Search results

  1. C

    Mh Mbowe fanya usajili wa Ester Bulaya katika timu yako

    Mkuu umechelewa sana kumkubali huyu dada. Yuko smart sana na anajua nini anataka. Imagine ni mbunge wa kuteuliwa lakini amekuwa mkweli mara zote. 2015 jimboni kwetu Bunda akigombea mm kama mwana CDM nitampa kura yangu ya ndiyo period
  2. C

    Serikali: Rais wa Zanzibar si Amiri Jeshi wala Mkuu wa Nchi

    Hatuwezi kuwaachia ka_nchi kadogo kama wilaya ya Mafia. lazima tuwabane hadi muondokane na dhana ya utegemezi kwa wala tigo a.k.a warabu ndo tutafikiria kuwaachia
  3. C

    Mwanaume kua macho juu juu...

    Aisee ni kweli aisee inabidi watulie tuwatafunetafune wamezidi kuwa wengi. Tena mimi ukijipitisha unachepusha chepusha vimakalio vyako lazima nikutafune tu aisee
  4. C

    Bungeni kimenuka, Naibu Spika azomewa! Bunge lavunjika kabla ya muda...

    Kenge wewe hivi unafaham unachoandika kweli?
  5. C

    Dr. Slaa,huna hata aibu

    Ubazazi tu hata mwenyewe hujui unachokiandika. Udini udini eti Ustaadh Ilunga. Who is this in our community?
  6. C

    Juliana Amedanganya kwamba hajapewa barua ya kufukuzwa

    Mkuu nasikia tetesi kwamba wewe ni bilionea , eti unamiliki LAKE OIL NA LONG TRACKS kama 10,000 hivi zimetapakaa nje na ndani ya nchi,ukifika pale tunduma unaweza kuta foleni yenye umbali wa km100 zote gari zako. Aisee kweli kaka Mwana Asha mmeamua kutufilisi lakini si mbali tutakusulubu tu na...
  7. C

    RAI: 2015 ni kati ya Lowassa, Zitto vinginevyo vyama vitayumba

    Sasa we do umefanya nini hiki. Naona umefanya yale yale unayoyapinga kwa kuongeza upuuzi wako hapa badala ya kujibu ujinga wa mwenzio kwa hoja na wewe umekalia kujibu ujinga. Toa upuuzi wako hapa bana
  8. C

    Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

    hamna maneno ya busara kwa mnafiki huyo. Eti rais........... Wa diamond na ommy vitundu? Achape mwendo asilete unafiki wake hum jf. Mimi nilikuwa namkubali sana huyu bwana mdogo lakin tangu ameanza unafiki na dhambi ya kujitenga kama mwanga namchukia sana na hata mvuto wake kisiasa ushapungua...
  9. C

    Ndikumana: Nimerogwa tanzania'

    Dada yetu hawezi fanya upuuzi huo na kwanza kwa lipi? kumuonea wivu Ndikumana? Nani kati yao alikuwa kalamba dume? Dada yetu kisu bana na huyo Ndikumana ndo kama uonavyo mwenyewe.Pesa imekwisha dada kachapa mwendo na kiukweli hicho ndo kilimpeleka kwa Ndikumana na si kingine na km hakipo tena...
  10. C

    Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

    Hili lijamaa bana yani kichwa chake kama andazi ndani hewa
  11. C

    Mhadhili wa chuo anamtaka mchumba wangu kimapenzi,nifanyeje?

    Si complex kaka! Cha kufanya hapo mwambie mchumba wako ajilegeze kama anampenda vile na kisha cheza deal na daktari mmoja pale Muhimbiri akupe cheti feki cha H.I.V +ve (kionyeshe tarehe za zamani kidogo)na amuahidi siku waonane mahara huku akiwa na dawa za kurefusha maisha. Akiwa naye huku...
  12. C

    Chadema njooni mchukue kadi yenu

    Kenge wewe tuliosoma mara sec na udsm hatuna akili mbung'o km hii. Nyie ndo mlikuwa mnadesa afu mnasema mmesoma! Huwezi kuwa na degree ukajipambanua kwa pumba km hizi! Rudisha kadi kimya km ulivyochukua kimya na si kuleta kiherehere hum JF kwa andiko lisilo na mashiko. Eti nimesoma mara sec ipi...
  13. C

    Kikwete anamwambia nini Rose Kamili Slaa?

    Bora uwe mwanamke lakini km ni dume utakuwa mvumilivu kwa yale maumivu na km hujaanza kuvumilia baada utakuwa mvumilivu hadi uzoee. Eti rais wetu suti zinampendeza! Yani ndo ulichoona cha maana
  14. C

    Ponda na wenzake warudishwa rumande, kesi yapigwa tarehe

    sasa huyo mpumbavu, standard7, mkosa haya,mchonganishi,mfitini,mzandiki,gaidi,mvuruga amani,msema hovyo,hayawani mwenye ibilisi, Ponda yuko kundi lipi kati ya hayo? Bila shaka na wewe ni standard 7 km Ponda ndio maana ni mwepesi wa kushawishika. sisi waislam tuliobahatika kutambua nini umuhimu...
  15. C

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    [/COLOR]Hapo kwenye red ndo inadhihirisha uelewa mdogo wako. kwani we unadhani hiyo tume ya maadili inafanya kwa niaba ya watu gani km si wananchi na kwa sababu ZZK anaamini yeye ni clean na shutuma dhidi yake zinatolewa humu JF kwa nini asiweke wazi . POOR wewe, Kaka ZZK washauri wengine sijui...
  16. C

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    kwa dhati ya moyo wangu nakupongeza kwa ujasiri ambao umekuwa ukiuonyesha mara zote na kwa hakika umekuwa muhimili muhimu sana kwa chama chetu , kwa hili nakupongeza saana kaka yangu zitto. Niseme hivi : Mimi ni mmoja kati ya walio wengi wanaokuamini kwa ufanisi,ustadi na uweledi mkubwa wa jinsi...
  17. C

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    kudu!!!.Huo ndio ukweli wenyewe tatizo sisi waislam ni walalamishi sana kuliko kutenda na tutabaki hivihivi. Bora mimi niliyejiendea shule huo upuuzi wao sina muda nao. Ponda mwenyewe no school sasa kuna nini cha maana atanieleza hata kama mimi ni muislam. Serikali funga hao wahuni Mtume wetu...
  18. C

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    nakojolea na huyo mungu wenu wa vurugu ,uhasama na visasi hanifanyii chochote wakosa elimu nyie
  19. C

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Roho ya mtu ni ngumu kuisemea vibaya hasa inapofikwa na umauti lakini kwa maneno hay naungana na wewe. Hawa jamaa wamegeuka kuwa wauji wetu na kusema maneno ya hovyo mbele ya watanzania. Juzi tu kaka yetu mpendwa wetu Daud Mwangosi kauwawa na hawa jamaa na baadaye wameleta taarifa zao za kipuuzi...
Back
Top Bottom