Search results

  1. C

    Nina mpenzi lakini naona kama ni bomu la nuclear

    Tafuta hela kijana...wote wako hivyo hivyoo!! Naona hujataja kuombwa hela ya saloon, mafuta ya gari ,pocket money,Kodi na ushaanza kupiga yowe. Narudia Tafuta hela..!!
  2. C

    Mpenzi wangu anabanwa sana kwao, nimepata mwingine aliye huru. Je nimwache?

    Utaweza kuongoza familia kweli kama unauliza maswali mepesi hivi??
  3. C

    Nimejiandaa kisaikolojia nitakapokwenda kujitambulisha ukweni

    ukiskia uchumba wa kimjinimjini ndio huo... wewe unatakiwa mpaka unaamua kuoa uwe unawafahamu ndugu zake na wao wakufahamu wewe na ndugu zako.
  4. C

    Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    inasikitisha..! Na kama wewe ni mfuatiliaji wa movies za kizungu..utagundua movie nyingi zinazotoka miaka ya karibuni karibu zote zina scenes au stories za ushoga..
  5. C

    Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    Ungeomba ushauri Kabla hujaanza Uzinzi.. ila kwa sasa subiri mwisho wake tu.
  6. C

    Tuliahidiana ahadi mimi na mke wangu mtoto akianza na kutamka mama au baba

    hivi kwani kila kitu lazima mtu uombe ushauri????
  7. C

    Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    Na ukikutana na binti mmoja wa kabila lingine ukamkubali...utakuja na thread ya kusifia kabila lote..!
  8. C

    Hivi ni sahihi kwa mpenzi wangu kuniita mume wake?

    Umejihalalishia kula Tunda kila unapotaka alaf unataka akuite nani?? Acha kumpotezea muda kama huna mpango nae
  9. C

    Mpenzi wangu wa zamani ananitia majaribuni

    uko serious kweli? Angekua mkeo ndio amekuja kuomba ushauri humu Jamvini anonymously we ungemshauri nini??
  10. C

    Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

    Dah...pole sana mkuu. Jaribu kurudi kwa viongozi wako wa dini nao wakupe ushauri.
  11. C

    Boyfriend wangu nampenda ila tabia zake zinanikera

    Dada hapo kwenye "anataka kuninunulia kitu anataka nichangie kiasi fulani cha pesa" Hiyo ni kali ya mwaka!! Si anunue zawadi ya uwezo wake???
  12. C

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa.!!
  13. C

    Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

    Nitamchagua tena na nitalinda kura za Mbunge wangu John Mnyika.
  14. C

    Your 'Biggest' Turnoffs In The Opposite Sex?

    Mistari(michirizi) ya Unene.. sIangalii mara mbili..!
  15. C

    Password nisizozijua kwenye Simu ya Mke wangu!

    Once you unlock those passwords, chances are you will never trust your wife Again..!!
  16. C

    Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

    Mpe Mimba kwanza..wazazi watakaa sawa tu mbeleni..!
  17. C

    Je una tabia gani? Je u mwerevu au mpumbavu?

    Thread inaonyesha anaongelea anachotaka kwa mke wake..!! it sounds personal na waweza kukuta anatafuta njia tu ya kuufikisha ujumbe kwa mkewe..!
  18. C

    Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

    labda kwa kifupi wife hajafikia expectations zake leo asubuhi..!! kuna jamaa atakua anajituma zaidi huko vichakani..! pambana okoa ndoa..
  19. C

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    kwani kuna mtu bado anasikilizaga hii Redio..?
  20. C

    kuomba msaada toka kwa mpenzi.

    wanaume wengi Hatutoi hela bila kuombwa..! pia usilete hadithi za kumkopa,hakuna kukopeshana wapenzi.wewe omba kistaarabu ikiwa bahati yako shida zako zitamalizwa.
Back
Top Bottom