Unajua
Unajua JF imeingiliwa na wasiokuwa na uwezo wa kufanya study kabla ya kukimbilia kwenye keyboards. JF inapoteza its status of being a forum for great thinkers
Usisahau kujiuliza katika kipindi cha miaka 5 ni watanzania wangapi wasiokua na hatia walifia kwenye utawala wake bila hatia, wangapi wamepotea hadi leo hawajaonekana, wangapi walionewa bila sababu, wangapi walipoteza mali zao kibabe kwenye utawala wake. Sasa wewe nadhani ushabiki wako...
Kwenye utawala wa sheria tuhuma haimzuii mtuhumiwa kupumua, ushahidi unahitajika kumshughulikia kisheria vinginevyo utaumia rohoni kwa kusubiri matokeo unayoyafikiria ambayo hayatatokea
Unajua kuna watu hapa JF wanadhani mambo ya mahusiano ya kimataifa yanaendeshwa kama wanavyofikiria wao. Huyu mama kwenye diplomasia ya uchumi amefaulu sana kwa mazingira ya sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.