Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 umeanza. Je, tunahitaji Vyombo vya Habari vyenye sifa zipi wakati tukiingia kwenye kampeni hizi? Nimeorodhesha hapa chini matarajio 7 ambayo yanapaswa kufikiwa na vyombo vya habari nchini ili kujenga mazingira bora ya Kampeni na Uchaguzi.
1...
Maoni yangu:
1. Kimaadili, si sahihi kutoa taarifa za usaili wa kazi nje ya vikao rasmi. Kama kweli huyu bwana/bibie ana nia njema ya kusaidia taifa na nssf angeliwasilisha maoni yake huko. Nina hakika hajafanya hivyo. Watu wa aina hii ni hatari sana.
2. Ingelikuwa bora angetuonesha uwiano wa...
Baada ya kutazama kipindi chote cha jana TBC kuhusu sensa, nimehitimisha kwamba huyu Mkurugenzi wa Ofisi ya Takwimu upeo wake wa mambo ni mdogo sana. Wakati mwingine ni vigumu sana kuamini kama mtu kweli ana PhD ambaye ameisomea mwenyewe.
Tusaidiane:
1. Kwenye hiyo orodha, kuna nani ambaye unafikiri hakupaswa kuwemo?
2. Hiyo per diem ya USD 420 ni ya nini? Kama ni malazi na chakula, malazi na chakula ni kiasi gani? Walikaa kwenye hoteli gani? Hoteli hiyo gharama zake zikoje nk?
3. Hiyo 'exchange rate' ndio iliyotumika kwenye...
Nimeipenda hii nukuu ya babu hapo juu: Wananchi wajihadhari na watu wa sehemu nyingine wanaodai wameoteshwa na Mungu na kutoa tiba ya kikombe, ni matapeli tena wauaji.!!!!!!!!!!!!
Ndugu zangu, TBC si chombo cha umma kama inanvyosemwa. Bado kiko mikononi mwa serikali kwani mkurugenzi wake anateuliwa na Rais, bajeti yake inatoka serikalini, wajumbe wa bodi wanateuliwa na waziri.
Kwa muundo huu, hakiwezi kuwa chombo huru cha umma. Mabadiliko maalumu ya kisheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.