Search results

  1. babujii

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Ni kweli kabisa hii kampuni ya wasomi ya sasa ni vituko tupu. japo wapo wanaojitambua. suala la bunge na kamati zake hazihojiwi kwingine popote kwa kuwa moja ya kazi zake ni kuisimamia serikali na hili ndilo lililofanyika, hivyo wanazuoni hawa kama wanampenda sana muhongo nawashauri kurejea...
  2. babujii

    Kesi ya rasimu ya katiba kutinga mahakama ya rufani Tanzania

    Mimi sio mwanasheria, lakini uamuzi wa majaji wasomi wazoefu wa mahakama kuu, kushindwa kuamua suala la mchakato wa sheria mama(katiba) katika nchi na kusema ni suala la kisiasa kwa kweli si sawa. Naamini hata watoto wa darasa la tano watakuwa Wamepatwa na ukakasi kuamini kilichosemwa...
  3. babujii

    Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    Leo ni siku kubwa katika historia ya nchi yetu , tukwenda tengeneza bulldozer litakalotumika kutengeneza Barbara ya ukombozi kwa watanzania walio katika Lindi zito la umaskini.maradhi na ukandamizwaji na kuminywa haki zao za msingi na kuwafanya wajione wanyonge ktk nchi yao waliyopewa na...
  4. babujii

    Viongozi wa Kidini ambao ni Wajumbe wa Bunge la Katiba watoa Tamko kuhusu Bunge

    Nadhani watu hawa hawajui wanachofanya huko Dodoma. Nashindwa kuamini kama viongozi wa dini wanajua kiapo kinataka nini na kuwa Mungu awasaidie nini. Nadhani hawaijui rasimu iliyoeasilishwa na tume ambayo ni maoni ya waumini wao yalikuwa yanataka nini kwa nini ili iwe nini. Hata hivyo...
  5. babujii

    Clouds yaipotezea UKAWA

    mimi pia nilisikia na kujikuta nasema Uchi wa akili ni m-baya kuliko uchi wa mwili, yaani clouds wanadhani wanawakilishwa pale bungeni? na Kuwa maoni yao ndio yanajadiliwa? kweli tumedumazwa katika maisha ya kitumwa, hata tukifunguliwa tuwe huru hatuwezi.
  6. babujii

    Ni Wakati muafaka kwa Jeshi la Polisi Kumburuza Mahakamani Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE

    Mbona hata wewe umeeleza bayana kuwa waliahidi kuwasilisha ushahidi mbele ya tume ya kimahakama kama rais ataiunda. Na sijawahi kusikia kuwa tume hiyo iliundwa hivyo kuwafanya CHADEMA kutowasilisha ushagidi mbele ya hiyo tume. Na sisi kuwa katika nafasi nzuri ya kuwanyooshea vidole, lakini...
  7. babujii

    Nini kimemsibu mh. Livingstone Lusinde?

    Alimezeshwa cassette mara alipozaliwa sasa ndio muda wa kutema kila kilichojirekodi, Kama yatakuwa matusi, kashfa au chochote atakachokisikia mtaani kinajirekodi na kutema popote, iwe ni bungeni, chumbani, chooni, kanisani au jukwaani...
  8. babujii

    Je wewe ulipata kusikia kauli zao hizi huko mjengoni baada ya UKAWA kutoka nje ?

    Mimi nimewasikia ila nilishangaa kwa kuwa hatukuhitaji teeeeena kupigiwa simu kuulizwa kwa kuwa maoni yetu tayari yalikuwa ktk mikono yao. Aidha nilistaajabu dharau na kutowathamini viongozi wa dini kwani hakukuwa na haja ya kuwapigia simu maaskofu ili hali wapo maaskofu tayari katika bunge...
  9. babujii

    Serikali tatu na makato matatu mazito hofu kwa wafanyakazi:

    Ujinga wetu, mtaji wao vyanzo vya mapato vimeainishwa katika rasimu ya katiba, ni vyema tukaisoma na kuitafakari ili tusaidie maboresho.
  10. babujii

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    kumbe mzee Nimrod Mkono ni mchafu kwa rushwa kiasi hiki?, inawezekana kweli Mbowe alipewa mkwanja lakini je alikidhuru chama? Lakini ni dhahiri Bwana mdogo wa Kigoma kaskazini amekitenda chama hata kama asingepokea mulungula. Kitendo cha kupokea fedha na kukidhalilisha chama na vionozi ni...
  11. babujii

