Search results

  1. W

    Uteuzi wa mgombea urais CCM kusogezwa mbele

    upigaji wa kura wa ndani ya chama una uhusiano gani na wabunge. Wabunge ni wabunge WaNEC ni WaNEC
  2. W

    Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Ama kweli lugha ngumu...karakana kwa Kiingereza ni garage na kiwanda cha kuunganisha matrekta/magari ni Tractor/automobile assembly plant. Ila bila kujali technicality za lugha karakana au assembly plant vyote vinaongeza ajira directly and indirectly
  3. W

    Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Unadiriki kusema huoni tofauti ya kuleta matrekta mazima na kuwa na assembly line nchini!!! Huoni assembly line italeta ajira za ziada. Vivyo hivyo itapunguza gharama
  4. W

    Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    MICHUZI BLOG: Waziri Wasira na ujumbe wake ziarani nchini Poland - MICHUZI BLOG: Waziri Wasira na ujumbe wake ziarani nchini Poland
  5. W

    NEC. Daftari La Kudumu La Wapiga Kura Lini?

    Jaji Lubuva alisema zoezi litakamilika July
  6. W

    Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

    Wakati wakifanya yao. Yeye Yuko bize na majukumu ya kitaifa huku akiongoza timu kuboresha ilani ya CCM 2015-2020
  7. W

    Vita ya Urais sasa ni Live bila chenga: Ni kati ya Lowassa, Membe na Wassira

    4U movement wanamshobokea Wasira mpaka wanapiga nae picha haha
  8. W

    Kilio cha wadau na Wakulima wa Pamba chapata ukombozi

    Habari kwa VIDEO kutoka mwanza jana ktk kikao cha wadau wa pamba bofya hapa http://youtu.be/H4lNDz9HTuA
  9. W

    Wassira aamua isiwe kesi, Amfuata Sheria Ngowi

    flyover ndo unaona maendeleo ati! No research no right to talk. Wassira yupo ktk mitandao ya kijamii kitambo mbona Twitter.com/smwasira Facebook.com/stephen.wasira Mpaka na tovuti anayo stephenwasira.co.tz
  10. W

    Wassira ni kiongozi bora!

    Hebu fafanua aliharibu vipi
  11. W

    Wasira: Ubora wa mgombea muhimu kuliko chama 2015

    Ubora wa mgombea ni muhimu sana!
  12. W

    January Makamba's Q&A with the EastAfrican Newspaper

    Interview with Mr January Makamba, Presidential Candidate in Tanzania, Member of CCM’s National Executive Council, Member of Parliament and Deputy Minister, Minister of Communication, Science and Technology What drove your decision to contest for top seat? I want to see my country change...
  13. W

    Waraka Wa Jaji Warioba kwa Wassira

    Kutoka maktaba: Warioba looses seat Minister for Regional Administration and Local Government and former Prime Minister and First Vice-President, Joseph Warioba, lost his Parliamentary seat in October after the nullification of last year's election results in the Bunda constituency. Declaring...
  14. W

    Mnaomtanguliza Wassira mnayajua haya?

    Skendo ya Tairi? Ama kweli Wasira hana doa!
  15. W

    Wassira akacha mdahalo ulioandaliwa na ITV

    Hivi Nyankore unatoa wapi ujasiri wa kudanganya kiasi hiki nafsi yako haikusuti? Wassira yupo Dar na j2 atakuwepo
  16. W

    Wassira akacha mdahalo ulioandaliwa na ITV

    Habari za kkizushi.Wasira atakuwepo front seat ktk mdahalo unless wengine ndo wakimbie
  17. W

    Baada ya kuongoza matokeo ya Ujumbe wa NEC, Wassira ana nafasi kubwa kupitishwa kwenye Urais Pia

    Elimu na uzoefu vyote anavyo. Soma wasifu wake ujionee Stephen Masato Wasira-alizaliwa mwaka 1945 Wilayani Bunda,Mkoa wa Mara. Akiwa mdogo Stephen M.Wasira alisoma Elimu yake ya Msingi Shule ya Msingi Balili na Kisangwa Middle School, Wilaya ya Bunda, baada ya hapo aliendele a na masomo...
  18. W

    Wassira kafungua njia; Wazee wana nafasi kubwa 2015 kuliko vijana. Historia kujirudia?

    Kusema kweli imepita kitambo tangu Mara ya mwisho kuona uchambuzi wa kinda hapa JF ambazo ni original. Makala nyingi nionazo zitakuwa ni za copy & paste toka magazetini. Kuhusiana na hii mada, sio Mara ya kwanza kwa January Makamba kuongelea masuala ya umri na urais. Katika kongamano chuo...
  19. W

    Maswali 7 ya Jaji Joseph Sinde Warioba

    Katika hoja zilizotolewa katika hayo mahojiano zipi hasa ambazo sio hoja za msingi. Kwa manufaa ya wengi ingekuwa vizuri ukatoa mifano miwili, mitatu
  20. W

    Maswali 7 ya Jaji Joseph Sinde Warioba

    majibu mengi ya haya maswali swali yanapatikana katika haya mahojiano yaliyofanyika May mwanzoni. Bofya link hapo chini "Mahojiano na Wasira - Tuambie TBC1" on YouTube - Mahojiano na Wasira - Tuambie TBC1: Mahojiano na Wasira - Tuambie TBC1 - YouTube
Back
Top Bottom