Search results

  1. G

    Ufafanuzi: Zitto Hajakimbia Mjadala wa Tuongee Asubuhi leo (LIVE ON Star TV)

    Zzk ni ndumilakuwili wa nguvu.ameshanunulika huyo hamna lolote yeye mwenyewe amesema alifika jana usiku dar -es-salaam sasa kwa mwanaharakati wa kweli hivi ni wa kushindwa kuhudhuria asubuhi?mijitu yenye bei inaboa sana.yahya wewe ulikuwa unaumwa siku hiyo sidhani kama uliwasiliana na zzk ila...
  2. G

    Kufungwa kwa mjadala wa "Ujana" na Urais; Ujana si dawa na uzee si ugonjwa!

    Big up mwanakijiji tusihangaike na walionunuliwa na upande wa pili kutuhujumu. Ni mpuuzi,mshamba,mbaguzi.ndumilakuwili amenunulika kirahisi sana.atashindwa na atalegea. Hatafanikiwa kamwe.hilo ni libaguzi likubwa.lizomewee
  3. G

    Mhe. Zitto kushindwa kutaja majina ya waficha fedha Uswiss kama alivyoahidi ni woga?

    zzk ni msanii wa nguvu.ni bonge la ndumilakuwili.watu tulishamgundua siku nyingi tangu aanze kuunga mkono ununuzi wa mitambo ya dowans.yeye mwenyewe aliahidi atawataja asilaumu watu sasa hivi.mbona dr slaa mwembeyanga alitaja?kwani kuna ugumu gani yeye kutaja wakati aliahidi au...
  4. G

    Rais Kikwete ana nguvu kubwa ya ushawishi.

    wana jf hili jamaa limejaa sana udini.akili yake ni maa.........viiiiii matupu lipotezeeni.limefilisika kimawazo mimi mwenyewe muislam safi tena sala tano hilo sijaona lijitu kama hili.mods tafadhali lifungie
  5. G

    Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    zzk is a profesional perpet.ni ndumila kuwili wa nguvu.hata ccm wanajua nini kinaendelea na jamaa yao wanaomtumia.atawadanganya watu fulani wakati fulani lakini hawezi danganya watu wote wakati wote.kwa undumila kuwili jamaa ni noma.hana lolote anawachezea watanzania kamchezo.tunaojua siasa...
  6. G

    While Zitto is being attacked pls read here

    kusoma sana siyo kukomboka kiakili.taifa letu limefika hapa sababu ya ma profesional perperte kama kitila na zitto.hawa majamaa wawili kila mwanacdm makini anajua ni mandumila kuwili.ni vigumu sana mimi kufikiri sawa na hawa jamaa.wasilazimishe tukubaliane na ujinga.hivi nani asiyejua kuwa zk...
  7. G

    Kwanini wanasiasa wengi hupenda kujiita vijana? Wakati umri umeenda?

    Watanzania wenzangu naomba mnisaidie Ujana unaishia miaka mingapi kwani Watanzania wengi hususan Wanasiasa wamekuwa hawataki kutoka kwenye hili daraja na siku zote wanang'ang'ana kwenye Ujana. JK mwaka 2005 akiwa anagombea Urais alijinadi kuwa ni Kijana wakati akiwa na miaka 55.Watu kama akina...
  8. G

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Hii thread ni nzuri sana lakini ina pungufu moja.Kichwa cha Thread kinasema mwanasiasa bora kijana 2012 wakati ukiingia kwa ndani inasema mwanasiasa bora kijana ndani ya miezi sita.Napendekeza tuwe tunachagua kwa Interval ya mwaka mzima hasa ukizingatia Mwaka wa Kiserikali unaanzia julai na...
  9. G

    Nani mwanasiasa unaependezwa naye,ungependa awe role model wako TZ?

    Mimi ni msukuma wa mwanza.my role model is freeman aikael mbowe. I hate john shibuda so much
  10. G

    NCCR yamtaka Mh Ezekiel Wenje kuomba radhi

    Mbatia and zitto kabwe are profesional perpete.mark my words mtanzania
  11. G

    Tundu Lissu, kwa hili, kachemka

    namuunga mkono lissu mnataka aseme halafu mpotoshe kama mlivyopotosha kauli ya mzee mtei.shame on you magamba
  12. G

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    mh Tundu Lissu
  13. G

    Dk Kitila Mkumbo: Vijana wa BAVICHA wanahitaji kufundwa!

    DR KITILA MKUMBO NILIKUWA NAKUAMINI SANA LKN SASA NAHISI NAWE HUNA LOLOTE BALI NI SHUSHUSHU ULIYETUMWA CHADEMA KWA KAZI MAALUM YA KUUA CHAMA.DR WEWE NI MSOMI MBONA UNAPOZUNGUMZIA SUALA LA SHIBUDA UNAKUWA MNAFIKI WA KUCHUKUA BAADHI YA MANENO NA KUACHA MENGINE.HUNA TOFAUTI NA MAMLUKI JULIANA...
  14. G

    Kauli ya Chagulani dhidi Manyerere (Council Mwanza) ni sahihi kwa afya ya CHADEMA?

    Pandikizi lingine ndani ya chadema.swhiba wa kibaraka zitto kabwe
  15. G

    Mh Zitto Kabwe- Kuelekea 2015

    zitto kabwe is a profesional perpete.sipotezi muda kumjadili kibaraka
  16. G

    CCM katika hali mbaya Arusha; kigogo mwingine (Bananga) atimkia CHADEMA

    You are warmly welcome to chadema.tuko pamoja hakuna kulala mpaka kieleweke. People's........................................... Power...............................................
  17. G

    Zitto alipuka tena bungeni

    Zitto is a profesional perpete! Watanzania mtakuja kumuelewa zitto tayari ameshamaliza kazi yake cdm.anauma na kupuliza lwa kifupi ni ndumilakuwili.after a shorttime lazima atafanya kituko kingine cdm.professa safari for presidency 2020
  18. G

    Baina ya CUF na CHADEMA kipi CCM-B? - hoja ya matusi

    humu hapakufai kaka you are not a great thimker usitupotezee muda
  19. G

    Maoni Binafsi: Ujio wa Bwana James Ole Millya ndani ya CHADEMA

    you are very intelligent!I lyk your comments.WANACDM TUWE MACHO NA HAWA JAMAA WANAOHAMIA KWETU
  20. G

    Je kwa hili amuoni kama Zitto ni kibaraka?

    Bila shaka wewe ni gamba la nguvu au mwana cuf uliyedandia siasa.niko cdm tangu 2007 nakijua chama changu vizuri!eti zitto ni zaidi ya chama.tuombe mgombea binafsi apitishwe tuone kama zitto bila hao mafisadi akina rostam ataweza fanya lolote
Back
Top Bottom