    Wajumbe mkutano mkuu (CHADEMA) wacharuka - kitanzi chamngoja Mbowe

    Sidhani kama wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA ni weupe kichwani kiasi cha kubeba hoja mfu ya mwigulu na kuingia nayo katika mkutano mkuu. CHADEMA haiokoti taarifa barabarani ina vyanzo vyake vya uhakika na haiwi hoja hadi imejiridhisha uhalisia wake na madhara kwa chama kwa hoja husika...
  12. babujii

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Kwa hiyo aliekufa ni mabina aliyekuwa mwenyekiti wa CCM, na sio mwenyekti wa CCM mwanza!!.
  13. babujii

    Dr Slaa aingia Jioni hii Kigoma mjini kwa Mbwembwe..

    Kama ukiogopa kumtoa funza kidoleni basi tarajia kupinda miguu
  14. babujii

    Kwa hili anachofanya Dr.Slaa Kigoma ameharibu -CHADEMA

    Mzee mwenzangu Dr. Hang'ang'anii bali anatekeleza wajibu na haki yake ya kikatiba kama mwananchi,mwanachama wa chama cha siasa na kiongozi wa chama cha siasa. Aidha ni utii kwa chama kwani safari ya kikazi amepangiwa na kamati kuu ya chama hana budi kutii na kuwajibika. Siasa ndio kazi...
  15. babujii

    Kwa hili anachofanya Dr.Slaa Kigoma ameharibu -CHADEMA

    Ziara hizi zilipangwa kitambo na ziko katika ratiba, na kuwa sio ziara ya kigoma tu bali ni ziara nchi nzima hivi sasa makamanda wametawanyika katika kanda zote tatizo macho na masikio ya wengi yameelekezwa kwa Dr. Slaa. Aidha wanachama na wapenzi wa CHADEMA Kigoma waliomba kutembelewa na...
  16. babujii

    Wanakigoma: dr slaa asilazimishe kuhutubia kigoma.

    CHADEMA ni chama cha siasa na kina haki ya kufanya siasa, na siasa katika hadhira ya wazi hailengwi kwa wanachama peke yao bali ni kwa jamii yote ya eneo hilo wanachama na wasio wanachama. Hao wanaofanya fujo wanamwakilisha nani na kwa maslahi ya nani? CDM wamepata baraka za kufanya...
  17. babujii

    CCM kutabiri kifo cha CHADEMA huashiria nini?

    Ni dhahir shayir kuwa CCM chama cha zamani kimeshapata kutu hakifai tena kwa siasa za sasa Kilichopo sasa ni hofu ya anguko, kudhihiri hilo ndio haya yanayofanyika sasa kutabiria CHADEMA kifo. Katika lugha rahisi kuna mpango mkakati wa kuhujumu CHADEMA na ukiangalia kwa makini hizi...
  18. babujii

    CHASO,Tanga wakana Uasi: Waunga mkono Zitto kutimuliwa CHADEMA

    inasikitisha tunapopofushwa na mawimbi ya utaahira wa kufikiri, sina nia mbaya na yeyote katika kutimiliza matakwa ya dhamira ya moyo wake kama muumba alivyomjaalia lakini sidhani kama tuko sahihi sana kwa sasa kutoa matamko ya kuunga au kutounga mkono yote yaliyojiri katika kamati kuu au hata...
  19. babujii

    Wanachadema wabunge wenu hawa wamewasaliti, na nyinyi lazima muwaadhibu 2015.

    Pole ndugu yang Chamviga, hao sio wabunge wa CHADEMA ni wabunge kutoka katika majimbo yao ya uchaguzi. na waliowachagua ni wananchi wa sehemu hizo walikotoka sasa kama hawafanyi vizuri wa kulalamika ni hao waliowachagua mimi na wewe tuwabane wabunge wetu kutuharakishia maendeleo katika maeneo...
  20. babujii

    CHADEMA kama mtamfukuza Zitto, anaweza akaondoka na wafuasi wengi mpaka mkashangaa!

    ni afya kwa chama kama chama kitakuwa na wanachama badala ya kuwa na wafuasi tena wanachama watiifu kwa chama na sio watii kwa watu kama inavyoendelea kijidhihiri hivi sasa.
Back
Top Bottom