Search results

  1. Queen Esther

    Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu! Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:- 1. Ana ushawishi mkubwa...
  2. Queen Esther

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Acha bangeeeee!! Daktari wa Rais ndiye mtoa taarifa za Rais? Kasome tena Katiba!!
  3. Queen Esther

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Hatari sana! Ugonjwa wa Rais Magufuli ulijulikana zaidi kwa kina Tundu Lisu, Kigogo nk huku Makamu wa Rais akiwa hajui lolote!! Tena Rais akiwa amelazwa Hospitali ya viongozi! Wenye akili wazitumie vizuri kufikiri na kutoa majibu!! Kilichompata Rais Magufuli kinaweza kumpata yoyote! Ni vyema...
  4. Queen Esther

    Mzungu ana nyaraka zote za kumruhusu kuwinda Mamba, TAWA wamkamate waone!

    Huyu mnyama amewindwa wapi? Usije kuta ni kwenye Hifadhi zetu. Anayejua afafanue. Tanzania ni kubwa. Aidha, Nashauri mambo mawili; Sheria ya uwindaji ipitiwe upya ina mapungufu mengi na pili kuunga mkono juhudi za Royal Tour na Kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na inaendelea kufanywa na Rais...
  5. Queen Esther

    Je, mama analikimbia kundi lililompigania kuhakikisha anakikalia kiti? Kwann?

    Wapo watu wenye nia ovu walipenyeza taarifa nyingi za uongo na zilizokolezwa chumvi ili wamkamate mama na wamfanye mwanasesele! Mama akapelekewa orodha ya maadui wa kuchonga na akajazwa hofu! Kumbe wao ndio wenye nia ovu!!!! Mungu ni mkubwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Mama anaona na...
  6. Queen Esther

    Rais Samia ajiandae kupokea Nobel Prize pamoja na Tuzo ya Mo Ibrahim

    Hakika ni MAMA WA TAIFA. Licha ya utendaji uliotukuka:- 1. Ni Rais wa kwanza mwanamke Tz, East Africa na nchi nyingi duniani 2. Ni Makamu wa kwanza mwanamke Tz 3. Ni Mkt wa kwanza wa Chama kikubwa Africa yaani CCM nk Apewe maua yake! Mama wa TAIFA! By the way kuna watu wamejipa ushangazi wa...
  7. Queen Esther

    Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Hakuna anayekataa mitihani. Sheria iliyoanzisha mitihani hii ipo na imekuwa ikifanyika miaka yote. Je! Sheria ya kubadilisha mitihani hiyo na kuanzisha Pre na sio Post ndio mjadala. Pia, zamani ilikuwa huanzi Internship mpaka UMEAPA! Sasa leo Internship unaanza bila kiapo! Una Linda’s na...
  8. Queen Esther

    Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Usichanganye madesa. Hii ni field ambayo watu wanaenda ku deal na Uhai wa watu. Kwenda Intern ni kama tayari wewe ni Daktari kamili. Ndio maana Sheria iliwataka waape ndipo waende intern. Je! SHERIA IMEBADILIKA? Nani kaibadili? Kwanini? Je! Ilipitiwa na mamlaka husika na stakeholders. Tupe...
  9. Queen Esther

    Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Wanaendaje Intern ambapo ni kama kuanza Kazi BILA KULA KIAPO? Hivi akikiuka maadili ya udaktari atahukumiwa kwa sheria ipi?
  10. Queen Esther

    Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Mkuu hivi mtu anafanyaje mtihani na kuwa Daktari wakati HAJALA KIAPO? Zamani ilikuwa lazima graduation ifanyike WAHITIMU WAAPE! Hapo ndipo mtihani unakuja. Leo mnawataka wahitimu wafanye mtihani waanze Kazi ya kuhudumia watu bila kiapo? MMESAHAU UDAKTARI SIO TU SHULE NA MITIHANI NI PAMOJA NA...
  11. Queen Esther

    Katazo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (Amos Makala) ladharauliwa

