Search results

  1. C

    Dr Peter Dalaly Kafumu apata ajali

    Acha wafe wote na Nchemba
  2. C

    Mtonyaji: CHADEMA mshukuruni Lissu na waandishi wa Habari sakata la Mwangosi vinginevyo...

    kunamitanzania mingine imerogwa na ccm, jana nimesafiri safari ndefu Zenji hadi Kahama,huku kunamijitu inasema chadema ndo wamemuua muandishi
  3. C

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Nape pole sana kwa kukutana na mtaalamu Lissu na umshukuru huyo host wa Dar asiyejua kuongoza kipindi
  4. C

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    ebu Yahya nenda kahost Dar dada anapwaya
  5. C

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    huyu host wa Dar hawezi kabanwa na Nape,sijui anamuogopa
  6. C

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Nape bado hajafafanua uongo wa Lissu, huyu hana hoja anapayuka tu bora angetafutwa kada mwenye uwezo sawa na Lissu siyo Nape
  7. C

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Yahya muulize Nape alisikika akisema 'Nilitoa hadhari kwa mtu yoyote atayeshiriki kwenye mkutano ule wa Iringa kuwa yatayomkuta hiari yake' sasa basi muulize yeye alilijua hilo kuwa askari wataua? pili na yeye akiwa kama nani hata atoe hadhari ile? CHANZO ILIKUA EATV KWENYE 5CONNECT
  8. C

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    eeeh Nape bado haamini tu kama polisi ndo wameua! kisha kwahili naye ajiulize kwann kila polisi wanapokuwepo watu ndo wanakufa?
  9. C

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Nape watu wanaongea mambo ya maana we unaleta Fiesta! Na inaonekana ndiyo lililokupeleka Mwanza kupumzika na si kingine.
  10. C

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Nape, kama kumehairishwa ni nchi nzima, sasa Zanzibar siyo Tanzania? Basi kama ndivyo kuna baadhi ya mikoa ya bara hakukuwa na upungufu wa vifaa nako ingekuwa vipi?
  11. C

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Naomba kumuuliza Nape kuhusu madai yake ya kwamba CHADEMA wanaiuza nchi kwa kwenda kuomba misaada nje ya nchi, je ni ya kweli haya?
  12. C

    Uamsho ni rehema ilioteremshiwa ASP na CCM–Zanzibar Kwanini waipiga mabomu ?

    sasa mnataka nn? nyinyi bado hamjaweza kujiongoza uhuru wa bendera unawatosha ebu tulieni si mnawimbo wenu wa taifa
  13. C

    PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    Chadema au CCM ndo wanatakiwa kuwasomesha hao watoto?
  14. C

    Essien kutua Arsenal

    Atakayeziba nafasi ya Song ni Jack boy na si Essien, bwana huyu anachukuliwa kwa mkopo kuimarisha nafasi ya kiungo
  15. C

    Essien kutua Arsenal

    kiungo mkabaji wa chelsea mghana Michael Essien anatarajia kutua Emirates kwa mkopo saa chache zijazo kama mambo yatakwenda sawa
  16. C

    Barrick Gold kuuzwa...

    Wameona madini washayamaliza wameacha mashimo tu hao ndo wanajitia pashao
  17. C

    Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

    Jamani huyu M***** msiwe mnatanguliza neno mh mkiwamnamjadili humu
  18. C

    Makamu wa Rais ana kazi gani?

    Bora ata makamu wa rais mbele ya huyu rais wa Zanzibar yeye kazi yake ni kuzindua maskani na matawi mapya ya CCM hana lingine analofanya
  19. C

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Mimi mnankera kweli mkimzungumzia mjinga huyu
Back
Top Bottom