Search results

  1. M

    Ushauri: Ndoa yangu inaenda vunjika, badala ya ndoa sasa imekuwa ndoano

    Kama vipi mtimue baada ya mda mchukue huyo mdogo wake yeye awe ndio shemeji.
  2. M

    Ibada maalum imefanyika leo eneo la ajali Karatu

    Nafikiri anamaanisha leo ilikuwa ni ibada ya dini zote tambiko lilishafanyika siku ya jumatatu wazee wa mila walikuwepo eneo la ajali na kondoo.
  3. M

    Kabla hujafanya ngono bila kinga

    Na hizi mvua na msimu wa baridi umeanza sidhan kama utaeleweka ila ukweli ndio huo au wapite nyumba inayouguza mgonjwa wa ukimwi
  4. M

    Nimechepuka sana na mabaamedi, je nikapime HIV?

    Mabaa medi ni salama kuliko madem wa mtaani kwa vile wengi wanawaogopa wanatumia kinga.
  5. M

    Kesi za migogoro ya ndoa zaipiku ya ardhi

    Haya mambo ya haki sawa ni moja ya vichocheo vya talaka ni vigumu sana mwanaume wa kiafrika kukubali kupingwa na mke wake au kukosolewa
  6. M

    Wakazi adai alikuwa anafanya kazi kwa Donald Trump

    Aliwahi kuja tu siku ile inafunguliwa.Hivyo alikua anatumwa kumpelekea magazeti.Mbona sijamwelewa kama ilikuja siku moja aliendelea kupeleka wapi hayo magazeti?
  7. M

    Kuna mama ananitaka kwa udi na uvumba nifanyeje?

    Mtafune kwani kama kaolewa mume wake huwa anaicha humo?
  8. M

    Anahitajika kijana msaidizi wa kazi

    Huo mshahara ni wa siku moja au mwezi?
  9. M

    PICHA: Ajali, Mtembea kwa miguu agongwa na gari la UDART Magomeni

    Kabla ya kulaumu lazima ujiulize je huyo aliyegongwa ni mkazi wa Dar ambaye anajua maana hizo barabara isijekuwa ni mgeni amefika Dar jana leo ametumwa mjin hajawahi kuona lami kijijin kwao leo ukimwambia kuna barabara ya magari maalum na kiswahili hajui je atakuelewa vipi?
  10. M

    Inasikitisha: Mtoto auawa na mama wa kambo Moshi

    Mwanamke ana roho mbaya kuliko wanyama wote duniani wametuzaa na wanatupa raha ila ni kuishi nao kwa akili
  11. M

    Kuhusu Wamasai

    Mtoa mada inaonekana hujatembea kwenye vijiji vya nchi yako sio wamasai tuu wanaovyaa kimila bado kuna makabila mengi yanayofuata tamaduni zao.
  12. M

    Mfanyakazi aliyepo masomoni Japan kwa miaka 13 kuchunguzwa/kushitakiwa

    Miaka 13 masomoni wakati tuofanya kazi kwa kina Patel tunanyinywa siku moja ya kwenda masibani hii ni aibu kwa utumishi bora
  13. M

    Suruali za cadet na shati kwa bei poa

    Upo wapi na je kwa watu wa mikoani vipi
  14. M

    Naomba kujua jinsi ya kusafisha silver

    Paka silver yako colgate ile ya blue katikati acha mda kidogo zen osha na maji ya kawaida
  15. M

    Kunya bure hapa.....

    Huyo mwenye choo atakua na bustani anatafuta mbolea hamna cha bure
  16. M

    Lori lagongana na gari ndogo na kusababisha kifo cha dereva Iringa

    Pole kwa ndugu jamaa na marafiki wa marehemu.
  17. M

    Udi inayofaa kwa mwanamke kujifukiza

    Kama udi ni kwa ajili ya kujiremba iweje kuna masharti ya siku za kutumia.Na je hakuna mawasilia kati ya udi na yule kiumbe aliyefukuzwa mbinguni?
  18. M

    Je, Ndoa ya kikristo yaweza kuvunjika?

    Je ni hatua gani za kupitia ili mtu aweze kuvunja ndoa?
  19. M

    Anasa darini akijaribu kuiba Dukani

    Mwenye duka anastaili kuajiriwa bandarin ili awakamate wezi wa makontena
  20. M

    R.I.P our beloved classmate Anita Chombo

    Poleni sana mungu awape nguvu na uvumilivu.Msiba upo wapi?
Back
Top Bottom