Search results

  1. K

    Dar es Salaam Mpya: NSSF kuanzisha miradi mikubwa jijini; Mwisho wa malori kuingia jijini wawadia

    Dr. dau sio mwanasiasa ni mtu wa mipango, hongera sana, watz tuache kulalamika!!! maendeleo hayaji kwa mikutano na maneno ya uongo....! maendeleo yanaletwa na wazalendo na wenye mipango safi kama huu wa dau!! acheni chuki kuweni wa kweli.
  2. K

    Mhe ADEN RAGE Mbunge wa Tabora mjini

    Kuwa mzalendo acha malalamiko yasiyo ya msingi, hao wanyamwezi ndio wamemchagua....mbona unaleta tabia kama ya joka la mdimu!!! wewe sio mnyamwezi na sio mkazi wa TBR kinakuuma nini??? acha wivu fanya kazi yako. Rage ni raia kama walivyowengine amezaliwa TBR kama wanyamwezi wengine na ana sifa...
  3. K

    Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

    Nice comment brother !!!!!!!!!!!!!!
  4. K

    Naomba mnijuze CV ya ADEN RAGE

    Wewe na aliyeleta mada waongo wakubwa rage anaishi mtaa wa rufita, na nyumbani kwake zamani kulikua na Biashara ya hotel maarufu kwa jina la tanzania hotel, oposite na nyumba yake walikua wanapiga muzik tabora jazz!!! Pia ana elimu zaidi ya std VII, kumbuka kuwa aliwahi kuajiriwa CDA kwa nafasi...
  5. K

    Urais, Halima, Nassari na Kigoma

    Kama jina lako lilivyo wala sioni ajabu, toa ushauri acha kejeli!! mipasho yako ya ki taarabu na hapa ni mambo ya kitaifa na maslahi ya wananchi na si kufurahisha kabila au kikundi fulani. Mhe amekuwa muwazi, kwanza hakuwaalika pili hakuwapangia waseme nini, zaidi ya hapo ilikua si mambo ya...
  6. K

    Rostam Aziz Vs. Ridhiwani Kikwete; Ridhiwani Anamiliki Malori 100 Ya Mizigo

    JF muwe waungwana na wakweli ktk mwezi mtukufu, dhana mbaya mwenye ushahidi aweke hadharani. Huyo mt1 petro station yeye,maghorofa yeye,magari yeye!! jamani majungu hayafai....!!tutumie muda wetu kufikiri na kutafuta maisha sio kutafuta habari za majungu
  7. K

    Riziwani Kikwete pole sana

    kaka siera nakuunga mkono,cdm wabaguzi daily wanawaponda waislam,...watu wa ubwabwa, waswahili...wacha wakae na uzungu wao nasi tukae na uswahili wetu na kura wasituombe!! Tunaamini sisi ni umma bora, bila kura zetu ikulu watapasikia kama kawaida yao, tushikamane tusifungamane na adui yeyote...
  8. K

    Riziwani Kikwete pole sana

    kaka siera nakuunga mkono,cdm wabaguzi daily wanawaponda waislam,...watu wa ubwabwa, waswahili...wacha wakae na uzungu wao nasi tukae na uswahili wetu na kura wasituombe!! Tunaamini sisi ni umma bora, bila kura zetu ikulu watapasikia kama kawaida yao, tushikamane tusifungamane na adui yeyote wa...
  9. K

    Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

    wana jf hoja zinazoletwa hapa ni vyema ziangalie katiba ya nchi na sheria mbali2 sio matakwa ya watu wenye nyoyo za chuki na roho mbaya bila sababu za msingi, kama hoja hii ilivyo!!
  10. K

    Hawa viongozi wetu hata kuvaa nako ishu?

    kwanza naamini wewe ni adui namba moja wa waislam baada ya lile taifa kubwa, mungu akulaani ufe na ukafiri wako. Dr Dau ana uhuru wa kuabudu na kufanya anacho amini kina kubalika kwa dini yake, jamii yake na serikali na si kuangalia matakwa yako. nilikua siamini kama tanzania ina watu wenye...
  11. K

    Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

    Kaka ukifanya mtihani wa watu wasio wakweli utakuwa wa kwanza, kuwa mkweli kazi ya kuabadilisha mfumo tena uliokuwa unawanufaisha baadhi ya watendaji ndani ya serikali sio kitu cha siku moja, jaribu kutafsiri hotuba yote kwa vitendo ndiyo utaona uzito wa kazi na muda uliotumika na pia utaweza...
  12. K

    Rais J. Kikwete na siri nzito ya taifa hili kujulikana 2014

    Mjomba unafikiri kila atakaye fanana na baba wa Taifa lazima atoke butiama tu? kwenye white tuseme kama ilivyo na ikiwa black tuseme black, mchakato wa katiba utaleta majibu mengi ambayo maswali yake tangu uhuru hayana majibu! maswali hayo wana JF wanayajua mi siyataji.... kazi nzuri tumpe...
  13. K

    DC watateuliwa lini jamani? Wilaya yetu haina dira RC mgeni, MKOA MPYA,WILAYA MPYA!

    Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi, msimamizi wa shughuli za maendeleo wilaya, kiuongo kati ya s/kali za mtaa na serikali kuu!!! jamani hili nalo linataka tutumie kodi za wananchi tukuweke darasani usome!!!! kuwa mkweli...
  14. K

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    si kwamba amefilisika kimawazo bali hayo ndiyo mawazo yake..ye sasa ndo anataka kuonyesha chama chake ni cha ukatoliki!! kwa hilo amechemka
  15. K

    Riz one mwanasheria wa tanzanite one.

    majibu ya hoja zote yanakuja 2015 general election.
Back
Top Bottom