Wenzetu bili za umeme zinamfanya Waziri Mkuu kujiuzulu. Hapa kwetu mauaji na uonevu wa kila siku wanaunda tume za uchunguzi. Za mwizi arobaini.
Bulgaria PM resigns after electric bill shock
Victor Kotsev and Charles McPhedran, Special for USA TODAY2:21p.m. EST February 20, 2013
Austerity...
Mbona kwenye ripoti iliyowakilishwa Bungeni inaeleza wazi kuwa Dr. Hosea ameshawajibishwa kwa kuandikiwa barua ya onyo kwa kutokuwa makini katika uchunguzi wake ingawa ripoti pia inakubaliana na serikali kwa kusema haya ....Hata hivyo, hapakuonekana dalili za mazingira ya rushwa wakati wa...
Shame on each one of us who end up shouting and barking at the wrong tree. Most of us never serious with our own lives let alone our own intentions. We been made to believe that hard work never pays and in fact our own government has made sure that any hard working Tanzanian does not make it...
Ndugu yangu upeo wao hawa watu ni mdogo mno, nakuhakishia watakuja na hiyo hoja ya kuwa uwanachama wa Mengi ni sawa na zero kwa kisingizio hicho cha shs 12, trust me! Hakuna level ya kufikiri logically kama ulivyo articulate ndani ya CCM, hakuna siyo Sophia wala Malecela wala Mwinyi wala JK...
Hata mini nina kadi yangu ya CCM tangu 18 Aprili, 1977 na kadi yangu ni B124594 lakini sijailipia tangu mwaka 1977 na bado ni mwanachama wa CCM halali. Sina risiti za malipo ya ada kwa muda wa miaka 32 na badi ni mwanachama wa CCM.
Kwa mantiki ya Mengi kuwa na kadi ndiyo maana ya kuwa...
Todays Menu:
1. Dr. Hoseah is back in Dar smilling - 6:30 pm EAT na Vogue lake
2. Sitta aahidi kuto ushirikiano wa hali ya juu kufanikisha zoezi la wabunge kuhijowa. Na amehidi kuwaasa wabunge hasa wa CMM kuto ushirikiano wa hali ya juu ili wasipe wapinzani sababu ya kuwabeza 2010.
3...
Kumbe umenipata; huo ndio ukweli kuwa tunaamua kutoelewa mambo yaliyo wazi kwa bias zetu kwa makusudi. Hi ndungu yangu waandishi wa habari wanapomhoji mbunge na kuweka "kiti moto" je wanafanya interview au interrogation? Hebu tuwe objective katika kauli zetu.
Kuulizwa kuhusu ulipwaji...
Kuna watu wengine wanao elewa na kusikia pale akiongea mtu fulani irrespective of what they are saying hata ikiwa ni pumba asilimia 100%.
Hii topic ina ushabiki mno kiasi ambacho wengine hata ukiwaambia lipi bora Mwakyembe kasema basi.
Kwanza wanachofanya TAKUKURU ni "interviews" wala siyo...
Hivi kwenye ripoti ya kamati ya Mheshimiwa Shelukindo ambayo wao wenyewe waliiwakilisha bungeni August mwaka huu, mbona wao wenyewe wanmsafisha Dr Hoseah! Hebu soma hizi nukuu kutoka kwenye ripoei yenyewe iliyopo kwenye Hansard:
Kama kamati yake huyu Mheshimiwa Shelukindo inaafiki kuwa...
Good job Tina;
Ninakubaliana nawe fika, hasa kuhusu swala la sisi watanzania wengi kutokusoma taarifa kwa makini. Nilifanikiwa kuipata nakala ya taarifa halisi aliyosiniwa na Mheshimiwa Shelukindo na kuisoma kwa makini hasa nikitafuta yale ambayo yanahusu yafuatayo:
1. Kuwepo kwa rushwa...
For almost a decade now, Tanesco has been crying foul on a daily basis with regards to what they call a chronic disease i.e. "Transformer Oil Theft" aka TOT. The first time I heard of the "problem" I just couldn't understand why in the first place one would drain a powered transformer and what...
Atafute experience ya nini, kwani "Korola" au "Nissan Shot Chasis" zitamsubiri, na Blakberi itaning'inia kiunoni lini? Inabidi auufuate mkondo wa mto amasivyo hafiki popote.
Kinachoudhi zaidi ni hao hao wanaoshiriki kwenye "uchafu" kujidai kuupinga "uchafu" wanaoukumbatia na kujidai yao ni...
That was then, idara hizo bado zipo ila kilichofanyika ni kuondoa ukiritimba ambao ulikuwa unazuia urahisi wa sharing of intelligence. Issue siyo kuiga kunya kwa tembo ila kuangalia wenzetu wanafanyaje shughuli hizo na kuiga mazuri na kujifunza kutokana na makosa yao. BTW wenzetu angalau...
Kwa wale ambao wanaweza kununua DVD Air Force One:Secret Access inayonyesha jinsi George Bush alipotembelea nchi sita za Africa na hasa walivyo "wateka" jamaa zetu wa usala wa taifa. Ninayo copy yangu sijui Invisble anayo bandwidth ya kutosha tukai-upload!
Here are the links:
Air Force One...
Zakumi nakupa Kumi mwanangu. Well said;
Rais tulimchagua wenyewe tena tukawa tumwita "handsome boy", na kwetu kilikuwa kigezo mojawapo cha kumchagua kuiongoza nchi. Sasa jamaa unatafuna vyake na the few, the blessed, the fisadis, tunapiga mayowe. What did we expect him to be? He is a...
Your a dead right on that one Mkuu Icadon as it seems most of the posts depict individual perceptions of what "Usalama wa Taifa" is all about. "Usalama wa Taifa" seems to try to do what is done by more than a dozen agencies in developed countries. Ndiyo maana eventually wanatia aibu kwa ku-stack...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.