Search results

  1. M

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Mungu amlaze Mahali pema PEPONI, Amsamehe madhambi yake, amuongezee mema yake na ajaalie kaburi lake liwe ni KIWANJA miongoni mwa viwanja vya peponi
  2. M

    Majina ya wagombea Ubunge jimbo la Kinondoni yatoka, Mgombea wa UKAWA akatwa

    Kabla ya kutoa conclusion kama wagombea wa UKAWA kupitia CUF wananunuliwa au la, kwanza fanya analysis katika majimbo matano ambayo CCM tayari ishapata ushindi kabla ya uchaguzi, majimbo mangapi yalikuwa allocated kwa CUF, Mangapi yalikwenda CHADEMA na Mangapi yalikwenda NCCR na NLD? Otherwise...
  3. M

    Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

    Nukuu ya mwanafunzi wa IMTU. "for a while our university administration imekua na matatizo..iliwahi kutokea miaka ya nyuma scenario kama hiyo ambapo mwanafunzi alieonekana na mkono mtaani of which hairuhusiwi hata kutoka na groves inje ya hicho chumba..sasa semester one ilimaliza kutumia hizo...
  4. M

    Msaada: Mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto

    Thanks mpendwa kwa Jibu lako! Je ulienda Hospitali gani? Na Daktari aliyekutibia anaitwa nani?
  5. M

    Msaada: Mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto

    Hongera sana Mungu akujaalie upate mtoto mwema! But nilikuwa nauliza kidogo, Umepata ujauzito huo naturally au kuna dawa umetumia Dawa gani? Kuna dada yangu naye ana tatizo hilo hilo la PCOS , angependa nayeye apate ushuhuda wako na ushauri wako!
  6. M

    Msaada: Mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto

    Regular exercise, Food diet and use of Metformin simultaneously may return your menstruation to Normal! If that failed then "Laparascopy Ovarian Drilliang" is recomended !
  7. M

    Ikulu iombe radhi kwa dhihaka na matusi kwa Baba wa Taifa,Rais Kikwete amesema uongo hadharani

    NBC iliuzwa kwa Tsh. 15 Billion with all assets (51%) kwa ABSA
  8. M

    The Unsung Hero: Lipumba Hotuba yake nzito imeliunganisha Bunge

    "Hata huo Muungano ukifa sio kioja"- Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar!
  9. M

    Wasifu: Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA

    Ni kweli Mkuu CDM hata viongozi wake wanapangwa na Mungu M/Mwenyekiti : Mchungaji Natse Katibu Mkuu: Padri Slaa Naibu Katibu Mkuu: Mchungaji Msigwa HALELUYAAA...
  10. M

    Wasifu: Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA

    Hayo ni Maoni yangu tu Mkuu ili tuimarishe chama na Kuhakikisha 2015 tunatinga Magogoni! Wacha mie nianze na slogani Mpya " HALELUYAAA!!!
  11. M

    Wasifu: Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA

    Pia Ni vizuri Nafasi ya M/Mwenyekiti apewe Mchungaji Natse na tukabadilisha Slogani ya Chama baada ya People power iwe "HALELUYAA" AMEEEN
  12. M

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Hata Pembe lako litakatwa Mkuu! Hakuna atayebaki Duniani!!
  13. M

    Wachomwa na zanzibar kusajili meli za mafuta

    Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar Maritime Authority – ZMA ni Mamlaka iliyoundwa kwa sheria No. 3 ya mwaka 2009 ambayo pamoja na kazi nyengine inasimamia utekelezaji wa Sheria ya usafiri wa Bahari Zanzibar ya mwaka 2006 (Zanzibar Maritime Transport Act 2006). Sheria ya Zanzibar Maritime...
  14. M

    Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    On this one all Tanzanians who cherish the country’s independence must stand together with President Kikwete in politely telling the US Senator that the decision by the Zanzibar authorities to reflag Iranian tankers is a legitimate commercial act undertaken by the Zanzibar authorities who have...
  15. M

    Taifa stars vs Mozambique.

    updates please, au tushatolewa!?
  16. M

    Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

    Majungu tuu na fitina ilovuka mipaka! Kama una ushahidi kwa nini usipeleke kunapohusika ili hatua za isheria zikafuatwa au unatumiwa na mshindani wake wa kibiashara?
Back
Top Bottom