Search results

  1. Dp800

    Kwanini NIDA inalipisha 500 TZS kupata taarifa zetu?

    Kwamba unadhani hizo gharama mwisho nitakwenda kwa nani?
  2. Dp800

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Maisha sio furaha tuu mdogo wangu. Kuna mengi yenye huzuni tunakutananayo lakini yanatupeleka kwenye furaha za kudumu. Usiwasikilize walioshindwa muombe Mungu akupe ufahamu wa kwanini wewe umeumbwa.
  3. Dp800

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    hongera sana kwa hatua hii ya kuomba ushauri ni hatua nzuri. Mungu anataka kukuonesha makosa yako. Tafadhali naomba ujipe muda ujifunze 1. Nini maana ya mwanaume. 2. Kwanini umezaliwa mwanaume. 3. Ujifunze kufikiri na kuamua kama mwanaume.
  4. Dp800

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Uko sawa sana. Mimi ni mkatoliki na hili unalolisema nalielewa sana. Mambo yote yenye ushahabiano na nguvu ya Roho mtakatifu ni kama hayapewi nafasi katika kanisa letu. Mmoja alitangulia kuandika hapa miujiza haina maana. Sasa unajiuliza ni kwa namna gani utageuza mioyo ya wasio ifahamu nguvu ya...
  5. Dp800

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    ‭‭Yohana 2:23 [23] Hata alipokuwapo Yerusalemu kwenye sikukuu wakati wa Pasaka, watu wengi waliamini jina lake, walipoziona ishara zake alizozifanya. Kama ungeendelea kidogo katika somo tulilosoma leo ungekutana na huo mstari. Ishara na miujiza inazalisha imani usibishe kitu usichokijua...
  6. Dp800

    Nini maana ya "Wakili msomi"?

    Hiyo kada kwa Tanzania wengi ni wahaya.
  7. Dp800

    Hivi kuna raia wanajivunia kuwa Watanzania?

    Ungekuwa unanifahamu ungejivunia pia kuzaliwa nchi moja na mimi
  8. Dp800

    Moja ya kijana ninayemsomesha ameniambia amepewa mkopo

    Mimi ilitokea kama kwa kijana wako. Binafsi sikurudishiwa fedha ilikuwa inakatwa kwenye matumizi ya direct cost miaka iliyobakia hadi mwishoni ikamalizikia chuoni japo nilikuwa nafuatilia sana. Mungu akubariki kwa kumshika kijana mkono. NB nilikuwa hapohapo udsm
  9. Dp800

    Ipi ni tofauti ya mwili, nafsi na roho?

    Uko sahihi kiongozi maelezo yake ni sahihi tafsiri ndio kidogo haijawa sawa nadhani atajifunza hilo
  10. Dp800

    Kwa jinsi baadhi ya watu walivyo kuwa slow hapa jukwaani, laiti kama ningefanya nao " kazi" enzi zangu za ushetani basi wengi wao wangekufa

    Ninakushukuru Baba Bwana wa mbingu na nchi kwa maana umenikombea kwa damu yako ya thamani. Nikisoma mara zote mtu anapohadithia historia mbaya nyuma na kukiri kwamba amebadilika. Napata furaha sana kwa maana Mungu ananguvu sana ya kutubadilisha.
  11. Dp800

    Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

    Mkuu Kiranga, nafahamu umewahi kuwa na majadiliano marefu kipindi cha nyuma. Hongera kwa kushikilia msimamo wako. Unaufahamu kwamba mwanadamu anasehemu tatu nazo ni mwili, roho na nafsi? Kama sio mwanadamu kwako ni nini?
  12. Dp800

    Je, tutamkumbuka Rais Samia kwa lipi kubwa alilofanya?

    Akumbukwe kwa ajili gani???? Aondoke zake kwa amani madeni anayotuachia yanatosha
  13. Dp800

    Je kuna ukweli kwamba ukiweza kuiongoza subconscious mind unaweza kupingana dhidi ya nguvu za giza?

    Bila Yesu yote hayo ni kujilisha upepo. Kuipa nafsi nguvu kuna kusaidia kuwa na maarifa ya kushindana kwenye kiwango cha chini sana sababu nguvu za giza zinapambania hiyohiyo nafsi yako. Mjue Yesu usogee kwenye eneo la juu ambalo ni kupambana kwenye ulimwengu wa rohoni. Usipokuwa na nguvu za...
  14. Dp800

    Wakristu kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

    Amefanunua vizuri kupata mwanga ni somo kubwa ukitafuta kufahamu hakika utaelewa
  15. Dp800

    The Guardian (UK)- UAE owns 8% of Tanzania’s forest

    Wajinga hata wakiwa milioni haibadilishi ujinga wao
  16. Dp800

    DOKEZO Rais Samia tafadhali chunguza BRELA kwani ni kikwazo kwa wafanyabiashara, bila hongo hufungui kampuni

    Wewe unafanyaje online na kukamilisha mkuu?? Mimi naona nakatiza mwezi wa tatu huu bila mafanikio Inaandika make final decision sasa sielewi itabaki hivyo hadi lini
  17. Dp800

    DOKEZO Rais Samia tafadhali chunguza BRELA kwani ni kikwazo kwa wafanyabiashara, bila hongo hufungui kampuni

    Kwani Shida ya Brela huwa ni kitu gani yaani???? Status "Make final decision" mwezi mzima imeng'ang'ania hapo kila kitu kina simama kwa ajili ya hawa wapumbavu. Simu hawapokei email hazijibiwa sasa hawa wanalipwa mshahara kwa kazi gani?
  18. Dp800

    Absalomu the son of David

    ‭‭2 Samweli ‬ ‭18:1‭-‬33 [1] Kisha Daudi akawahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akaweka maakida wa elfu elfu, na maakida wa mia mia juu yao. [2] Daudi akawapeleka hao watu vitani, theluthi moja chini ya mkono wa Yoabu, na theluthi ya pili chini ya mkono wa Abishai, mwana wa Seruya nduguye...
  19. Dp800

    Marekani yatangaza kuzifuta Uganda, Afrika ya Kati, Gabon na Niger kwenye Mpango wa Biashara na Afrika (AGOA)

    Tatizo la Africa ni kukosa umoja na kukubali kugawanywa. Pindi tutakapo anza kuwa na sauti moja ndipo tutaanza kufanikiwa kama bara
Back
Top Bottom