Search results

  1. K

    Wanaohitaji laptops na desktops flat screen brand new na used

    naomba bei ya desktop tafadhali!
  2. K

    Projector sony inauzwa

    nadhani ni vizuri kuweka bei ili kuepuka usumbufu!
  3. K

    Mafunzo ya ujasiriamali

    Sijakusoma fresh Husninyo,unaweza kunielekeza zaidi please!
  4. K

    Mafunzo ya ujasiriamali

    Mambo vipi wanajamii! Hivi ni wapi mtu unaweza kupata mafunzo ya ujasiriamali hasa juu ya utengenezaji na ufungaji wa bidhaa ndogondogo?
  5. K

    Kiwanja kinauzwa haraka

    Kutoka MOMBASA had MAJOHE ni mwendo wa dk 20 had nusu saa hivi. Kuhusu suala la eneo hilo kupitishwa bomba la SONGAS sijapewa taarifa yoyote,ninachojua ni kwamba tetesi hizo zinahusisha eneo lililo mbali na hapo.Kiwanja kipo jirani na eneo lililotengwa na serikali kwa ajili ya makaz ya watu...
  6. K

    Kiwanja kinauzwa haraka

    Majohe ipo wilaya Ilala-Dsm Ili ufike kilipo kiwanja utaanzia safar yako pale Ukonga Mombasa,kama unatumia daladala kuna magari pale yanakwenda KWA MKOLEMBA,ukipanda hayo unafka moja kwa moja,kama una usafiri binafsi utafuata njia inayokwenda KWA DIWANI.
  7. K

    Kiwanja kinauzwa haraka

    Kiwanja chenye ukubwa wa mita 30 kwa 50 kinauzwa haraka,kipo maeneo ya Majohe,bei ni 3.5mil. Wasiliana na mmiliki kwa simu namba 0715334456,0767334467 au 0788334467
  8. K

    Yeyote anaeuza tikiti zikiwa shamba tuwasiliane, nnanunua tikiti kuanzia 500

    sorry wadau,moro ni maeneo gani yanafaa kwa kilimo cha matikiti maji,nataka nianze fasta nimuuzie jamaa kuanzia mwez wa 6
  9. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    ubarikiwe sana ndugu yangu,naweza kupata mawasiliano yako?(simu au email),nitumie kwenye 0715334456 au kboimanda@yahoo.com
Back
Top Bottom