Search results

  1. SEMBE WA LUSANGA

    Hapa Sitii Neno

    Nyie wana nyie mnanini?:tape2:
  2. SEMBE WA LUSANGA

    Kabla hujashiriki kuvunja sheria ifikirie familia yako kwanza, kuandamana bila kibali utaishia jela

    Dah! Tanzania inamambo kweli, nikitafakari sana naona nibora nife tu kwani maupepo yamekuwa mengi na hayapiti kama kawaida ya upepo kupita. :nono:
  3. SEMBE WA LUSANGA

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Semeni lakini maneno sio mkuki wakudhuru, semeni mkichoka mtalala!!:fencing:
  4. SEMBE WA LUSANGA

    UEFA Champions League, Special Thread

    Tatizo Man U huwa inasumbuliwa sana na timu za Spain, hapa sidhani kama Mashetani wataweza penya!!
  5. SEMBE WA LUSANGA

    UEFA Champions League, Special Thread

    Manchester United Vs Real Madrid? Hapa hapatoshi!
  6. SEMBE WA LUSANGA

    Namshukuru shetani

    Mh! Mchungaji kutamani hadi Bible inamdondoka, kujiuliza ni jinsi gani ungempata mrembo tena ukiwa kanisani, binti kaja tubu ukabaka tena ulikuwa mchungaji. Wewe hukuwa na wito wakuwa mchungaji kwani ulikuwa ni mchungaji wa mshahara tu, unatamani kondoo wako? ukamtafuna!! lol akakimbia, huyo...
  7. SEMBE WA LUSANGA

    Ubaridi wa WAZUNGU kitandani wasababishwa na nini?

    Wengi wanaishi sehemu zenye ubaridi sasa damu nayo ndo inaendana na mazingira, hebu fikiri mtu anakaa katika sehemu ambayo barafu inadondoka toka juu maisha yake halafu unategemea aendelee kuwa na damu moto? Hata kama mwili una constant degrees of centigrade lakini too much always ham full...
  8. SEMBE WA LUSANGA

    Ubaridi wa WAZUNGU kitandani wasababishwa na nini?

    Mbavuzangu unazivunja Bujibuji
  9. SEMBE WA LUSANGA

    Polisi wawili wauawa kwa mapanga na wananchi wenye hasira Ngara; kituo cha polisi chachomwa moto!

    Mkuu upo Sirius? Hebu endelea kutujuza tafadhali, sababu ya kuhamasishana ili kuvamia nizipi? Wanaopeleka mashtaka mapya pia hawaruhusiwi? Wanaotembelea mahabusu wao pia hawaruhusiwi kusogea? Update please?
  10. SEMBE WA LUSANGA

    Polisi wawili wauawa kwa mapanga na wananchi wenye hasira Ngara; kituo cha polisi chachomwa moto!

    Nguvu kubwa haitakiwi katika mambo madogo, nasikitika sana kusikia haya mambo, Police hawana budi kuwa rafiki wa raia lasivyo mambo yaajabu kama haya yanaweza tokea nakuharibu taswira ya nchi yetu. Jeshi linatakiwa kuwa rafiki mpendwa, kimbilio la haki na sivinginevyo.
  11. SEMBE WA LUSANGA

    Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

    Wema, Sato, Dona, Sembe, Mwanamkasi, Mwanamvua, Mwanamwema, Simba, Sumuni, Swaumu, Hondohondo, Kifaruhande, Nganenepa, Jumanne, Bahati, Zuzu, Mpangala, Katembo, Mtumwa na Sensa!!
  12. SEMBE WA LUSANGA

    Toa kasoro kwenye cheti hiki cha kumaliza darasa la saba

    Muhuri umekwepa picha Lukansola, hivyo hicho ni batili kwani yeyote aweza bandika picha yake hapo na akapotosha ukweli!!:fencing:
  13. SEMBE WA LUSANGA

    Disemba 15, 2012 kipimo cha ujinga kwa magazeti ya HabariLeo, Uhuru na JamboLeo

    Ninawasiwasi na uraia wa huyu anayejifanya gamba Tizama, hata lugha nyepesi inampa tabu, pole mgeni; Umehamia TZ mwaka gani?
  14. SEMBE WA LUSANGA

    Mademu wa Tanga, HAKUNAGA

    Kama ndio hivyo, Tanga hapafai kwendakwenda kwani utaporomoka kiuchumi na kiafya:lock1:!!
  15. SEMBE WA LUSANGA

    Hivi nini source ya senene??

    Hawa wadudu wanapatikana katika mwambao wa ziwa victoria, huko ndiko humea, wanapokuwa na mabawa husambaa kimakundimakundi pembezoni mwa ziwa, radi ikipiga huruka juu sana kwahofu na husafiri umbali mrefu ili kutafuta sehemu iliyo salama, basi ikitokea wakaona mwezi unaangaza, huruka kuufuata na...
  16. SEMBE WA LUSANGA

    Ninafanya Mapenzi na Mke wangu kwa Picha/Hisia za Mke wa Mpangaji Mwenzangu

    Mke wa mtu ni sumu, mkemee pepo huyo atakupeleka pa baya, tamaa inaponza mkuu.
  17. SEMBE WA LUSANGA

    Sababu zinazosababisha wanawake kukosa wenza au wachumba wa kuwaoa

    Hautaki nini? Acha kunivunja mbavu zangu mie, Unanikumbusha hadithi flani ya ''Sizitaki mbichi hizi''
  18. SEMBE WA LUSANGA

    Shemeji anaharibu ndoa yangu

    Mkuu pole sana na hilo lililokupata, chamsingi hapo kama suala linaukweli wowote, tumia hekima ya hali yajuu. Mosi, mkeo kashindwa kuilinda heshima yako; Pili mkeo kavunja uaminifu kwakutembea na shemeji yako hiyo nidharau kubwa sana pia nakupongeza kwa uvumilivu, ingekuwa mimi tungekuwa...
  19. SEMBE WA LUSANGA

    siku palapanda ikilia mtu mzima money stunna nitanyakuliwa kama hivi

    ''Usihukumu kabla haujahukumiwa.....''
  20. SEMBE WA LUSANGA

    Nape utuambie ukweli je hii picha inakuhusu? kama ndiyo kadi yetu ikowapi ya CCJ??

    Khaaa, Unajua mimi nilidhania ni masikhara, kumbe ni kweli!
Back
Top Bottom