Search results

  1. M

    Mechi gani ya fainali ya kombe la Dunia ilikuwa kali na ya kusisimua zaidi?

    Hii nusu fainali ilikuwa tamu sana huku kipa wa England Gordon Banks akiwa nyota wa mechi kwa saving alizofanya hasa ile aliyo jipindua na kusave bicycle kick ya Pele na wakati alisha shangilia goli
  2. M

    Wako wapi wachezaji hawa wa zamni wa Simba na Yanga?

    Nakummbuka nikiwa UAE miaka ya 1998-2002 alikuwa naye akiwa Sharijah, UAE. Kutokea kipindi hicho sina taarifa zake na hata hii ya Yanga Bwanga kutangulia mbele za haki nimefahamia humu JF sports.
  3. M

    Wako wapi wachezaji hawa wa zamni wa Simba na Yanga?

    Aluu Ally alitokea Morogoro na alichukuliwa na Simba akiwa anasoma kidato cha tatu ktk shule ya Forest hill.Alikuwa zao la umiseta na klabu ya Jogoo na alipojiunga na Simba 1976 aliendelea na masomo yake pale Azania.Alipomaliza kidato cha nne alitimkia zake Uarabuni ambako kipindi hicho kilikuwa...
  4. M

    Yupi ni kocha bora wa kigeni kuwahi kufundisha ligi ya Bongo?

    Victor stantclaus, Tambwe Leya,Raul Shungu,Rudi Guntendorf, Micho, Plujim(Yanga),/Nabi Camara,Samsorov,Edil Silva, Popadi, Sianga, Patrick Phiri,Omog, Lenchentre na Patrick Aussem( Simba)
  5. M

    Mo Dewji ni tapeli na bora imeonekana mapema

    Umeanza lini kuishabikia Simba maana kama hujui kuwa Simba kuna kipindi cha misimu mitatu mfululizo ilitumia wachezaji vijana wakititokea Simba B kina Mkude, Ajib, Singano,Mwanyika, Ndemla,Lucian,Isihaka Hassan, Miraji Athuman na kwa kipindi chote Simba ilikuwa inafukuza kivuli cha kupata...
  6. M

    Mo Dewji ni tapeli na bora imeonekana mapema

    Ndio matatizo ya kuchamba kwa kutumia mkono wa kulia.Naona umeandika ukiwa ndani ya Milembe hospital
  7. M

    Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

    Kusema ni rahisi lakini kutenda na kutimiza malengo itabaki ni ndoto za alinacha.Simba imekuwa full established????? wakati kila anayeingia madarakani anafikiria kupiga pesa na siasa nyingi.Ukweli usiofichika kuna genge chafu linapigia mahesabu ya kuzipiga 20 bilioni kwa masilahi yao binafsi na...
  8. M

    Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

    Huu wimbo wa brand...brand ni kujidanganya na kuficha udhaifu.Neno brand limesaidia nini hivi vilabu ambavyo hata michango yenyewe kuchanga ni shidaaaa.kulipia kadi ya uanachama shidaa.Kama brand inayopigiwa debe, basi Yanga wangefikisha ktk harembee zaidi ya bilioni 3 lkn wameambulia milioni...
  9. M

    Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

    Ndio ukweli wenyewe wala hakuna cha kumung'unya maneno.Una Hisa 51% halafu mali ulizonazo ambazo hazifikishi mtaji hata wa milioni 10 hutaki kucontribute basi ni uenda wazimu huo na ndio maana Manji alisepa zake.
  10. M

    TAKUKURU chunguzeni uwekezaji wa Mo klabu yetu ya Simba

    Hoja zako hazina mashiko na ni husuda tu inayokusumbua.Mchakato wa mabadilko ndani ya Simba ulichukuwa takribani miaka miwili na uliridhiwa na wanachama kwa uwazi bila usiri na ukapigiwa kura tena chini ya usimamizi wa jaji anayeheshimika Thomas Mihayo na kwa baraka za Serikali tena ya awamu hii...
  11. M

    Sheria ya Wachezaji Watano tu wa Kigeni kwa kila mechi inaenda kuua soka Tanzania

    Ukweli wachezaji wetu wengi wa ndani hawajitambui....walinganishe kina Makambo,Ajib, Mkude, Kotei, Kagere n.k.
  12. M

    Hamisi Kilomoni alindwe

    Bi Hindu ameshamkana Kilomoni.
  13. M

    Deal Done: Kiungo wa GorMahia Fransic Kahata asaini Simba SC

    Kama Jamal Malinzi na Mwesiga
  14. M

    Yanga na teams zote za ligi kataeni huu upuuzi

    Anzeni nyie Yanga kujitoa... Uone Kama kuna watakaowafuata. Mlizoea enzi za Malinzi na Manji basi mnajiamanisha kuwa hata TFF ya sasa inafanya madudu ya TFF ya Malinzi.
  15. M

    Hivi Simba SC tutawahi tena kuja kuwa na Kikosi imara na cha kukumbukwa kama hiki?

    Kuna timu ya 1974 ilizitoa timu ya Lesotho, Green Buffalo's( Zambia) Heart of Oaks ( Ghana)na ikatolewa kwa mbinde na Mehalla El Kubra ( Egypt)... 1.Mambosasa 2.Shaban Baraza 3.Mohamed Kajole 4.Athuman Juma 5.Choggo / Aloo Mwitu 6.Khalid Abeid 7.Willy Mwaijibe 8.Haidari Abeid 9.Michael Sentala/...
  16. M

    Magolikipa waliotamba zamani nchini

    Makipa waliotamba miaka ya 1970-1980 Elias Michael-Yanga Kitwana Manara-Cosmo/Yanga Muhidin Fadhili-Yanga Patrick Nyaga-Yanga/Pan Africa Mbaraka Salum -Simba Hassan Mlapakolo -Simba Greyson Mwamaja-Simba John Semainda-Simba Omary Mahadhi-Simba Hemedi Mussa-Reli Moro/Tanga Athuman...
  17. M

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Hukumu ilikazia kwenye nini hasa?....medical report nilivyoilewa inasema the hymen and anus evidence claimed were intact?... Ushahidi wa watoto ni wa kukariri kama ngonjera. wanasheria tuelimisheni.
  18. M

    "Bora msagaji kuliko mume wangu"

    Enzi za nabii Lutu zinarudi... sasa ni majike kwa majike na sio wanaume kwa wanaume.... Sodoma na Gomorah. Hakika sijui adhabu yake itakuwa nini... Mwenyezi mungu alinena enendeni mkajaze ulimwengu lkn badala ya kufanya hivyo inakuwa kinyume na maagizo yaliyotolewa na mwenyezi mungu....inasikitisha
Back
Top Bottom