    Rais Magufuli akiimba na kupiga ngoma alipowasili Chato, Geita

    Haters are alwayz idiot:oops::oops:o_O:confused:
  6. W

    Dkt. John Magufuli amuapisha Balozi Eng. John Kijazi

    Sefue hajatumbuliwa. Makatibu Viongozi kwa kawaida akija Mkulu mwingine wanabadirika. Alipokuja Mzee Mwinyi 1985 (hujazaliwa) 1986 akabadirisha KMK, Mwaka 1995 (sijui kama ulishazaliwa) alipoingia Mzee Mkapa 1996 akabadirisha KMK, Mwaka 2005 alipoingia JK mwaka 2006 akamteua KMK mpya na Mwaka...
  7. W

    Upotevu wa Makontena 349 ICD: Nane akiwemo Masamaki wafikishwa Mahakamani, Wakosa dhamana

    Kama ungekuwa angalau unajua sheria kidogo tungeongea, lakini kwa kukusaidia tu hakuna sheria inayomfunga mtu aliyekwepa kodi. Sheria inasema akipatikana alipe na faini juu na kama akishindwa afirisiwe kulipia kiasi anachodaiwa. Nadhani umeelewa kidogo MBURURA
  8. W

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Halafu akigaragazwa 25 Oktoba kwa kupokewa na mburura wasiopiga kura aseme ameibiwa. Mazwazwa bwana. Watu wamejipanga, shauri yenu
  9. W

    Lowassa kawaahidi nini watu wa Monduli?

    Not cck- CCM CHAMA.KUBWA
  10. W

    Lowassa kawaahidi nini watu wa Monduli?

    Wewe zwazwa mbona hutuelezi wewe umepata siri gani toka CCM. Naona kama unajitekenya na kucheka peke yako mburura. Kwanza CCK haina cha siri na inajua ushindi ni lazima kuanzia 80% na kuendelea halafu zoba unakuja na hoja dhaifu. Bavicha vichwa vya panzi bwana duuuu...
  11. W

    Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

    Mie nadhani mburura nyie mnaopinga mleta mada hamnazo. Huyo Lowsa anaposema elimu bure ipi? Ya shule binafsi za watu na mashirika ya umma au ipi? Mbona hamjiulizi angalau maswali mepesi haya. Kabla ya mikopo vyuo vikuu tulikuwa tunapata kitu kinaitwa Bursary au financial support kwa mfano sie...
  12. W

    Makene na timu yako bado hamfanyi kazi ya kutosha

    Hakuna chochote anachoongea mgombea. Ulofa wa kufikiri ndio unatufanya tudhani tuna mgombea Urais Cdm. Asilaumiwe Makene narudia tuna sanamu la mgombea kwishinei
  13. W

    Mungai: Msinilishe Maneno,Shule za kata ni Ubunifu wa Rais Kikwete na Lowassa

    Mungai hapaswi kuonekana mbele ya uso wa dunia. Aliua elimu kwa kuirudisha ziro. Alikataza michezo shuleni-UMISETA na michezo yote ya msingi ikafa kwa viwanja kupandwa miti. Akua mtaala wote wa msingi nasekondari kwa kuodoa stadi za maisha?, biahara?, akaunts?, kilimo hadi literature nk...
  14. W

    Wananchi wajitokeza Kumlaki Kikwete Jijini Arusha Leo.....

    Kwani amekwenda kwenye kampeini, hao ni watu tu walijua atakuja kwenye mkutano wa sekta ya barabara wakajitokeza. Nyooka unnyooshwe mburura. Unadhani Kaska wote mburura; subiri mkutano wa kampeini HAPO ARUSHA ndo utaijua C C M. Yero sebei, ahahahahah Magufuri kwa raha zake, YERO YERO Amka
  15. W

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Popote Tupo, Hapa Kazi Tu. Shauriyo mburura, utaachwa
  16. W

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Bavicha wa Kaskazi kwani hamjui au mnajifanya hamnazo. Ni kweli angalia top 4 hapo kwenye High table wote kaskaz sijui madhehebu, ahaa nayo wako sawa nimeambiwa hapa, du Mungu tunusuru kuna kitu hapa si haba. Yule Dr wa dhehebu fulani katimuliwa kiaina shabashi siasa za Bongo majanga. Halafu...
  17. W

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kwa hali hii ni halali kuitwa wapumbavu na malofa
  18. W

    UKAWA wapiga kura wanawaamini tatizo mnaanza kuwaangusha, roho inauma eti..!

    Kwani bulaya Esta si kachukua nafasi ya mmtu Bunda kuaina.ccm B sio
  19. W

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Kwa hiyo mlitaka Polepole hasimchane Lowasa kama ana kashfa ambazo nyie bavicha vichwa vya panzi milkuwa mnamchana nazo mwezi mmoja uliopita. Ama kweli mbururra haaminiki.Sasa hivi mmesahau mlivyomdhalilisha Lowasa kwa miaka 8. Ndorobo nyie. Hivi mnadhani Lowasa anawajua nyinyi mbigiri? Angalau...
  20. W

    Tofauti kati ya Mrema na Lowassa kwenye ugombea urais

    Bado Lowasa ana damu ya CCM na isje shangaza kama Mungu atafanya maajabu Lowasa akawa Rais watendaji wakuu wote watakuwa wametoea CCM na hapo wanaojiita ukawa ndipowatakuw wameula wa chuya. Nasema hivi kwa sababu taka usitake marafiki wa Lowasa wengi wako CCM NA UKAWA HANA RAFIKI HATA MMOJA. Na...
Back
Top Bottom