Search results

  1. O

    Je, ni sahihi kubadilisha Uongozi wa juu wa chama cha CHADEMA?.

    Mkuu, Mada yako ni nzuri lakini mwongozo ulio utoa ni wa kishabiki na kitoto mno, na swali unalouliza ni la ki-form one mno. majibu muafaka ya swala hili ni dhahiri ingawa kwa kweli nirudie kusema Mbuzi kamwe hawi na mawazo km ya mtu.
  2. O

    Kashfa kubwa kwa mh. Mkono na CCM ujenzi wa chuo kikuu cha mwl Nyerere- Butiama

    Ujenzi wa chuo kikuu cha Mwl. Nyerere ambacho kingejengwa Butiama, sio ajenda mpya. Suala la ujenzi wa chuo hiki awali ilikuwa ajenda kuu ya Mh. Nimrodi Mkono(MB), mwanasheria na mmoja kati ya wanasiasa wanao heshimika mkoa wa Mara.Ajenda hii ameitumia zaidi ya miaka 10 kwamba yeye (Nimrodi...
  3. O

    Wana serengeti tusifanye makosa tena,tuondoe ukungu machoni, Dr Stephen Kebwe hatufai!

    Tuneandika na kusema mengi kuhusu Kebwe, Tatizo la Serengeti ni la Kebwe, Halmashauri lakini hasa CCM-Wilaya. Kadhalika kuna tatizo la watu wetu kutopata elimu ya kujitambua. Na hili si la watu wa Serengeti tu bali kwa watanzania wote. Mi ni mkaazi wa Serengeti, naamini watu wetu...
  4. O

    Diwani wa CCM, apata mkong'oto kwa kugawa rushwa

    [/COLOR]Hapo kwenye wekundu. Unaona shida gani kuandika thread yako ikakamilika bila kuweka kimombo chenye mashimo kiasi hicho? T TRUTH, Msingi wa ukweli ni ukweli tupu, ktk maneno ya kutamka na ktk maneno ya kuandika, vinginevyo, huna haja ya kujinasibisha kwa jian hilo. Umenikera, mana...
  5. O

    Prof. Jay aeleza sababu za kujiunga na CHADEMA. Aeleza msimamo wake kuhusu kugombea ubunge

    Viva mondus et peregio pro! Karibu tuendeleze mapambano ya kujikomboa kifikra na kimaendeleo.
  6. O

    Chadema yazindua kampeni kwa ‘chopa’

    Nawatakia ushindi mnono CDM katika kata zote 26 ambazo ninafanya uchaguzi huu wa madiwani.
  7. O

    Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

    Salary Slip, hapo kwenye Bluu,ni rahisi ku-edit post fupi, km hapo, mtu anaweza kujiuliza makaburi yalimnyanyasa Mandela kiaje!
  8. O

    Makumbusho ya mwl. Nyerere yaadhimisha international museum day

    Jana tarehe 18.05.2013 ilikuwa siku ya Makumbusho Duniani. Siku hii huadhimishwa kwa kufanya shughuli mbalimbali na mijadala kuhusu masuala mbalimbali na changamoto zinazo kabili sekta hii ya Uhifadhi. Hapa kwetu Tanzania, maadhimisho haya hufanywa na kuratibiwa na Makumbusho ya Taifa yani...
  9. O

    CHADEMA kuzindua kampeni Manchira-Serengeti, Jumapili 19/05/2013

    Hii ni kuwataarifu kuwa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, kinatarajia kuzindua rasmi kampeni za kugombea nafasi ya udiwani Kata ya Manchira. Uchaguzi huu unafuatia nafasi iliyokuwa wazi ambapo mgombea wa CCM Ndg. Mechama alifariki mwaka jana. Uzinduzi wa Kampeni hizi, utaanza kwa...
  10. O

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia thread hii lakini sikutaka kuchangia chochote, Maandiko ya Mohamed Said na uchambuzi wa Ndg Yerico Nyerere wote wameweza au hawakuweka kukidhi haja za wasomaji ambao kwa bahati mbaya wanaamini andiko la Mohamed Said ama kinyume chake. Kitu kimoja ambacho...
  11. O

    SHEKHE Ang’aka; Asema CHADEMA si Chama cha Wakristo

    CHADEMA ni ya wakristu, CUF ni ya waislam, CCM ni ya wapagani?
  12. O

    Shitambala: Ningekuwa Rais ningefungia magazeti karibu yote

    Jisikitikie wewe na watoto wako, Shitambala anajua anachokifanya asilojua ni moja, MCHUMA JANGA HULA NA HAO HAO NDG ZAKE! Erythrocyte, upo sahihi kabisa.
  13. O

    Lowasa: Walimu acheni mgomo baridi serikali sikivu itashughulikia madai yenu

    "Serikali ya CCM ni sikivu na Raisi wetu Dk. Jakaya Kikwete amekua anafanya maamuzi makini, kinachotakiwa hapa sio maamuzi magumu, maana hata vibaka hufanya maamuzi magumu"-(Mh. Pombe Magufuli)
  14. O

    Poleni wasomaji wa JAMHURI

    Manyerere, mficha uchi hazai, mficha maladhi kifo humuumbua....wazanaki walisema!
  15. O

    Safari ya Anne Kilango Malecella yaiva kuliaga Bunge

    Hapo Mwanzo palikuwepo Kingunge, Naye Kingunge alikuwa Mungu, hakuna kilichofanyika pasipo yeye. Kingunge alimzaa Anne Kilango, naye Kilango akamzaa Nape, ndugu yake Mwigulu, ndugu yake Kigwangala. Pasipo wao hakuna kilichifanyika!
  16. O

    "Nyerere na mama yake, Livingstone Lusinde na CCM yake"

    Umewahi kusikia nukuu hii ya Mbunge wa Jimbo la Mtera-Dodoma, Muheshimiwa Livingstone Lusinde? Alisema hivi..... "CCM ni Mama yangu, CCM ni zaidi ya Familia yangu au hata mke wangu. Mimi sio Mwl. Nyerere alowahi kusema CCM si mama yake! Naipenda CCM kwa sababu imeniinua na kuniweka hapa...
  17. O

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Wakati mwingine hakuna uhusiano kati ya mafanikio ktk elimu darasani na upeo halisi wa kuona mambo kiuhalisia, huku kwetu musoma, wapo watu wanaume wameenda jando la asili na mambo ya kimila lakini si jasiri utadhani hawakupitia mafunzo hayo kabisa, utadhani walitahiriwa hospitalini. Mapungufu...
  18. O

    Hamad Rashid: Wabunge wa upinzani wamekosa nidhamu na umoja

    Pole pole Mkuu, shusha jazba!
  19. O

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

    Pasco, hapo kwenye wino mweusi. Aliyo kueleza Tendwa si mambo ya kukiufanya ubabaike, Tendwa anavitenda vibaya vyama vya upinzani, na kwa vile Mtenda hutendwa, wakati utamuhukumu Tendwa. Hana lolote la kushauri humu JF!. Lakini pia, Pasco, kuifanya JF kuwa kila kitu kwako zaidi ya familia na mke...
Back
Top Bottom