Search results

  1. C

    Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

    Nimefurahi sana kuona mada kuhusu huu mmea, nakumbuka miaka ya 90's tuliwahi kuutumia nyumbani na mama alisema kuwa aliutoa kwa bibi. Mama ameshafariki na nilitamani kweli kujua huu mmea chapati ni nini haswa lakini kila nikimuuliza bibi anasema haujui. Nimefurahi ku
  2. C

    Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

    Naona mnaendeleza kampeni ya chuki dhidi ya Arusha. Watu mnajua kabisa sababu ya maendeleo mahali fulani ni serikali halafu mnakaa kupondea mkoa. Ok mfano ujenzi wa fly overs train ya umeme zilizopita Dar unafikiri Arusha au mikoa mingine nao hawapendi? It is just a matter of priorities and...
  3. C

    Soko kuu Arusha halina hadhi ya kuitwa soko kuu

    Well said! Arusha imetengwa sana kwenye maendeleo hasa miundo mbinu. Imagine mkoa wenye vitega uchumi vya kutosha halafu miundo mbinu ni yaajabu kabisa. Bus station za Arusha zinasikitisha. Inabidi serikali ikumbuke Arusha katika hili, irudishe fadhila
  4. C

    Mi nililia kwa hasira,wewe je??

    Eeh makubwa haya
  5. C

    Unamzungumzia Diamond, humjui AY?

    Mimi nimewazd domo na ay
  6. C

    heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

    mmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh umeniacha hoi:whistle::whistle:
  7. C

    heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

    hapo napo nachanganyikiwa ngoja niulize kitu hivi bwana ni mume au?
  8. C

    heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

    jamani juzi kati nilikuwa saloon fulani ya kike mara akaingia dada mmoja akkaanza kumwadithia mwenziye.... hee shoga mwenzangu nimenuniwa huko si nimekosea kutuma meseji ya hawara wangu nikamtumia bwana angu, sasa mimi nashindwa kuelewa hivi ni sifa mtu kuwa na hawara halafu unajisifia mbele za...
  9. C

    Kumbe Chris Brown anavuta bangi.

    awwww jaman kaka:confused:
  10. C

    Hawa ni top 15 wenye makalio makubwa ndani ya hollywood na utajiri wao

    mh mbona kama udhalilishaji vile na mkishajua kuwa wana ******** makubwa kuna faida gani?:nimekataa
  11. C

    Wendy William's shades Beyonce

    it does not matter what ever she say is just like nonsense beyonce is a real star 4 rever i will love her wherever she is on the stage she put it on fireeeee:target:
  12. C

    Muhindi aliyesilimishwa!!!!

    Mhu mecheka
  13. C

    Face to face hug VS a hug from behind

    Uh me napenda frm behind af anikc kwny shngo aaawww
  14. C

    Wachaga bana awana hiana kabisa!!!!!!

    Watu wengne wanatumia udgaifu wa wenzao kuficha mambo yao uckute yajwako inachekesga kama ya mende tehee
  15. C

    Baada ya Aunt Ezekiel kuwa mtupu, Wema huyo sasa, mwenye macho aone

    Eh wala pichu hajavaa au kavaa ile kama kanda mbili?
  16. C

    Utoto bwana!!

    Ukimwona kinyonga unatemea nguo mate nje na ndani huku ukisema tu tu tu tu mbakasia
  17. C

    Utoto bwana!!

    Ukinyoosha vidole kaburini itabidi uviume visikatike
Back
Top Bottom