Search results

  1. P

    Makundi ndani ya CCM,ni anguko lisilokwepeka kwa wenye maono wameliona hilo

    Ni kweli ccm wamepoteza mwelekeo lakini ni wakati wa wapinzani kujipanga vizuri na si kubweteka kwani ccm wana mbinu chafu nyingi sana.
  2. P

    Mwigulu Nchemba kufanya mikutano ndani ya jimbo la Karatu leo tarehe 11 Disemba, 2014

    :panda:hana jipya wa subiri kiama chao 2015
  3. P

    Ni kweli Escrow imetuondoa kwenye mchakato wa katiba mpya?

    Watanzania ni watu wa kushabikia matukio.na kwa maana hiyo itatuchukua muda sana kupiga hatua ya maendeleo kama nchi
  4. P

    Anaeweza kunisaidia mchakato wa uhamisho

    Jamani tujaribuni kuwa seriuos kwa anayeweza kusaidia swala la uhamisho kwani hata mi nimehangaikia wa mke wangu bila mafanikio mwaka na nusu sasa
  5. P

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi ni mwalim niko wilaya ya Butiama,Mkoa wa Mara nahitaji kuja Arusha.
  6. P

    Nyumba inauzwa

    Ipo moshono eneo gani?toa maelezo zaidi ili mnunuzi apate picha kamili.umbali kutoka barabara kuu,vipi inafikika kwa barabara,umeme na maji vipi?
  7. P

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi nipo Wilaya ya Musoma vijijini sasa Butiama kwa ambaye yuko Arusha anataka arudi Musoma tuwasiliane.
  8. P

    BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Nape hana jipya.Sisi tusonge mbele.peoplesssssss
  9. P

    Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    Wanachadema tusikubali kuondolewa kwenye hoja ya msingi ambayo ni mapambano ya kuhakikisha 2015 CCM inang'oka madarakani. Wote wanaoita press conference na kutishia kuitisha maandamano ni vibaraka wa ccm na watakuja wengi kwa staili tofauti tofauti tuwe makini,tusonge mbele na mapambano mpaka...
  10. P

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Mungu atuepushe na balaa hii.Ila hakuna kumwachia huyo shehe Ponda.Wamezoea kushinikiza mtu atende uovu halafu wengine wanajitia kumsaidia.Sheria ichukue mkondo wake ndugu zake wakamdhamini si watu kuandamana mazoeaaaaa!
  11. P

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Mi nadhani serikali ichukue hatua kali sana dhidi ya watu hawa wachache wanaotaka kuchezea amani ya nchi yetu kwa kivuli cha dini.hakuna kulea ujinga watu wengine kujifanya wako juu ya sheria.
  12. P

    Chadema kuweni na subira

    Tumechoka kuvumilia,haki lazima itafutwe kwa hali na mali peoplessssss powerrrrrrrrrrrrr
  13. P

    Hi

    Hi wana jamii forum the great thinkers. Mimi ni member mpya napenda tu kuwapa hi kwa leo
Back
Top Bottom