Search results

  1. C

    Azawad - A new African state proclaimed!

    kilichotokea si kigeni miongoni mwa jamii au nchi za kiafrika coz tumeona southern sudan wamepigania haki zao japo kwa nguvu na kumwaga damu nyingi bt mwisho wake wamepata japo mambo babo hapajawa shwari sana,so in case of azawad km mambo waliokuwa wanafanyiwa southern sudan wanafanyiwa hawa...
  2. C

    Makongoro Nyerere Kugombea Arusha Mjini

    sidhani kama hilo ni chaguo sahihi na km makongoro anahitaji kuaibika basi aende, na mara hii tutampa tena vicent nyerere kuwa kiongozi wa kampeni ,afu hawa ccm wameshaishiwa ujanja na chaguzi hizi zinazotoa nafasi kuuonyesha ulimwengu kuwa watu wameshawachoka hawa magamba,subiri tuone na...
  3. C

    Lowassa ameshindwa urais arumeru mashariki

    ukishachafuka kisiasa umechafuka tu, so mimi namshauri bwana El,( aaaaah hata naona kinyaa kuliandika kwa kirefu jina hili) kuwa hata kama ameshatabiriwa na mchungaji wake TB JOSHUA kuwa ni mrithi wa jk, angeachana tu na mpango huo wa urais na apumzike kwani kama ni hela anazo za kutosha za...
  4. C

    Godbless Lema...Dakika za mwisho za Ubunge.

    kwa issue kama hiyo mi nadhani ccm wamekosa pa kushika coz inajulikana kuwa km kweli mahakama ikitengua ubunge wa lema wala chadema hawahitaji kupiga kampeni tena ni kusubiri tu siku ya uchaguzi na kurudisha kiti hicho kwa chadema tena ,kama ni lugha chafu kweny kampeni mbona zinatumika sana na...
  5. C

    Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

    kwa mtu mwenye akiri timamu na upeo wa kuwa ndani ya jf huwezi ukalopoka kiasi hicho,hivi wewe mwana jamii ulietoa kauli hiyo hujui hata kutazama kwa macho tu hata kama si mwanazuoni kama mimi kuwa enzi ya chama kushika hatamu kulishaisha mara tu baada ya muasisi wake mheshimiwa sana j k...
Back
Top Bottom