Search results

  1. K

    Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    Nimependa sana uchambuzi wako, Ninachojua mimi ni kwamba mtu havai ko au sweta ili bridi ije bali arii huja ii dipo watu hauvaa masweta u makoti. Hapa najifunza kuwa watu hufuata majira na si majira yanayofuaa watu. Tukubali Tukate, NI MAJIRA YA MORANI- Edward wa Ngoyai na mwana LOWASA
  2. K

    Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    Nimependa sana uchambuzi wako, Ninachojua mimi ni kwamba mtu havai ko au sweta ili bridi ije bali arii huja ii dipo watu hauvaa masweta u makoti. Hapa najifunza kuwa watu hufuata majira na si majira yanayofuaa watu. Tukubali Tukate, NI MAJIRA YA MORANI- Edward wa Ngoyai na mwaa LOWASA Ikulu...
  3. K

    English premier legue

    Ligi kuu ya Uingereza iliendelea au huenda bado mechi zinachezwa usiku huu,tafadhali mwenye matokeo ya mechi za usiku huu haswa mechi za Liverpool na Arsenal na Chelsea kama walicheza japo sina sana hakika kama wacheza anisaidie kujua matokeo tafadhali, Nawasilisha
  4. K

    Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

    MWINGULU; Sikutegemea hata kidogo wewe kwa nafasi yako kujitokeza na kusema lolote katika swala hili.Nadhani ulidhani utajipatia umaarufu lakini inaonekana kinyume chake.Kuna wakati kunyamaza ni BUSARA kuliko kukurupuka na kuandika bila kutafakari unachokiandika.Umeonesha jinsi nawewe ulivyo...
  5. K

    Natangaza rasmi...

    Mimi binafsi simtofautishi sana na Mwingulu huyu bwana anayeona ufahari eti kututangazia anajitoa chadema,kwani ulikuwa na mchango gani wewe kwenye chadema au ulifikiri utalambwa miguu ubaki.Hebu sepa zako haraka.Chadema sio mara ya kwanza kufanya maamuzi magumu,kama huamini nenda Arusha kaulize...
  6. K

    Al shabab wa msimbazi keshategua mapinduzi dhidi yake?

    Naombeni mliopo karibu na vyanzo vya habari vya uhakika kama huyu kiongozi anayelazimisha kukubalika wakati hapendwi kama amefanikiwa kuingia katika ofisi za club ya Simba kariakoo na ilisemekana atatoa tamko,je kaingia na kama tamko limetoka linasemaje?
  7. K

    Aden rage asimamishwa na kamati ya utendaji ya simba

    Wakati wa Field Mashow Hassan Dalali umewadia.Chini ya Rage tumeteswa sana na wasomali wa Yanga,Bin Khleb na Manji,wwanajitwalia wachezaji wetu kama simba mwenye njaa anavyoshika swala serengeti.Mara Twite,Yondani,Bathez,shaban Kondo,Kaseja nk.Sasa watamchukua yeye Rage mwenyewe, Ha ha ha ha ha...
  8. K

    Rage Atimuliwa Simba!!!

    Nimefurahishwa sana na uamuzi wa kamati ya utendaji kutuondolea huyu mwanasiasa uchwara wa kijani na njano,ni uamuzi sahihi kabisa japo umekuja kwa kuchelewa....Hafai hata kuiongoza familia yake huyu jamaa sijui aliwapa nini wanachama wakamchagua.kigeugeu mkubwa huyu aishie zake huko tabora
  9. K

    Kibaden, Julio Ouuut Simba

    Sina hakika kama simba imetibu tatizo kwa kuwatimua King Kibadeni na Julio,inawezekana wanamchango wa tatizo lakini je aina ya wachezaji wetu wa Simba nayo siyo tatizo jingine?Ninachokiona hapa na kwamba sisi Simba tunatishwa na kivuli cha Yanga na kwa hali hii tarehe 14th Dec mechi ya mtani...
  10. K

    Nahitaji connection na watu toka Israel

    Wana JF, Salaam, Ni imani yangu kuwa nyote mu wazima wa afya, Ndugu zangu naomba mnisaidie kuwa connected na watu toka Taifa la Israel.Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu lakini toka wakati nilipoanza kufanya jitihada za kuwa connected na ndugu hawa,hadi leo hii sijaweza kufanikiwa.Ninaamini...
  11. K

    Natafuta mashamba ya kununua mahali ambapo naweza kufanya irrigation

    Nakushukuru Fadhili kwa taarifa,nitakupigia asubuhi kukikucha kwa majaliwa ya mola,usiku mwema
  12. K

    Natafuta mashamba ya kununua mahali ambapo naweza kufanya irrigation

    Ndg zangu wana JF, Mamboz.... Naamini ninyi nyote mpo poa. Naomba mnisaidie kupata ardhi ya kununua isiyo ghali sana na ambayo ipo karibu na maeneo yaliyo na maji yatakayoniwezesha kufanya kilimo cha umwagiliaji.Ningependa sana kupata maeneo hayo RUVU,BAGAMOYO, au eneo lolote ambalo linafaa...
  13. K

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Ndg yangu CHASHA FARMING Ninachoweza kusema ni MUNGU AKUBARIKI sana.Umeonesha ni jinsi gani usivyo mchoyo na mbinafsi lakini badala yake umekuwa ume share what you know to the public,kiukweli nakupongeza sana.Nadhani umeleta jambo ambalo ni la msaada kwa watu wengi nikiwamo mimi. Nimesoma...
  14. K

    Natafuta mchumba!!

    Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona ( methew 7:7-8) yeye aichunguzaye mioyo akakupe sawa sawa na haya ya moyo wako ktk jina la Yesu, Ameen!!
  15. K

    Baby can i hold u tonight....

    Hapa imereact na ni asubuh tu kasafiri,usingizi wooote umepaa jamani Mkunde
  16. K

    Katiba Mpya

    Ndg zangu, Habari za Mchana!!!!!!! Naombeni mnipatie website ya kuchangia maoni ya katiba mpya,tafadhali kama unaifahamu nakuomba unnisaidie
  17. K

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    nadhani ccm wanajua kitakachowapa huko Arusha
  18. K

    Mbona simuelewi Mwenyekiti Mbowe?

    matokeo ya kweli ndg yangu?
  19. K

    Mbona simuelewi Mwenyekiti Mbowe?

    Yupo mwanafilosofia mmoja ambaye aligawa watu katika makundi matatu ya kujifunza.Makundi hayo ni GOLDEN Leaners, SILVER Learners na IRON Learners.Kundi hili la Iron Learner linajumuisha watu ambao Bongo zao hufananishwa na CHUMA.Uwezo wao wa kufikiri na kupokea mambo ni mdogo sana.Hawawezi...
  20. K

    Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa

    Ndugu zangu wapiga kura wa jimbo la arusha,nawashauri tuanze kuzitafuta kadi zetu za kupigia kura zilipo na kama zipo katika wallet zetu basi tuzitoe na kuzificha majumbani ili zisipotee au kuibwa inapotokea wallet imepotea tayari kwa kuchimba kaburi jingine la chama cha mafisadi hapa...
Back
Top Bottom