Search results

  1. B

    Hongera Lowassa, Hongera CCM kwa kukata ngebe

    wavivu wa kufikiri peke yao ndo wanaolishwa habari za vijigazeti na kumhukumu EL...........lakini ukeli ni kwamba ndiye kiongozi bora kabisa kwa sasa anayehitajika kuliongoza taifa hili. Wapuuzi wote wanakaririshwa na vijigazeti vya udaku wamekariri Richmond pekee hawana jipya na wameshindwa...
  2. B

    Tamko la wanachama wa NSSF/PPF

    Hao Ndo Miners ..............Majembe sio sekta za masharobaro......wanadanganywa na ccm wanatulia misukule............tunavoelekea october ni lazima pressure iongezwe ili mazezeta wa mjengoni wasilete uhanithi kwenye sheria hii. Hifadhi ya jamii ni Haki lakini kuichukua/ku-utilise haki yangu ni...
  3. B

    Ng'ombe wa Maziwa anahitajika URGENTLY

    Natafuta Ng'ombe wa maziwa prefarably anayefugiwa ndani ya Pwani (Dar, Kibaha, Bagamoyo) ambaye amezoea hali ya hewa hiyo. Mwenye mimba, na asiwe mzee. Mwenye tips anistue au abandike contacts hapa tafadhari
  4. B

    Idd Simba, Salum Mwakinginda wafikishwa mahakamani

    yuko nje anakula bata kwa dhamana........
  5. B

    Idd Simba, Salum Mwakinginda wafikishwa mahakamani

    Idd Simba amepandishwa Kizimbani kuhusiana na sakata la UDA kwa kusababishia serikali hasara....details zaidi badae
  6. B

    ...Wakati nchi inalawitiwa

    Uko sahihi Kaka kwamba mapato yanatawaliwa na central Government lakini issue hapa ni kwamba kuna DISTRICT SERVICE LEVY ambayo inapaswa iwe 0.6% ya mapato yote ya kampuni ya mwaka........kwa ukubwa wa migodi hii inayozalisha trilions mil 600 ni utani uliokithiri
  7. B

    ...Wakati nchi inalawitiwa

    Folks, Imagine wewe ni mwana familia. Familia inalia njaa. umekaa unafikra nzuri kabisa juu ya jinsi gani mkate unaweza kupatikana, lakini pamoja na fikra hiyo nzuri umekaa tu huchukui hatua mpaka familia yote inateketea kwa njaa. Is your thinking any useful?? Wiki iliyopita Afisa Mipango wa...
  8. B

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    Angalia jinsi ulivyo mvivu hata wa kutizama kiasi huwezi kutizama hata AVATAR yako tu inayokuelezea what exactly we are....WTF!!!!!! afu mnataka research???? my foot
  9. B

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    This is YET another proof of WRONG JOB ATITUDE.....katika eneo la uzalishaji hufanyi kazi kwa kuangalia mshahara. kama unaona mshara ni mdogo una options mbili moja ni kufanya kazi kwa bidii na kuprove kwa management kwamba you worth more than what you are being paid......option ya pili ni...
  10. B

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    Bado sijakuelewa kukubali kwako kwa wanasiasa lakini unakataa wa maofisini. Wanasiasa wanatokana na jamii gani? Issue sio kiingereza kwani wachina wanaongea kiingereza?? wajapan je? issue ni atitude. Mtanzania analia sana anapotafuta kazi akishapata hakumbuki offer letter inaendana na majukumu...
  11. B

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    Kama unaamini katika utafiti basi weka bidii kujua conclusions za tafiti hufikiwaje. Kama unafahamu huwa kuna SAMPLING ambyo inakuruhusu kufanya generalization/conclusion basi tujadili ipi ni idadi kubwa kati ya wavivu na wachapa kazi. REDET wamefanya tafiti mara ngapi je majibu ambayo wamekuwa...
  12. B

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbali mbali ikiwamo ya Watanzania kulalama kuwa ajira hazipo na zilizopo zinachukuliwa na wageni ama pia kwamba mishahara kati ya watanzania na wageni ina tofauti kubwa. Wakati hayo yote ni kweli issue ya msingi hapa ni kwa nini kuna hali hii. Nachelea kusema...
Back
Top Bottom