Search results

  1. J

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    kila la heri kamanda Remma tupo nyuma yako.ila usisahau kufika huku sengerema kwa (mzee wa kukata mauno ili apate kura a.k.a mzee wa megawatt)Ngereja mganga,jimbo lipo waz hilo mwna 2015 nilakuchukua bila kutumia nguvu.tuanze na mungu tutamaliza na mungu na rufaa yako lazima ushinde.
  2. J

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    :A S-fire1:Ebana kiukwel mimi masikitiko yangu nihuyu mbunge hewa asiye wasaidia lolote wanasengerema,sengerema kunamatatizo ya maji tena makubwa,pia kunamatatizo ya huduma za kifedha kama bank wilaya nzima inahudumiwa na ATMmashine moja,pia kunamatatizo makubwa halimashaul na yamemshinda...
  3. J

    CCM hawakamatiki wala Hawashikiki

    :A S-fire1:Mmmmh,kiukwel napata tabu najamii hii ya watanzania,hiv kama huna maslah binafsi unaweza kuandika kitu kama hicho?ama kweli kazi ipo but naamini haki na ukweli hushinda nakama ushindi wako unategemea risasi bac hata meru mngeshinda.huna lolote we ngoja uje uone kama hilo jimbo...
  4. J

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    :A S-fire1:its a good desion tupo pamoja makamanda tunakubaliana 100%na uamuzi huo.
  5. J

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Ebana big up sana kwa busara zenu viongoz wetu.
  6. J

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Ebana 2nasubili kwa hamu jamani mambo yanavyoendelea uko.
Back
Top Bottom