Search results

  1. E

    EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    haàaaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    Tunaomba serikali itoe ufafanuzi kuhusu makato kwenye mishahara ya mwezi wa nane!

    Angalia pengine ni mkopo kutoka bodi ya elimu ya juu
  3. E

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Maneno makubwa mazito yenye busara na weza kusema kalam yako imetumika tu kuandika lakin ujumbe huu unaweza kua umetoka kwa mfalme wa aman.ubarikiwe ewe uliesema haya uhekimshwe siku zote ewe gamaliel wa jf
  4. E

    Magufuli unasumbua watumishi wa umma. Watakosa motisha.

    kwan Tamisemi ilihama lini dodoma mbona imekua dom kwa muda mrfu sasa
  5. E

    Magufuli unasumbua watumishi wa umma. Watakosa motisha.

    Hivi kumbe na ma DED nao wote wanahamia dodoma.
  6. E

    Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

    Mkuu nakushukuru sana kwakweli umetoa darasa kama nikweli basi NIDA wamepga kazi
  7. E

    TAARIFA: Kuhusu wabunge wa CHADEMA kuonekana Dodoma Bungeni

    NCCR inaonekana wao hakuna msaliti. ..
  8. E

    Wakazi wa Mwanza na Geita: Yu wapi mfanyabiashara James Mizanza?

    yuko wapi binti yake pili mdogo wao upande wa mama anaitwa sikujua kalenzi
  9. E

    Nyumba inapangishwa

    mkuu ni vizuri ukaja ukaona ninachoamin unaweza ukajivuta
  10. E

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba inapangishwa ipo mbezi kwa msuguli kwa mawasiliano zaidi piga 0784822238. status: 3 bed rooms 1 master self contained,fenced, full paving. Kodi 350,000 per month
  11. E

    Maskini Wambura...

    Yeriko nyerere umenena nidhambi kubwa Sana kumtegemea mwanadam
  12. E

    Mh Lusinde na mchango wake wadhati

    Nikweli kachangia vzr Sana Leo ameongea kwa uchungu mbunge huyu ila akanifurahisha jambo moja alipoonyesha mafanikio yake ya kutoka familia maskin hadi kua mbunge.naibu nae amesupport Inamaana ukiwa maskin hustahili kua mbunge???
  13. E

    Nimeamua Kujinyonga Profesa Kapuya Amenidhalilisha sana!

    Ukifanya hivo ujue jehanam inakungoja maana hakuna mbingu kwa yule auchukuae uhai wake mikononi mwake
  14. E

    Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

    Tumebaki Mimi na wewe katika kuitenda kazi ya mungu. .......RIP bishop
  15. E

    Maajabu ya CCM na kikao cha Dodoma

    Me sioni tatizo juu ya ccm ilichokifanya no jambo zuri na linastahili kupongezwa maana mabadiliko yoyote ni mchakato ambapo mwisho wake lazima kuwe na matokeo. Binafsi nawapongeza
Back
Top Bottom