Search results

  1. K

    Simbachawene ndani ya baraza la Mawaziri!!

    magamba at work....kaka hamisi umechafuka tangu ulipoenda against umma pale rev square muhimbili
  2. K

    Brigedia adam mwakanjuki amefariki dunia (simulizi la kifo chake)

    nadhani ni adam mwakanjuki sio issac
  3. K

    Serikali ya JK inamiliki magari worth 5 trillion!

    anaitwa kaboyonga
  4. K

    Serikari yapiga marufuku mikutano ya kisiasa Dodoma

    ccm hoye....u can always delay it but not deny it....peoplesssss power
  5. K

    Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

    steve alikuwa maarufu sawa..ila baada ya msiba magamba wakasoma mchezo..mzee sitta alikuja binafsi ila ni opportunist anataka kuskia harufu ya samaki wa kukaanga akiwa pale kwenye mjengo wetu..ghafla ba mwanaasha nae huyo 10m++++..huyo martaaa ni vuvuzela tu...one of my lecturers said and i...
  6. K

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    like colonialism,MAGAMBA has the weapons of its own destruction.
  7. K

    Waziri ngeleja akata viuno akiomba kura jukwaani mwanza

    nimeshangaa amekua kama sharobaro flani waziri mima kitumbo nje
  8. K

    Moto waunguza eneo soko la samaki feri

    natamani huo moto ungesogea kwenye ile nyumba yetu tuliyompangisha mchekeshaji
  9. K

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    this man is a lunatic.....tena alisema mwenyewe kuwa ni kichaa wa kuzaliwa
  10. K

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    katika matusi yote hakuna baya kama ile kutumia mimba kwa kina mama kama dhihaka....kwa maadili hata ya dini mimba ni baraka nilishangaa sana yeye akatumia kupata mimba kama aibu,dhihaka,na kuaminisha kuwa mimba mapacha ni dhihaka kubwa zaidi.. kina mama nao kwa masikitiko makubwa walikuwa...
  11. K

    Vincent Nyerere amstaafisha rasmi Ben Mkapa siasa

    huyu mzee aliyataka mwenyewe...may be anabembeleza wasimgeuke kwa maovu aliyofanya tuna wazee wengi wamebaki na legacy yao coz hawashiriki haya mambo like mkapa..think of warioba,salim,mwinyi
Back
Top Bottom