Search results

  1. Kabaunyeri

    Natufuta mbwa, aina ya german shepherd

    NI hawa wa kawaida?
  2. Kabaunyeri

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Mkuu vipi hao puppies bado wapo? How much?
  3. Kabaunyeri

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Wadau kwema? Natafuta german shepherd. Mwenye nao anaweza kunicheki
  4. Kabaunyeri

    Natufuta mbwa, aina ya german shepherd

    Habari wakuu! Nahitaji mbwa aina ya german shepherd, kwa ajili ya kufuga na ulinzi. Sifa awe ameacha kunyonya na ningependelea awe mix ya hawa wa kwetu na pure german shepherd.
  5. Kabaunyeri

    To every beautiful woman you see or meet ...

    Habari kwenu! Iko hivi " To every beautiful woman you see, there is a man tired of f***n her". Binafsi nimeishuhudia kwamba zile feelings unazokuwa nazo mwanzoni wa mahusiano au pindi unapomfuatilia binti, huisha au kupungua sana baada ya kuwa nae kwa muda na hasa pale unapopewa tunda a.k.a...
  6. Kabaunyeri

    KWA WATAALAM WA EXCEL KWENYE COMPUTER MSAADA HAPA [emoji1313]

    Kwanza hizo data lazima ziwe column 2, mfano ya kwanza iwe "name" na ya pili iwe "count". Kuna njia mbili sasa :- 1. Kutumia formula 2 . Kutumia PivotTable
  7. Kabaunyeri

    Msichana yupi ni bora kati ya hawa?

    Habari wakuu, Nina mpenzi wa karibu miaka 10, anaishi mkoani na tuna mtoto mmoja. Shida yake ni kiburi, haonyeshi kuwapenda ndugu zangu kwa sababu ambazo anazielewa yeye. Nimebahatika kufahamiana na binti mwingine kwa zaidi ya mwaka sasa, na anaonekana ana heshima na msikivu. Shida yake ni...
  8. Kabaunyeri

    Biggie'mania: Nyimbo gani ya Notorious BIG unaifeel deep down,,

    "Ready to Die" ni zaidi ya album. Hata mpangilio wa nyimbo ni kama hadithi, yani from ghetto life and hustles, to fame and riches, to struggle that come there after. Unasikiliza nyimbo zote bila kuchoka. Ni moja ya album bora za hip hop!
  9. Kabaunyeri

    Kuku aina ya kari

    Mkuu inachukua muda gani toka naweka order mpaka kuwapata?
  10. Kabaunyeri

    Kuku aina ya kari

    Mkuu je unao? nawapate kwa dar?
  11. Kabaunyeri

    Hot electronic dance music

    Nimevutiwa sana na hii topic, acha nitupie za kwangu japo old school kwa mabli....
  12. Kabaunyeri

    Naomba kujua historia ya Urusi

    Hivi vita ulivyovitaja hapo juu naweza sema vinafanana hasa ukiangalia sababu za kuanza kwake na matokeo yake baada ya kuisha yani kushindwa kwa mataifa hayo makubwa. Kwanza tuanze na kusema kuwa baada ya vita vya pili vya dunia, U.S na U.S.S.R waliibuka washindi na hivyo kupelekea kuwa...
  13. Kabaunyeri

    Naomba kujua historia ya Urusi

    Ha ha, hamna haja ya nguvu mkuu. Nakaribisha maswali ama hoja alafu tujadili kwa pamoja
  14. Kabaunyeri

    Midundo (Beats) kali zaidi kwenye historia ya Bongo Fleva

    Katika Hip hop ya Tanzania, P funk amefanya kazi nyingi ambazo baadhi ya my all-time favourites ni hizi : 1. Nje Ndani - Gangwe Mob (P Funk ) 2. Hili Game - Juma Nature ( P Funk) 3. Nini mnataka - Piggy Black ( P Funk) 4. Kama unataka demu - Jay Moe ( P Funk) 5. Bongo Dar es salaam - Prof J ( P...
  15. Kabaunyeri

    Naomba kujua historia ya Urusi

    Mkuu umeongea mambo mengi japo umeanza kwa maswali lakini mwisho umekuja na conclusions zako. Kifupi ni kwamba dunia imebadilika sana, kwenye nyanja zote hasa uchumi. Nchi kubwa miaka 50 au hata 20 iliyopita kiuchumi sio kubwa tena ama kwa maelezo zaidi nchi nyingi za magharibi hasa US uchumi...
  16. Kabaunyeri

    Naomba kujua historia ya Urusi

    Mkuu kwanza inabidi uelewe kuwa warusi ni multi-ethnic society lakini jamii(race) ya slavic ndio inayotawala na kushika nafasi muhimu zote katika uongozi wa nchi. Hii inatokana na jiografia ya nchi yenyewe upande moja upo ulaya na mwingine upo asia. Hii ni historia ndefu ambayo ipo hata kabla ya...
  17. Kabaunyeri

    Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ndoa tumepanga kufungia hapa Tz. Mara zote akiwa anakuja huku kunitemebelea hutumia temporary passport sasa ndio nimeamua bora kuwa na ile permanent kuliko usumbufu wa kurenew kila mwaka na pia hata siku ikitokea safari ya mbali zaidi iwe rahisi. Swali ni kwamba akiwa na passport ya kwao na...
  18. Kabaunyeri

    Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari wadau! Natarajia kufunga ndoa mwakani na binti ambaye ni raia ya nchi jirani. Pia nitaka awe na passport(hati ya kusafiria) ya nchi yake. Sasa ningependa atafute hiyo passport baada ya ndoa ili tayari majina atakayotumia liwe na surname yangu inclusive. Sasa naomba ushauri kama hilo...
  19. Kabaunyeri

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Habari wadau, Nahitaji kufahamu sehemu naweza kununua incubator kwa ajili ya shughuli zangu za ujasiriamali inayoweza kuchukua mayai 200 au zaidi. Kwa mwenye kufahamu na bei pia itasaidia. Nipo dar Natanguliza shukrani!
  20. Kabaunyeri

    Mtu wa kunitengenezea website, inakuwaje?

    Gharama za kutengeza website hutofautiana kutokana na mahitaji ya mteja. Tembelea wavuti wetu Portfolio | Wazoefu kuona baadhi ya kazi tulizowahi kufanya.
Back
Top Bottom