Search results

  1. T

    Msaada kuhusu uwiano wa chakula cha kuku

    Habari. samahani plz naomba formular ya mchanganyiko wa chakula cha kuku 0753008888
  2. T

    Misaada inayoitaji kupewa kipa umbele

    Jamani ndugu zangu mi nina kero moja na nimeona niitolee hapa. hivi mbona serikali yetu haiipi kipa umbele mambo muhimu juzi nimeangalia news TBC1 kuna mwanamke toka Arusha anahitaji 900,000 mwanae akafanyiwe operation ya kutobolewa sehemu ya haja kubwa . mtoto mchanga jamani hivi vitu kama hiyo...
  3. T

    Apartment

    Wana JF niko Arusha nakuja Dar for Easter na family yangu ya watoto wawili ,dada na baba yao. Natafuta apartment nzuri budget iwe $ 100 or less per night. 2 Bedrooms,kitchen e.t.c. Please naombeni ushauri wenu na contacts za hizo apartments if possible. Ahsanteni in Advance.
Back
Top Bottom