Search results

  1. babalao 2

    Wakati Tanzania Tuna "Struggle" Kupata Watalii Milioni 2 Kwa Mwaka,Egypt Inatarajia Kufikisha Watalii Milioni 15 mwaka 2023.

    Gharama za maegesho ya ndege, Garama za magari ya utalii, kodi kubwa, miundombinu duni, ujuaji mwingi nk
  2. babalao 2

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Kwamba hawatakiwi wath kufa sababu Magu katangulia?
  3. babalao 2

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Pole kwa familia
  4. babalao 2

    Zifahamu wilaya 5 za kanda ya kaskazini zinazokua kibiashara

    Huwezi kuelewa kama hujawahi kuishi huko...Mwanga Huwa wanapata bidhaa nyingi kutoka Same mfano ni huduma ya vyakula na Afya....kumbuka pia Same Inailisha Wilaya ya Simanjiro kupitiamji mdogo wa Hedaru.
  5. babalao 2

    Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

    Hongera Samia Suluhu...Hongera Watanzania
  6. babalao 2

    Zifahamu wilaya 5 za kanda ya kaskazini zinazokua kibiashara

    Himo inajumuisha njiapanda mpaka makuyuni au unazungumzia old Himo?
  7. babalao 2

    Zifahamu wilaya 5 za kanda ya kaskazini zinazokua kibiashara

    Ni kweli ila karatu ione tu hivyo ila ina mzunguko mkubwa sababu ya camps na hotel nyingi za kitalii
  8. babalao 2

    Zifahamu wilaya 5 za kanda ya kaskazini zinazokua kibiashara

    Zifahamu wilaya 5 kwa uwekezaji na biashara kanda ya kaskazini....Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara. 1. KARATU. Hii ipo namba 1 sababu kuu ni kiungo cha utalii kwa nchi ya Tanzania na pia ni mapito ya barabara kutoka Arusha to Mara na barabara ya Arusha To Maswa. 2. BABATI. Ni mji unaokua...
  9. babalao 2

    Ukiangalia hii picha ya Samia akiwa na Magufuli unaelewa nini?

    Kipindi hicho Uongozi ulikuwa unapewa ila wa kivuli tu
  10. babalao 2

    Je, ipo siku Taifa la Tanganyika litafufuka? Je, itakuwaje? Je, Zanzibar itakuwepo ama?

    Tanganyika itarudi ila itasalia na jina Tanzania ama likibadilishwa litakua Serengeti au Kilimanjaro
  11. babalao 2

    Wananchi wazidi kususia mikutano ya Wabunge wa CCM majimboni. Shida ni nini?

    Hao wabunge walichaguliwa au walipitishwa tu kibabe
  12. babalao 2

    Yanayoendelea Loliondo sasa faini ni milioni 10 hadi milioni 50

    Unataka wachunge ndani ya hifadhi?
  13. babalao 2

    Siku ya Mwisho wa Dunia itakuwaje kwa watakaokua Mars?

    Msisahau Oxygen watakayoitumia itachukuliwa duniani pekee
  14. babalao 2

    Siku ya Mwisho wa Dunia itakuwaje kwa watakaokua Mars?

    JUA LIKITIWA GIZA SAYARI ZOTE ZITAYEYUKA
Back
Top Bottom