Search results

  1. IDDY SEIF MHANDO

    Upepo ni natural lakini unatoka wapi au unatokanana na nini?

    Mawimbi ya bahari yanaweza kuwa chanzo kikubwa cha upepo
  2. IDDY SEIF MHANDO

    Domain name Offer

    Yani nahitaji kuwa na website ambayo watu watakuwa na uwezo wa kulog in...ila kwenye ku sign up...kuwe kuna option ya kulipia.
  3. IDDY SEIF MHANDO

    Wakwere au wagogo

    Wagogo huwa awajui wanahitaji nini kwenye mahusiano...asipo kuacha utamuacha kwasababu huwa wanajifanya hawajui kupenda...ila kwa uzuri ni wazuri...sana umenikumbusha mgogo wangu Wa Geita
  4. IDDY SEIF MHANDO

    Domain name Offer

    Mimi nahitaji kupata domain ambayo mtu ataingia kwa kulipia...inawezekana...?
  5. IDDY SEIF MHANDO

    Tupeane ujanja jinsi ya kudownload video you tube

    Kwani hiyo ss haifanyi kazi...? Download YTD...ujishushie mzigo
  6. IDDY SEIF MHANDO

    Sakata la Korosho: Ni kweli Mkuu wa Nchi amedhamiria, Lakini tungependa kujua baadhi ya Mambo...

    Isije ikawa ndio ile kauli "nitapiga shangazi zenu" inataka kufanyiwa kazi
  7. IDDY SEIF MHANDO

    Ajira

    Mwalimu mkuu...
  8. IDDY SEIF MHANDO

    Jifunze style konk kitandani

    Bangi haijawahi kumuacha mtu salana
  9. IDDY SEIF MHANDO

    Jifunze style konk kitandani

    Bangi haijawahi kumuacha mtu salana
  10. IDDY SEIF MHANDO

    RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

    Kesi ya nyani anapopelekewa ngedere
  11. IDDY SEIF MHANDO

    Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

    kwa taarifa za awali...ndugu wa ben/familia nilipata taarifa kuwa wanaishi Tabata njia ya segerea ila kama tukiwa makini kuwapata sio tatizo...kinacho takiwa ni mpango endelevu...kudhibiti vibaraka waovu, vile vile kuwa na moyo pasi na kuchoka...maana ukianza mbio ni vyema kuimaliza ni dhambi...
  12. IDDY SEIF MHANDO

    Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

    Tukiwa na Moyo huu tutafika mbali...tutatoa hizo pesa baba yake ben, mama yake na mke wake pamoja na wawakilishi wawili kutoka humu wafungue account...lakini umakini mkubwa unahitajika...kuna kenge wataufuata msafara wa mamba ili waharibu dhima. Nahaidi kutoa 50,000/=
  13. IDDY SEIF MHANDO

    Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

    ila kumbuka kuna Watz wengi sana hawajui whatsapp wala internet...wala hawaijui jf
  14. IDDY SEIF MHANDO

    Tunaotarajia kwenda kufundisha kiswahili afrika kusini tukutane hapa

    Baada ya kutembelea tovuti nimekutana na habari hii BARAZA LA KISWAHILI LA TAIFA (BAKITA) LINATOA MAFUNZO YA KUIMARISHA STADI ZA KUFUNDISHA KISWAHILI KWA WAGENI NA KUTAMBUA RASMI WALIMU WA KISWAHILI KWA WAGENI. MAFUNZO HAYA NI ENDELEVU NA KWA SASA YANAFANYIKA KATIKA OFISI ZA BAKITA NA BAADAYE...
  15. IDDY SEIF MHANDO

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Balozi Alphayo Kidata, amwondolea hadhi ya Ubalozi!

    MAGAMBA MATATU....SEMA KITU UTUTOE TONGOTONGO
Back
Top Bottom