Search results

  1. N

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Kwa taarifa zilizonifikia muda huu, Kata ya kaloleni Chedema ni mshindi.
  2. N

    Obama should urge promotion of free press in Tanzania

    June 25, 2013 His Excellency Barack Obama President of the United States of America White House Via facsimile: +1 202-456-2461 Dear President Obama: Ahead of your first trip to East Africa, we would like to bring to your attention the deteriorating state of press freedom in Tanzania. In...
  3. N

    Kauli ya obama mbele ya jk - dar

    Kauli ya Obama ilikuwa inamlenga JK
  4. N

    Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

    Jeshi limefanya mapinduzi misri na limemteua mwanasheria mkuu - adli mansour kuwa rais wa muda wa misri, morsi si rais tena! Haya mambo yameenda haraka mno na kirahisi bila kumwaga damu.
  5. N

    Kauli ya obama mbele ya jk - dar

    DEMOCRACY is nt all about election but how you treat the OPPOSITION.
  6. N

    Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

    Jioni hii huko jiji la Cairo kumeharibika, wanajeshi wamejaa ndani ya jiji wakiwa na vifaru na magari ya kivita pia wamefunga barabara zote za kuingia na kutoka Cairo, hii ni baada ya Morsi kukaidi agizo la jeshi.
  7. N

    Nishaurini ipi bora kununua iphone au samsung

    Miye pia ninataka kununua samsung tablet au samsung note; tafadhali naomba ushauri ipi ni bora....naomba uniambia na model ambayo ni nzuri zaidi
  8. N

    Sikiliza Pinda: Kwa kuhalalisha Uhalifu Umewapa Wananchi Haki ya Kujitetea wakipigwa!

    Pinda mtoto wa mkulima, waziri mkuu mwenye shahada ya sheria amevunja katiba ya jamhuri ya serikali ya Tanzania ambapo aliahidi kuwa atailinda. Ni mara ya pili mtoto wa mkulima anavunja katiba ya nchi, kuna wakati pia aliivunja kwa kusema wote wanaouwa alibino wauawe! Huyu baba inatakiwa...
  9. N

    Edward lowasa bungeni

    Nafikiri muda wote anapiga mahesabu ya kuchaguliwa na ccm kuwa mgombea wa urais lakini namhurumia kwani ili cc iliyowekwa na JK ni ya kumchinjia baharini, hivyo hatafika nec ambayo ndo tegemeo lake, pole sana kakaangu EL, nakushauri uanze kupanga karata zako upya tena mapema!
  10. N

    Edward lowasa bungeni

    Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!
  11. N

    Kutoka Arusha: wabunge wa CHADEMA ndio wanapelekwa mahakamani

    Polisi wamechukuwa sheria mkononi ya kuwahukumu chadema, hili ni somo kuwa mtu akikuingilia mali yako mfano shamba au plot ni kumpiga afe au aondoke, na si kwenda mahakamani!
  12. N

    Arusha tatizo ni zaidi ya umeya

    GAUDENSI LYIMO; Tangia nimezaliwa mimi sijawahi kuona meya ambaye hatumii gari la kazi, wewe kwako imekaaje? unadhihirisha jinsi ambavyo umekalia kiti chenye damu, ndugu yangu achia hicho kiti vinginevyo kitakuwa laana kwako na kizazi chako, shemeji yangu (mrs lyimo) mshauri huyo jamaa kizazi...
  13. N

    Kati ya hawa waliotajwa, Nani karusha bomu?! Mtambue

    mchemba mgulu, RC wa arusha na ndo walipanga kuuwa watu wasiyo na hatia kwa kuwarushia bomu, lakini damu zilizomwagika ambazo hazzina hatia zitawahukumu. mchemba hatakiwi kuitwa mh. jina linalomfaa ni shetani mchemba mgulu. Mungu tunakuomba utulipizie kisasi.
  14. N

    Kutoka Arusha: wabunge wa CHADEMA ndio wanapelekwa mahakamani

    Makamanda wote wa Chadema wameshatoka polisi, wako huru
  15. N

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Uhuru rais halali - mahakama imempitisha
  16. N

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    willy Mutunga na wenzake wameingia
  17. N

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Nina imani kubwa na supreme court ya kenya na kutokana na kasoro na wizi kwenye uchaguzi ushindi wa uhuru utaondolewa na mahakama
  18. N

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Mahakama ya juu ya kenya ni huru, nina immani kubwa kuwa watatengua ushindi wa uhuru kwani wizi wa kura umeonekana na forms nyingi (no.36/34) hazikuonekana
  19. N

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Dakika 10 zijazo mbivu na mbichi kujulikana kama Uhuru ataendelea kuwa rais kama alivyotangazwa na tume au uchaguzi utarudiwa! kaa mkao wa kula...........
Back
Top Bottom