Search results

  1. S

    naibiwa?

    Asante sweet ila nikijaribu kuuliza ndo ivo najiwa juu
  2. S

    naibiwa?

    Kuiba niliacha nilipo mpata huyu
  3. S

    naibiwa?

    Salaam! Najiuliza sana jamani kila nikiraise issue ambayo naona ni yakudiscuss kimahusiano najiwa juuu nasusiwa!ila sijampa game wiki sasa? Je hio ndo sababu au ndo sina changu hapo?wadau naomba mawazo yenu
  4. S

    Kipima joto ITV: Deus Kibamba ndani

    Ha ha haaaaa!kali hiyo unapenda kuandamana if u can't fight them JOIN them
  5. S

    Matusi ya Lema na Matusi ya Lusinde ni Matusi Yetu na Unafiki Wetu!

    Sipati picha napanda jukwaani na shika kipaza sauti mbele ya umati wa watu ... Naanza we flani miguu kama naniii!duh huogopi?:ujafa hujaumbika worse still ukizaa ngedere?au mkeo akizaa nyani?tumuogope Mungu!ukiachana na hayo,mahakama haikufanya maamuzi ya kizalendo bora ingemtoza fain kumvua...
Back
Top Bottom