    Hello Home of Great Thinkers! Nipo hapa Bahari Beach Mtaa wa Simba ukitokea Jambo Super Market. Ipo baa imefunguliwa hapa tena kwenye maeneo ya makazi. Mpaka muda huu inapiga muziki ukiwauliza wanasema hawatishwi na kelele za RC. Naomba utume vijana wako muda huu waje wajionee dharau kubwa...
  12. Queen Esther

    Utekelezaji Usioridhisha wa Mradi wa Uzalishaji wa Sukari Mbigiri

    Kiuhalisia huu mradi kuna watu wametafuna hela wakachongeana na sasa tunaona fedha za wanachama wa NSSF zilivyotafunwa. Nashauri Rais wetu kipenzi Mhe. Samia Suluhu Hassan awashughulikie wahusika wote uongozi wake usiingizwe au kuchafuliwa kwa ufisadi! Mifuko ya Hifadhi ya Jamii imejaza...
  13. Queen Esther

    Wahariri wahoji ongezeko la kodi kugharamia miradi isiyo na tija

    Nimemsikia kijana anaitwa Mlaki, nadhani ni mtoto wa Mhe. Rita Mlaki Amelezea uwanja wa Chato ukitumika vizuri mfano kusafirisha madini, samaki nk Nimeona sijui ni nani ameelezea madaraja yana muda fulani wa ukomo ambapo unatakiwa kufanye reinforcement au kujenga jipya kama wanavyofanya sasa...
  14. Queen Esther

    Askofu Gwajima apigwa kombora Bungeni na Mbunge wa Mtambwe, Khalifa Issa

    Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu. Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia...
  15. Queen Esther

    Ukifiwa na kuolewa upya huvai shela au pete ya marehemu

    Habari wana JF, Leo nimeota ugomvi ukitokea mahali sababu mume amefiwa na mke na kwa mujibu wa dini yake akaoa/anaoa mke mwingine. Hata hivyo mambo sio mepesi ingawa yote yamefanyika kwa MAPENZI YA MUNGU. CHANGAMOTO: - Mume anavaa pete ya mke wa zamani mkono wa kulia na mkono wa kushoto...
  16. Queen Esther

    Je, Hatuna Wanawake wa kutosha kukidhi 50/50 au kuna kosa?

    Daaa! Mungu amsaidie mama yetu kwa kweli. Akibakiza aliowakuta kutoka kwa JPM ni kosaaa! Akiteua wapya nalo ni kosaaa! Tumsubiri mama 2025 ndipo atakuwa na timu yake. Hapo ndipo auliizwe masuala ya jinsia nk Kwasasa muacheni mama yetu kipenzi Mhe. Samia Suluhu Hassan achape kazi kwanza mambo...
  17. Queen Esther

    Wakati Rais akilihutubia Bunge alisema kuwateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake, mbona kateua Ma-RC wanawake wachache?

    Daaa! Mungu amsaidie mama yetu kwa kweli. Akibakiza aliowakuta kutoka kwa JPM ni kosaaa! Akiteua wapya nalo ni kosaaa! Tumsubiri mama 2025 ndipo atakuwa na timu yake. Hapo ndipo aukizwe masuala ya jinsia nk Kwasasa muacheni mama yetu kipenzi Mhe. Samia Suluhu Hassan achape kazi kwanza mambo...
  18. Queen Esther

    Mbio za Mwenge wa Uhuru kuzinduliwa

    Unakimbizwa na wananchi kwa upendo wao hivyo hakuna gharama kivileee!!
  19. Queen Esther

    Mbio za Mwenge wa Uhuru kuzinduliwa

    Heeee! Kweni Mwenge wa Uhuru una kitu gani cha KISHIRIKINA hadi unaleta mauaji usipokimbizwa?
  20. Queen Esther

    Mbio za Mwenge wa Uhuru kuzinduliwa

    Naaammmmm!! Umeiweka vizuri sanaaa. Kazi lazima iendeleeee!!
Back
Top Bottom