Search results

  1. B

    Tenga kugombea CAF.....

    Kwa mujibu wa taarifa niliyoisoma kwenye website moja ya azamfc.com ni kwamba raisi wa tff ambaye alitangaza kutogombea tena kwenye uchaguzi mkuu ujao wa tff ana jipanga kugombea CAF kushindana na Isa Hayatu, Bonyeza hapa azamfc.com kwa taarifa zaidi.
  2. B

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Nasikia kuna mtangazaji wao mmoja wa michezo zamani alikuwa itv ndo yupo bbc swahili
  3. B

    John Mnyika anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012

    For you not for all.......
  4. B

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    Kuna tofauti Kati ya wabunge Kama Mnyika na wabunge Kama Ndesamburo.... Wewe ni Mbunge wa Chadema makao makuu,msemaji wa chama na sio msemaji wa wananchi.... Nakuombea ubadilike Kwa sababu taiga bado linakuhitaji Kwa mchango wako.......
  5. B

    CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    PINDUA MBOWE PM7 na CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO A.K.A CDM series yenu tamuuuuuuuuu...
  6. B

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,sitiiiii neno nasubiri next episode......
  7. B

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    The best weapon of your enemy is another enemy..... This is like assassination game...... CDM mmejivua nguo kiukweli....
  8. B

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Haya ni Mapinduzi kwa hakia, ila siku ya kumwagika damu watabaki peke yao.. Kuweni Makini na Maneno matamu ya wana siasa...
  9. B

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    We Mpuuuzi nini?? Acha upumbavu wako kuwafaninisha manabii wa Mungu na Siasa za dunia,Acha tena nakwambia ushindwe na usije ukarudia tena kauli yako.. Wewe unataka kumfananisha Yesu au Mohamed S.A.W na Viongozi wa CCM au Chadema... Pumbazu zako na Mungu akulaani kama usipofuta kauli yako,mjinga...
  10. B

    Kauli ya Mwisho ya Mwalimu kuhusu Mzee Mtei pale nyumbani kwake Msasani..

    Naona Wooote mmechangia kadri mlivyoilewa post hii,Ila kama upo DSM siku moja moja jitahidi upite Pale Msasani kwa Mama yetu,Mama Maria Nyerere umuombe japo dakika kumi akuelezee kuhusu hii kauli... Kila la Kheri......
  11. B

    Kauli ya Mwisho ya Mwalimu kuhusu Mzee Mtei pale nyumbani kwake Msasani..

    Nakumbuka Kauli ya mwisho ambayo Mwalimu aliwahi kuitoa kuhusu Mzee Mtei Edwin pale nyumbani kwake Msasani, aliguna sana baada ya kusikia Mzee Mtei na wenzake wameanzisha Chama cha Siasa... Alisema...."..Heeee,Ina maaana Mtei bado anaendeleza nia yake ile ile ya toka zamani...?? Haya kila la...
  12. B

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Nipita Tu wadau,Ila ni bora Jaji angesoma alama za nyakati.. Angeacha tu amalize muda wake uliobaki,watakaoumia ni wananchi wa hali ya Chini sana.. Mfano kuna jamaa yangu katoka kunitumia msg anasema anaomba nimtafutie Chumba DSM haraka hataki vurugu zimkute Arusha.. Wapi inakwenda jamani na...
  13. B

    Cha dev man...

    Ila kwa zamani ilikuwa nayo???
  14. B

    Cha dev man...

    Nisaidie basi,inaonekana una dalili za kukijua kidogo??
  15. B

    Cha dev man...

    Ah... Nimeuliza kilikuwepo au maana nimesikia maneno nikawa sitaki kuyaamini.....
  16. B

    Cha dev man...

    ETI jamani kuna chama kimoja cha ushirika zamani kilikuwa kinaitwa CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO???
  17. B

    Kauli ya mwalimu julius nyerere mwaka 1990

    Kweli bila CCM madhubuti nchi itayumba.... Ila kuna ambao wanaotumia maneno kama ya Lusinde kukifanya CCM kuwa na viongozi wengi wenye upeo mdogo... Ila mnakumbuka Lusinde alienda CCM miezi kadhaa kabla ya Uchaguzi akitokea Chadema?? Je haya yote amejiufunzia CCM au CDM... KILA ANACHOFANYA...
  18. B

    Hii ndiyo cv ya mbunge wa Mbarali

    tuwekee na ya Thabo Mbeki basi alafu tuanze kujadili,Uongozi sio Elimu bana...
Back
Top Bottom