Search results

  1. B

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii team ya kijinga sana msimu huu. Hakuna kitu
  2. B

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Angalia mpira kaka na usitazame kwa jicho la kumchukua mchezaji. So far so good. Hapo ni kocha kubadirisha mbinu kipindi cha pili basi wanakaa Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  3. B

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Samahani, naomba niseme hauji mpira
  4. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kuwapongeza TANESCO Manyara hasa wilayani Babati, wanatoa huduma kwa wakati. Kazi iendelee
  5. B

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    With all due respect kiongozi, 4M ni ndogo kwako?
  6. B

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Yes hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. But kuondoka kulingana na vipengele ambavyo yeye kwa uelewa wake aliviridhia
  7. B

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Kasome kanuni za FIFA kwanza kuhusu kuvunja mkataba. Ni kweli mpira ni pesa lakini afuate taratibu zote alizokubali wakati anasaini mkataba wake
  8. B

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Shida yenu ni kuleta unazi kwa vitu ambavyo hata haviitaji ushabiki. So Manula akipata sehemu ya aondoke tuu, bila kifuata utaratibu wa kimkataba?
  9. B

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Kabisa, anasahau kuwa hicho anacholiowa ndio aliiingia mkataba kuwa alipwe hiko
  10. B

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Basi afate taratibu za kimkataba za kuuvunja na siyo hizi njia za ujima
  11. B

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Azama waache janja janja, wakaongee na Yanga watampata mchezaji. Mkataba wowote uvunjwa na pande mbili, hakuna janja janja ya nyani
  12. B

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Na hii ni shida kwa wachezaji wengi wa kitanzania, mwisho wanakuwa na wivu na maneno ya kiswahili, ohhoo, napiga kazi mshahara kidogo, wakati wengine mshahara mkubwa. Je wakati unasaini ulikuwa wapi ku bargain hili upate mkubwa?
  13. B

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Hakuna ambaye hanamzuia kwenda Azam, kikubwa ni kuheshimu vipengele vya kimkataba basi
  14. B

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Ni ukweli usiopingika kuwa Fei Toto amekuwa moja ya wachezaji muhimu sana Yanga. Na ni ukweli kuwa kijana amekuwa akiipambania Yanga kwa jasho na damu kwa kipindi chote alichokuwa anaichezea timu hii ya Jangwani. Hakika litakuwa pigo kwa Yanga, lakini kuna msemo unasema "watu uja na kuondoka" na...
  15. B

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We will bounce back very strong COYG
  16. B

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Pepe aende kabisa, mpira wa Uingereza umemshinda.
  17. B

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Linganisha na game za mwanzo za Man U uone utofauti hapo.
  18. B

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal inahitaji strong CM mwenye uwezo wa ku link vzr na sehemu ya ushambuliaji. Pia mtu wa kumsaidia Saka, the guy is exhausted sana game hizi tatu za mwanzo. Then haitakuwa tena kuwania top 4 bali kuwania u champion
Back
Top Bottom