Acha ulimbukeni wa lugha. Ndo maana Tanzania tutabaki maskini mpaka mwisho wa dunia. Kingereza ndo nini, wenzetu wazungu wanathamini lugha zao, kwa mfani wajerumani, waitaliao, na wengineo, hawatumiee kingereza na bado wako mbali, sisi tunang'angana na kingereza ambocho pia hatukijui. Kama kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.