Search results

  1. K

    Serikali ilivyotekeleza Maazimio ya Bunge Richmond-Pinda.

    Good and encoraging work. What is left is finishing the unfinished business. Let us witness the conclusion and not stories. Kweku
  2. K

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Eeeh hii kali. Inabidi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa ki mataifa aanzishe darasa.
  3. K

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Gamba la Nyoka is being objective. AS 4 the REV, Mhh, you better think twice.
  4. K

    Mtikila akamatwa na polisi kwa kumkashifu Rais

    Whatever the case, suala la kumtukana Rais si strategy nzuri. Mtikila angetumia mkakati mwingine kwani athari za kumtukana Rais ni mbaya sana kwa heshima na stability ya nchi
  5. K

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Cool. Kila siku naamini kuwa subira yavuta kheri
  6. K

    Kifo Cha Mbatia Chaibua Mapya:inadaiwa Alilengwa Zitto

    Hii kali. Tatizo ni je kuna ushahidi? au zitto kuchelewa kidogo ilkuwa ni coincidence tu
  7. K

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Nasubiri naye ajibu mapigo.
  8. K

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Time will tel. We shall wait and see the aftermath. The most important aspect here is for the MONEY to be returned back to TZ, otherwise ni usanii tuu.
  9. K

    Inawezekana matatizo ya nchi ni makubwa kuliko tunavyodhani: Immanuel Didas, apasuliwa kichwa badala ya mguu MOI

    Kabla ya kutoa uamuzi kwa kusukumwa na hisia, nasubiri matokeo ya uchunguzi. Lakini inatisha.
  10. K

    Riwaya: Busu Kabla ya Kifo

    Pongezi. HADITHI YA KUSISIMUA
  11. K

    JK kupangua CCM #1 Mkamba nje list inafuata....

    Mwawado kwani nidhamu ya jeshi ni mbaya? Mimi nadhani nidhamu inahitajika mahali popote. Siamini kama kuna aina za nidhamu. Nidhamu ni nidhamu tuu na inahitajika toka nyumbani, mitaani hadi kazini. Yeyote atayechaguliwa lazima awe na nidhamu.Akichaguliwa mwanajeshi, tena wa cheo cha juu...
  12. K

    Bendera ya CCM yachomwa na Wamachinga

    ccm ni Chama kimoja kati ya vingi hapa Nchini japokuwa ni tawala. Kuchoma bendera yake tena mbele ya vyombo vya dola ni utovu wa hali ya juu wa nidhamu, na ni kinyume kabisa na maadili ya Mtanzania. Nina hakika tukio hili halifahamiki na Watanzania walio wengi kwani lingelaaniwa hadharani. Ila...
  13. K

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Jibu ni kuwasomesha Watoto wako leo. Wewe Treni ilikuacha zamani. Well done Mkjj.
  14. K

    Rais Kikwete sasa kuunda kamati mpya ya madini

    In my opinion, the President is right by admitting failure and deciding to take corrective action. Additionally, I commend his commitment to have a diversified commission to oversee the revision of the past contracts. Weldone JK. Keep it up.
Back
Top Bottom