Search results

  1. I

    BoT: Kufungwa kwa maduka ya fedha ya kigeni Dar ni zoezi endelevu, wafanyabiashara walalamika kinyang'anywa fedha, camera na nyaraka

    Swali:njia pekee ya kudhibiti haya maduka ndio hii? Hakuna masharti makali ambayo yanaweza kuwa imposed ili kuweza kuya control?
  2. I

    Nimeitwa oral BOT

    Tupe brief kdg especially: -wamepiga simu lini -Post gani -wamekutumia email pia
  3. I

    Kazi nyingi TTCL

    Yeyote aliye save Job Description za hizi post, kindly aweke hapa au ani-PM. Nili apply ila siku save JD za -Business Application Admin -Developer/Analyst: Its good to have for reference
  4. I

    Aliyemtoa Dr Slaa CCM afunguka - atoa ushauri mzito kwa Watanzania

    Sidhani kama aliyetuma hii post atarudi kujibu hizi hoja za msingi
  5. I

    Aliyemtoa Dr Slaa CCM afunguka - atoa ushauri mzito kwa Watanzania

    sidhani kama atarudi na majibu ya haya maswali
  6. I

    Elections 2010 Slaa anaweza kushinda,watz tusikate tamaa mapema

    Dont bypass election, Go and cast your vote for Slaa.... Tunguli haziwezi kushindana na nguvu za Mungu hata siku 1. Kimsingi inabidi tumuombe Mungu ili zote zisizo kuwa halali njia ambazo CCM wanazitumia kwamfano ushirikina,mapepo,wakuu wa anga,rushwa,ubabe wa Nguvu za dola n.k zishindwe...
  7. I

    Elections 2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

    huwezi kupata mafanikio makubwa katika maisha kama utakuwa muoga wa kuchukua maamuzi magumu na kuthubutu... Waoga wa kujaribu/kuthubutu always wanabaki hapa hapo walipo
  8. I

    Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    hizi ni dalili za siku za mwisho..dunia imefika ukingoni.
  9. I

    Ombi la kupunguza sikukuu nchini

    tatizo wafanyakazi wetu hawajitumi wakiwa kazini.. wengi hawafanyi kazi kwa kujituma, wanaweka masilahi yao binafsi mbele,shortcuts nyingi. bila kubadilika haina maana kupunguza sikukuu. wenzetu wahindi wanasikukuu nyingi lakini hizo siku waliko kazini wanafanya kitu cha kueleweka.
  10. I

    Mashoga Uganda Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo

    huku ni kwenda kinyume cha mapenzi ya Mungu , hapo ndipo tunapokosa neema ya Mungu na tunapoadhibiwa na Mungu hapa hapa duniani, mfano njaa kali kutokana na ukosefu wa mvua.
  11. I

    Kenya voted ugliest in Africa, what is the position of Tanzanians

    its seems that is the only thing Tanzanians feel proud of. But it is completely helpless for us. That is their origin, we should stop criticizing them on this coz. Mambo ambayo wao wanajisifia kwa namna moja au nyingine yanawasaidia. We should stop entertaining these ridiculous things and focus...
  12. I

    JK Kuhudhulia ufunguzi wa Kibo Palace & Snow Crest Hotel Arusha

    Maranyingi humu J.F na watanzania kwa ujumla tumukuwa tukiponda serikali ya ccm,lakini inapofika wakati wa uchaguzi wanaoenda kupiga kura sijui wanakuwa wapi.. too smart to queue and cast a vote? we need to change now, blame game wont help us .
  13. I

    Marrying a chagga

    wachaga wamekuwa kama zitto humu J.F. Kwani Tz kuna makabila mangapi mpaka kila siku wanazungumziwa wao tu. something fishy about chaggaz must be going on over here.
  14. I

    Nigerian Celebrities and facebook scamming

    just a little common sense was quite enough to recognize that,the guy was lying to her. Ameanza na kuomba nauli, duh hukustuka hapo,kila akiwacliana naye the guy is talking about cash. haya ni matatizo ya kuoza sana na kutotumia common sense.
  15. I

    Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

    nimekupata, tuwaachie wazoefu. Ingawa wadai ukienda chini unajiwekea guarantee ya kutokupigwa kubuti. Tunakuja na style mpya,hakuna kwenda chini na hakuna kibuti...
  16. I

    Mbunge wa Mwibara (CCM) apoteza kiti

    Jaji akitoa maamuzi ambayo leo yanafurahisha next time akitoa maamuzi ambayo hayafurahishi, tutamwelewa. kwanini kwa majaji wengine wanatoa maamuzi ambayo kila siku hayafurahishi. Hapo sheria iko wapi?
  17. I

    CHADEMA kuishitaki serikali kwa wananchi

    Chadema ni chama pekee kinachaonesha kuwa na strategies nzuri. Sijawahi kusikia chama chochote cha upinzani kikifanya operesheni mara kwa mara na kuwaelimisha wananchi,CCM huwafikia wananchi wanapoona maji yamekuwa ya shingo. Hawa jamaa inaweza kuwachukua mda mrefu kuona reaction ya...
  18. I

    Wakenya 20 wapigwa marufuku Uingereza

    halafu wameamua kuisifia na kuwa karibu sana na jirani yao(tanzania) kama kuwakomoa vile. USA wanaipa sana support tz.
  19. I

    Wakenya 20 wapigwa marufuku Uingereza

    Uingereza imewapiga marufuku zaidi ya wakenya 20 ikiwa nipamoja na maafisa wa ngazi za juu kuitembelea kutokana na madai ya ufisadi . Balozi wa Uingereza mjini Nairobi amesema kwamba marufuku hiyo imechukuliwa kama hatua ya mwisho kuhakikisha kuwa watu binafsi wanaohusishwa na ufisadi...
Back
Top Bottom