Search results

  1. V

    Kipaumbele cha MKIKWATA kiwe ni umiliki wa ardhi kwa mlala hoi

    Gama sera ya kilimo imebainisha wazi kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa hili. MKIKWATA = Mkakati wa Kilimo Kwanza Tanzania, na tayari Rais Obama ametoa shavu kwa kuahidi mamilioni ya dola za marekani kusapoti MKIKWATA ili kuondoa njaa na kuinua pato la taifa.
  2. V

    Kipaumbele cha MKIKWATA kiwe ni umiliki wa ardhi kwa mlala hoi

    Sisi kama wadau wakubwa wa ardhi, hususan mashamba, viwanja na nyumba, tunapenda kuhimiza serikali kuweka kipaumbele cha umiliki wa ardhi kwa mlala hoi katika Mkakati wa Kilimo Kwanza Tanzania - MKIKWATA. Bila ya walala hoi kuwezeshwa katika kumiliki ardhi, pengo la walio nacho dhidi ya wasio...
  3. V

    Viwanja na Nyumba

    'VIWANJA NA NYUMBA' tunawapa pole wote waliojenga mabondeni, hasa kutokana na adha ya mafuriko katika kipindi hiki cha mvua. Wasiliana nasi kwa mahitaji ya viwanja, mashamba, nyumba na maeneo ya uwekezaji nchini Tanzania. Email: viwanjanyumba@gmail.com
  4. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    La hasha, mimi si dalali kabisa! Hati miliki unaipata ndani ya siku 3 za wiki j'3-ijumaa. Karibu tena, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  5. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Karibu sana Livanga kuna wanaJF ambao wameshafika au kutuma wawakilishi wao na tayari wamepimiwa viwanja, nawaomba wajimwage hapa ili kuondoa utata. Asanteni, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  6. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Viko pamoja katika eneo tambarare na vimekaa square vizuri, unaweza kuunga hadi viwanja vinne pamoja ukapata 40mx40m ambayo ni zaidi ya robo heka. Karibuni sana, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  7. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Livanga nimesema dalali hausishwi kwa sababu madalali wana tabia ya kuaongeza bei na kutoza ada ya kuonyesha viwanja. Hii ni 'direct sale' mteja analipa na kupewa hati bila kupitia mtu wa kati. Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  8. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    45km kutoka Ikulu, 9km kutoka kwenye lami Vikindu, 2km baada ya kushuka kwenye daladala ya Vianzi/Malela kituo cha Njia Panda Manyani. Mwendo wa saa moja kwa gari binafsi toka Mbagala Rangi3. Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  9. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Nashukuru kwa taarifa Komamanga plot ziko Kijiji cha Vianzi, kitongoji cha Chang'ombe, kata ya Vianzi, but wewe umeenda Vikindu, why? Viwanja vinavyouzwa si mali ya kijiji ni vya mtu binafsi, kijiji kinatoa hati kwa mnunuzi baada ya kulipia ushuru wa 15% ya bei, i.e.300,000x15/100=tsh.45,000/-...
  10. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Mrembo viwanja vya 20mx20m 'high density' ni nafuu kwa watu wa vipato vya chini, kila mtu ana hamu ya kuishi kwenye nyumba yake ila uwezo unakuwa mdogo. Karibu sana, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  11. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Unakaribishwa sana! Tuwasiliane kwa simu ili tukupokee pale Vianzi mjini na kukupeleka moja kwa moja 'saiti' ukachague plot yako. 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  12. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Maamuma, GIBe100 hii ni biashara na inafuata misingi bora ya 'customer care' uadilifu na taarifa sahihi, hivyo msiwe na shaka. Watakaowahi kulipia ndio watakaouziwa, na vikiisha basi tunafunga hii 'thread'. By the way, vimebaki viwanja 16 tu. Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  13. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Laki tatu ni bei ya ofa kwa mtanzania wa kawaida, hivyo unapewa hati ya kijiji bure badala ya kulipia ushuru wa asilimia 15 kwa mujibu wa kanuni. Karibu, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  14. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Pia unaweza kulipa kwa M-PESA: 0757-992-333. Imesajiliwa kama 'CHEREKO' kampuni tanzu ya 'VIWANJA NA NYUMBA' iliyosajiliwa rasmi na BRELA. Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  15. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Kutuma pesa kwa M-PESA: 0757-992-333. Imesajiliwa kwa jina la 'CHEREKO' ambayo ni Kampuni tanzu ya 'VIWANJA NA NYUMBA' iliyosajiliwa rasmi na BRELA. Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  16. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    By the way, kwa wale mlioko mbali mnaweza kulipia viwanja vyenu kupitia TIGO PESA 0718-617-522. Lipia na utume sms ya jina unalotaka liandikwe kwenye hati. Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA, 0718-617-522.
  17. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Email yetu ni: viwanjanyumba@gmail.com Karibu sana, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
  18. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Kabla sijasahau, niliona uzi mmoja hapa JF una kichwa cha habari 'ushamba wa simu za gharama' Hebu 'great thinkers' tazameni fursa ya kupata kiwanja kwa bei sawa na simu ya mkononi ya tsh.laki tatu!! Ikipotea au ikiibiwa, laki3 kwishney! Lakini kiwanja hicho ni urithi wa wanao, na mali ya...
  19. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Nimeanza kupokea simu toka kwa wenzetu walioko nje ya nchi, nawashukuru sana maana wanachangamkia zaidi ya wale wa hapa nyumbani. Ndugu zangu, hii ni fursa adimu. Mkumbuke hata Sinza na Mikocheni miaka ya nyuma palikuwa chaka/pori. Amkeni, vimebaki viwanja 18 tu. Asanteni, 'VIWANJA NA NYUMBA'...
  20. V

    VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

    Kuhusu Miradi ya Serikali kuu, ni jambo la msingi sana na kwa eneo husika jambo hilo limezingatiwa. Faida mojawapo ni uwezekano wa uwanja mpya wa Ndege kujengwa maeneo ya Tundwi jirani na kijiji cha Vianzi, hivyo baadae patakuwa mjini kabisa. Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
Back
Top Bottom