Search results

  1. K

    Dkt Mwinyi ‘awaangukia’ wauguzi nchini

    Safari hii watakaogoma ni wagojwa na si madakitari,
  2. K

    Muuguzi agoma kumsaidia mjamzito, mtoto afariki

    Hapa elimu inatakiwa, ninavyojua mjamzito mwenye complications kama mapacha na baadhi ya matatizo mengine kama hayo hatakiwi kuanza uchungu akiwa nyumbani, na kila mama mjamzito anaeenda clinic anaelezwa mambo haya. Kinachoshangaza watanzania tuko wagumu kuelewa FACTS! Na matokeo yake...
  3. K

    Udom kumekucha!

    Si raisi alisema acheni wapendeze
  4. K

    Movement for change ndo hiyoo inaanzia ndani ya CHADEMA from hero to zero

    Hoja ipi ya kujibu? Mbulula wewe!!! Kachukue ujira wako kazi umefanya
  5. K

    Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

    Sikufaham, but i appreciate ure work! Taarifa yako imekuvusha level nyingine,u ar the spie double angent!
  6. K

    Shujaa wako mwaka 2012

    Dr. Worimboka, u ar the HERO!
  7. K

    JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

    Nilikua ctak kuchangia, naomba niseme tu HAUFAI
  8. K

    Pengo azungumzia padri kupigwa risasi Zanzibar

    na kwanini wewe sio waislam, wewe ndio polis kudai kuongezewa muda .. Na ungezewe muda kiasi gani?
  9. K

    Hamad Rashid ainyooshea kidole CUF

    Hana pa kujishikiza, atakua anataka kuhamia CHADEMA
  10. K

    UDOM HALI NI TETE! Waziri mkuu na Rais wa Nchi njoo UDOM.

    Watumie vizur kiaje? Hao si University, matumizi wanayajua, utapangaje matumiz kama hela haiji?
  11. K

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Yeye ni kiongozi wa ngazi ya juu na heshima kubwa amepewa na chama. Ningependa kuona yafuatayo... Akili ni kwa makosa yapi Watanzania wamsamehe. ZZK inabidi awajibike aachie ngazi na ahidi kutorudia
  12. K

    Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!.

    ZZK ni MCHU WA MADARAKA KIBULI NA TAMAA!!! Hawezi kuwa RAIS wa TZ... Na nahisi amelitambua hilo, japo sijaamini bado maana amegusia suala katiba na interest yake ni umri kwenye katiba .... poor ZZK
  13. K

    Chadema Mbeya wachukua hatua kali

    Uliharibu hata wewe na kwann uachwe, bora wachache wenye nia na lengo moja
  14. K

    Picha mkutano wa M4C: Lema na Milya wafunika Kahama

    Kama hoja ipi? Nonsense
  15. K

    kutoka uwanja wa Mbowe karatu

    Viva CHADEMA!!!!! Napata furaha Mimi!
  16. K

    Taarifa ya Bavicha Mkoa wa Tanga kuhusu taarifa za katibu kwenye vyombo vya habari.

    "Some people appear blight until they speak " that justify ....."light travel faster than sound " kisandu...ni BULULA KABISA!!!
  17. K

    Mkapa awashukuru waliomchagua kuwa Rais wa Tanzania.

    This is my President, nakumbuka 2000.. ndio nilianza kupiga na nilimpa mzee wa ndugu wananchi, nilipenda sana kauli zako za mwisho wa mwezi na kipindi hiki cha bwana cheka ni mipasho na sisililizi tena. Ubalikiwe na Mungu akujalie afya njema daima.
  18. K

    Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

    Umenigusa mkuu, haya ndio mawazo mbadala...we call PLAN B, thats naipenda jamiiforums, nachojua CHADEMA itabaki hata tukifa Susie, nachopata wasiwasi ni pale mchangiaji anaposema zitto ana damu ya CHADEMA...that's RIDICULOUS, anataka kutuambia lifespan ya chama anaishikilia mtu....IDIOT.
  19. K

    Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

    Jitoe hutobadili chochote, kama kukojoa ziwani
Back
Top Bottom