Search results

  1. K

    Earth Auger Drilling Machine.

    Hiyo hapo mashine ya utafiti wa madini, utafiti wa udongo maeneo ya ujenzi wa barabara au magorofa. Mashine inauwezo wa kuchimba hadi mita 9.
  2. K

    Bashe: Tusiingize siasa kwenye Kilimo tuache soko liamue, tusirudie makosa ya 2017 na 2018!

    Sasa alaumiwe nani hapo ? Mkulima ambae aliuza vyote bila kujiwekea akiba au mchuzi? Pia nisomo kwa wakulima kukumbuka kujiwekea akiba.Acheni soko liongee bhana.
  3. K

    Bashe: Tusiingize siasa kwenye Kilimo tuache soko liamue, tusirudie makosa ya 2017 na 2018!

    Umejibu kisomi kabisa mkuu, Bashe komaanao mpaka wakimbie mijini wajekulima ,kwasasa angalao najionea faida ya mahindi niliyovuna.
  4. K

    Waziri wa kilimo amesema watu wauze mazao yao ndani na nje ya nchi hakuna kuzuia wasiuze nje ya nchi

    Sawa kabisa waziri kufanya hivyo itapunguza wazururaji mijini nakuona kilimo kama mgodi. Vijana wanakimbilia mijini ni bora warudi kulima kwa faida. Kuhusu kujiwekea akiba ni mtu mwenyewe apige hesabu zake vema maana hata tusinge uza nje bado kama siyo wakuweka akiba utauza kwenye soko la ndani
  5. K

    Anahitajika kiongozi wa kujitoa akili ili kuua ukabila ulioanza kuimarika nchi hii

    Jamani wachagaa ni habari nyingine Mimi mwenyewe nilishanyoosha mikono hawajama wakombali sana kwenye kila eneo, nilikuwa najiuliza kwanini wapo Sana kwenye maofisi ya serikali na hata sector binafsi? Nikagunduwa waliwekeza sana kwenye elimu. Ukitafuta watu kumi wenye vyeti vya fani yoyote kati...
  6. K

    Mahakama ya Tanzania iko huru, laana ya Lengai Ole Sabaya itaenda na wengi

    Mpumbavu alimletea dharau mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kisa alikuwa mwanamke, mwache ajifunze kwamba kumtegemea binadamu ni hasara
  7. K

    Rais Samia aache siasa, Tanzania haiwezi kuendelea kwa kutegemea misaada

    Ila na sisi watanzani ni watu wa ajabu sana inashangaza kuona mtu amelima shamba la mahindi kandokando ya ziwa Victoria mita kumi tu kutoka ziwani mahindi yamekauka ati nae anasubiria mvua! jamani kweli umaskini labda ni asili yetu,tutaitukana serekali lakini IQ yetu inamashaka.
  8. K

    Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

    Mama tembea mama ,kwanza nimegunduwa wewe inaweza kuwa una element za kichagaa maana wachaga wapo kila kona ya dunia wakisaka noti wanaokwambia unatumia pesa nyingii wengi wananongwa wanazojuwa wenyewe, tena nashangaa wanaotupa vijembe wanaume ambao wengi wao hutoka majumbani mwao iliwarudi na...
  9. K

    Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

    Pambana mama acha wanaojifungia ndani wabwate huyu mama atakuwa mchagga maana hiyo kabila haijifungii ndani na inamaendeleo sana
  10. K

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Weweee! Usitufananishe na Kenya sisi, hapa hatuna mambo ya ukabila, kwani waziri akiwa wakabila au kanda yako itakuwaje. Piga kazi jombaa achamambo ya ukanda
  11. K

    Jenista Mhagama katumwa kuharibu mpango wa kuongeza mishahara?

    Kwanini mnatengemea waziri awasemee, kile chama chenu kilikwenda wapi ?
  12. K

    Press conference ya Askofu Gwajima yapigwa stop 🛑

    Huyu jamaa siana kesi yakujibu kwenye kamati ya maadili? au anafikiri itampunguzia tuhuma zinazo mkabili.
  13. K

    Askofu Gwajima: Serikali ilileta Bungeni mkataba wa mkopo wa tsh 1.3 trilioni na ulijadiliwa na kamati na kupitishwa

    Huyu nae alishazoea vya kunyonga, alikimbia na mabox ya kura , walewale 2025 fever.Askofu mwi...... wa haki .
  14. K

    Mipango ya kumng'oa Ndugai kwenye Uspika yakamilika. Musa Azan na Elibariki Kingu Waongoza Mashambulizi

    Bunge lipi? Ila Mungu akitaka kukulipa ubaya wako atakusababisha upige hata honi mahakamani ili shuluba yako ianzie hapo, napatashida kuelewa nini kilisababisha ndugai aseme yale ni Mungu alionamuda wa hukumu yake umetimia. Mungu wewee?uhimidiwe.
  15. K

    Spika Ndugai, sasa utawakumbuka wapinzani ndani ya Bunge

    Kitendo chakutomliipia lisu matibabu ile pekee nilaana,na Mungu lazima akuadhibu hahapa duniani, naimani hata mama aliumizwa na ubabe pamojana ukiukwaji mkubwa wa katiba bila kujali.Kwali Mungu wewee?
Back
Top Bottom