Search results

  1. MAULA

    Kwa binti unaetamani mume wa kukupenda sana.

    Dini umeishika mkono upi?
  2. MAULA

    Umewahi piga/pigwa chabo katika faragha

    Hiyo ya kwenye mparachichi ndo ilikua michezo yako hiyo ulifanya kusidi[emoji846]
  3. MAULA

    Kwanini hairuhusiwi kupiga picha bwawa la Mtera?

    Sababu ni usalama wa watumiaji wa eneo lile imagine wangeruhusu na pale panaongozwa na taa wengine wangeshuka pale wapige picha, wengine wangeendesha taratibu au kusimamisha gari zao ili wapige picha ambapo sio matumizi sahihi ya daraja lile na pale no one way so hapahitaji jum ktkt
  4. MAULA

    Tofauti kati ya mwanaume mwembamba na mnene katika mapenzi

    Mm nazani unene asilimia kubwa huwa unaashiria mwanaume alietoka famioia bora. na wembamba familia maskini na akinadada wengi wanapenda maisha bora
  5. MAULA

    Kulikoni wanaume wa miaka hii mmekuwa wadhaifu namna hii?

    Miaka ya zaman ipi unayoizungumzia?
  6. MAULA

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ________________________ _________________
  7. MAULA

    Jinsi Makonda alivyozishinda vita ambavyo hakuna aliyewahi kushinda

    Vp uko dar madewa hayatumiki?
  8. MAULA

    Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

    Ukistaajabu ya kuoa utayaona ya kuhoa
  9. MAULA

    Yusuf Manji, siasa za Tanzania, utawala na utajiri wa Quality Group

    Nahisi watakua wamemuweka kwenye matazamia, kuwa je ametransfomika na kua mnyonge au bado wamkaendelee kumpika si unajua wanyonge tuu ndo muhim
  10. MAULA

    Hivi Manji ndiyo nani nchi hii?

    Naona wanamtransform kuwa mnyonge
  11. MAULA

    Nimegundua anamahusiano na mtu mwingine, nimwache aende ama nimkoseshe amani

    Muache tuu mwanamke hata umafanyaje huwezi mpa mawazo watu wayawafanya vitu vya ajab lakn hamna kitu
  12. MAULA

    Nimeamini Magufuli anapendwa na watanzania

    Kwa hiyo wanyonge wanaongezeka, wanapungua?
  13. MAULA

    Ni vigumu kuishi bila kuchepuka

    Namba A alikotoka
  14. MAULA

    Aminini nawaambia kusaidia wadada kunaponza!!! Jioneeni wenyewe!!!

    Akija Geto huwa mnapiga stori gani mkuu
  15. MAULA

    Sijaona raha nyingine dunia zaidi ya hii

    Unachavanga tuu mzee
  16. MAULA

    Balozi Mongela atoa onyo kwa vijana ashauri wapelekwe darasa la kutongoza

    Yy ndo wakumshangaa kwan siku hatutongozi mbona
  17. MAULA

    Mwanaume akikuomba vitu hivi vitatu jua hana mpango wa kukuoa

    Wanaume tuache hizi tabia kwani women conservation inaanza na mtu mmoja mmoja sasa kila mwanamke mkimfanya hvyo mnategemea tuje tue na wanawake wa namna gani
Back
Top Bottom