Search results

  1. K

    Wana JF, Tutofautishe Kati ya Kusema Uongo na Kuteleza Ulimi, Rais wa TZ Hawezi Kusema Uongo, Labda Kuteleza tuu!

    Kaka yangu Pascal thread yako hii kidogo inanipa maswali, je umeiandika kama sarcasm au upo serious?katika watu ninao wafatilia na kusoma Kwa utulivu post zao humu wewe ni mmoja wapo sasa ninapokutana na post yako kama hii ambayo imekaa ki primitive napatwa na bumbu wazi kweli inatoka kwako? 1...
  2. K

    Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

    Tatizo bongo movi wanachukiana mpaka wana lose comon sense,wale wote walioitwa watu wametangaziwa kwamba wamewekwa katika makundi kama matatu,wauzaji,wasafirishaji na watumiaji,so kwa watumiaji walichotakiwa kufanya ni kusema wanapotoa na pia kueleza kama wanamjua yeyote mwenye kujiusisha na...
  3. K

    Nimegundua Jambo Hili Kutoka Kwa Maprodyuza

    Yani nikote aisee hata ma don Kanye Wiz Khalifa Puffy Dr dre Jamie Dupri Pharel Timberland The list goes on and on
  4. K

    Tofauti ya superstar na celebrity

    Celebrity anaweza kutoka kwenye Nyanja yeyote mfano tv presenter,dr,politician etc but super star anatokana na vitu vikubwa vitatu,sports,movies and music...kumbuka kila super star ni celebrity but celebrity hawezi kuwa super star..!
  5. K

    Hii sasa imezidi, Steve Nyerere kula hela za misiba na makaburi Loh!

    For a start jirekebishe wewe,ni.... ovyo....na si..... hovyo, au na wewe umeishia langapi.?
  6. K

    Yupo wapi Frank Mgoyo

    Wadau huyu jamaa alikua mtu wa ku arange ma white party kwa sana,but nowadays simsikii,mwenye kujua anijuze.
  7. K

    Unamkumbuka Deborah Mwenda wa Radio Tanzania?

    Dah Adili na nduguze noma..!
  8. K

    Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

    Mnajisumbua bure tu kubishana na hilo jibaba,ukiona mtu mzima anajisifu mwaka mzima kwakua jina lake lime chapwa kwenye kopo la Cola,wakati milions ya watu wameweka majina,doesnt need a degree to know some is wrong with him,wewe angalia majibu yake kama Bwakila.!
  9. K

    Why does the Queen of England always wear gloves?

    Shame on u kwa ubishi,hata uki Google utaona japo wametumia lugha kupunguza ukali but thats the fact. Sio tuu naangalia picha na kupayuka..
  10. K

    Why does the Queen of England always wear gloves?

    shame on u,na ubishi wako.kuna vitu haviitaji ubishi bali ni kuvitafuta,soma acha uvivu.
  11. K

    Why does the Queen of England always wear gloves?

    Does she eat?kila kiingiacho hutoka.!
  12. K

    Why does the Queen of England always wear gloves?

    Hii inatokana na kuwa anawageni wengi,sasa katika kupeana mikono inabidi avae cloves kuogopa viji germs,sasa kwa kua kila anapokua katika official appearance anakua kavaa cloves,ma designer waka kopi na kutoa ndio maana katika shuhuli zote classic za wa waingereza wanawake mavazi yao...
  13. K

    Kwa wale waliyo zunguka hii Afrika yetu.

    Swali Kwa ndugu zangu mliyo jaaliwa kuizunguka Africa yetu,hivi hizi barabara za bongo kupewa majina ya waassi wa nchi mbali mbali za Africa mfn Mandela road,Sam nujoma,Kaunda,Kwame Nkuruma namengine mengi, sasa nauliza kama kuna nchi yeyote Kwa africa naweza kukuta Nyerere road?au kiwanja labda...
  14. K

    Msome Meya Jerry Silaa akihalalisha uwepo wake Mwanza licha ya janga la mafuriko Dar

    That shows how small minds man he is.,maskini u should feel sorry for him instead of being mad,eti kuwepo kwangu Dar kusingeweza kuzuia mvua,point nikuonyesha ushirikiano na wananchi,mf mtu anapokwenda mazikoni,humfufua marehem au ni kuonyesha ushirikiano kwa wafiwa,yaani that was a childish...
  15. K

    Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

    Hapa tume kuja kufuata muziki hatukuja kuchunguzana vilema..)Maalim Gurumo at ddc kariakoo,Rip mkongwe.!
  16. K

    Juma Nature: Nyota kubwa inayoelekea kuzimika

    kitu cha kufaham ni kuwa huwezi kuwa juu milele, hakuna cha ajabu Kwa hilo,mfano Mariah Carey bado anahit mpaka leo?au kujaza ma concert the way she did back in the days.?jbu ni noo., kitu tunachoweza kustajabu labda heshima..nikiwa na maana kwamba msanii kama Mariah Carey bado ana heshima yake...
  17. K

    Majina ya vitu na watu ambayo hayapaswi kutamkwa kwenye baadhi mikoa

    Hahaha umenikumbusha mbali, now i know why tulivyokua wadogo kulikua na hii jokes( nakufila ndi mpaka kumoyo)..kwahiyo hii inamaanisha nakupenda kwa moyo wangu wote ama.?
  18. K

    Hahaha Mdogo wa Diamond ametoa singo ya kumdisi diamond

    Lakini ukiusikiliza vizuri kimsingi mi naona Dogo katumia 80% ya wimbo kumsifu jamaa na kuonyesha jinsi gani amehangaika kiume na anahaki ya kuwa hapo alipo, 1 kaosha vyombo kwa bob jr (wazee walisema mtumikie kafiri upate mradi wako. 2 anabidii na ana force kama jogoo (they say don take no...
  19. K

    Jerry is here.........!!!!!!!!!!!

    An arabic couple went to a hotel in London,one day in a room a husband heared his wife screaming...Farr...Farr..(which in arabic means a mouse)..so a husband wanted to inform the room service but he didnt know the english word for Farr is..but he called any way..and was like this...
  20. K

    Kwa hili, askofu Kakobe asante...

    Ngoja mama Rwakatare akusikie..!
Back
Top Bottom