Search results

  1. saimon111

    Nauza camera kali Nikon D5300

    Lete offer hiii ni biashara
  2. saimon111

    Nauza kiwanja Dodoma -nzuguni

    Nzuguni A, block AG
  3. saimon111

    Nauza kiwanja Dodoma -nzuguni

    Kiwanja ni changu mwenyewe na docs zote ninazo
  4. saimon111

    Nauza kiwanja Dodoma -nzuguni

    Habari wana jamvi Naiza viwanja viwili vyote kwa ujumla ni sq750, vimepimwa na vina hati kubwa.......vipo nzuguni Dodoma Bei 7,500,000/= vyote Contact 0655517964
  5. saimon111

    Nauza camera kali Nikon D5300

    Habari wakuu Nauza camera kali details hizo hapo chini NIKON D5300 BEI 800,000/= IMETUMIKA KWA MIEZI 3 TU INAKUJA FULL BOX BILA LENS LAKINI UKITAKA NA LENS YA 18-55mm UNAONGEZA 200,000 KWENYE BEI ILIYOANDIKWA HAPO JUU Battery life: 600 shots Camera: 24mp Lens:18-55mm Max ISO: 25600 location...
  6. saimon111

    Sauli Vs Imani Bus lipi bora kwa safari Dar - Mbeya?

    Kama unataka huduma bora panda Imani Plus, lakini kama unataka mambio wenyewe wanaita ligi panda sauli........
  7. saimon111

    Nahitaji Toyota Crown au Nissan fuga

    Offer yangu ni million 7 mpaka 8, Toyota Crown royal au Nissan Fuga iliyotunzwa. Piga simu au WhatsApp 0625640867
  8. saimon111

    Car4Sale Toyota Rav4, kilitime. No D bei 9m only

    Nunua tu hiyo gari, utakuja kunikumbuka....
  9. saimon111

    Geita: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richa 4.8 latikisa

    Ingekua enzi za jiwe kesho ccm wangemsifia jiwe kwa kuleta tetemeko lisilo na madhara
  10. saimon111

    Manara: Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa

    Hapo anataka mbishane ili akimbilie kwenye kivuli cha ulemavu wa ngozi.......kufukuzwa kazi kunauma nyie
  11. saimon111

    Jina la Sabaya lasimamisha kesi kwa muda

    Ujanja wa kisheria tu hapo, inamaana toka mwanzo hawakujua hilo
  12. saimon111

    Nahitaji gari kati ya haya

    Hii si ya Zanzibar mkuu, kuileta huku haitokua kipengele sana
  13. saimon111

    Nahitaji gari kati ya haya

    Crown Bmw series 3 ya mwaka 2006 Mercedes Benz c-class ya 2006 Kama utakua na moja kati ya hayo njoo inbox tuyajenge..... NOTE: offer ni ya uchumi wa kati 10m, lakini ntaongeza kama gari ni kali
  14. saimon111

    Nini hasa maana ya neno MATAGA?

    Wameenda kutohoa kwenye ule usemi wa *make America great again*
  15. saimon111

    Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    Kuna jamaa yangu amejenga hotel yake dodoma kali tu vyumba 10 na lowest ni chumba cha 55,000/=, na jamaa mwili wake ni mdogo mdogo hivi...basi juzi walikuja watu wa ccm kwenye teuzi zao wakafikia pale, kama bahati na jamaa yangu alikua pale hotelini kavaa pensi na tshirt anatoka nje tu akaitwa...
  16. saimon111

    Network business: Namna ya kuwakomoa wanaokusumbua ujiunge

    Alikuja mpumbavu wao mmoja juzi hapa kahama anasema tujiunge akachora na mchoro wao akasema tutakua tunapokea 11,000,000/= kila mwezi bila jasho.....nikamuuliza yeye kafikia hatua hiyo akasema ndio, wakati hapo kaja na bodaboda wamekula mshikaki na mwenyeji wake.....
  17. saimon111

    TRA Pwani wanarudisha nyuma juhudi za Rais Magufuli

    TRA ubunifu sijui ndio umefika ukomo, instead ya kutengeneza mazingira mazuri kwa walipa kodi, wao wanataka kukomoa......inamaana sasa hivi hata kile kidogo ambacho walikua wanapata hawatopata tena.
Back
Top Bottom